Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano.
BACKGROUND
kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile sakata la kadi ambazo hazijarudishwa.Mwanzoni mwa miaka ya 1990 na harakati za vyama vingi kuanza mwl nyerere alikuwa anatafuta mbadala wa chama cha upinzani kukiandaa ambacho yeye binafsi angekuwa na imani na viongozi wake pale suala la mabadilko litakapokuja alifanya jitihada nyingi bila mafanikio mpaka alipopata kiongozi mwandamizi na ambaye mwl hakusita kutowa utabiri wake kwamba CHADEMA ndicho chama kitakachokuja kuwa mbadala wa CCM wana Jf mujuwe hili halikuwa bure ni maandalizi yalifanywa kwamba kiwe chama cha kuendeleza itikadi za Mwl zikiwemo za utaifa na nyengine ambazo ni siri yake.
KUZUKA KWA CHADEMA 2005-2010
Tayari hali ya mivutano ndani ya CCm ilishakuwa mbaya na hakuna kiongozi yeyote ndani ya ccm aliyeweza kukemea mambo ambayo mwl aliyapiga vita sana likiwemo suala la rushwa na ufisadi na kujilimbikizia mali.Licha ya kuwa Chadema kilishaaasisiwa zamani kilipata nguvu ya ajabu kipindi hiki ili kuja kulinda mambo ya kitaifa aliyoyapigania mwl. Viongozi ambao hawakuwa na historia ya kupigania harakati za kuanzishwa vyama vingi na wenye mielekeo ya kipinzani hafla wakaibuka na kupambwa na vyombo vya habari utazani hawakuwa wapinzani kwa sababu tulizoweya mpinzani wa kweli hana nafasi kwa vyombo vya habari vya Tz.Mpango hapa ilikuwa ni kuja kuwaumbuwa wote wale ambao wamevunja mmiiko ya mwl na kulitia hasara taifa hili changa. Ni Viongozi wa Chadema waliovujishiwa siri nyingi sana za mafisadi kwa kupewa majina na kuwataja hadharani . hii ilikuwa ni kazi ya makubaliano CCM hawaisemi ila iko siku watasema
Lengine lililoongeza kasi ya Chadema ni kuwepo raisi mswahili na ile dhahma ya kundi la mkapa lililopigwa tenge na kuibuka kundi la mtandao.
Taarifa za kichunguzi zinaonesha kwamba raisi mswahili alianza kukera maslahi ya kundi fulani ambalo kwao wao kila kitu katika serikali lazima wawe na ushawishi wao. Kundi hili lilitumia fursa ya Chadema kumyumbisha raisi huyu kwa kuibuliwa hoja ambazo haijawahi kutokea kupewa wapinzani lengo ikiwa ni kumyumbisha.Licha ya ukweli kwamba mtandao wa ushindi wa raisi mswahili ulitofautiana baadae lakini walitumia kila fursa ya kuwepo chadema kumyumbisha.
ANGALIA HAYA
1.Ile memorundum yao 2000-2005 pale Le traven hotel iliyowakutanisha Mh mbowe na Kikwete wakati wa kampeni, CCM hamjaisema mnasema mambo ya kadi vipi?
2. Ile agenda ya Tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba na masharti yaliyowekwa CCM mmeyasahau Kuna Nini ?
3. Ile move ya maandamano na ahadi ya kumyumbisha raisi mswahili lile kundi la ccm lililoasisi dhidi ya wengine limefika wapi
4. Kule bungeni vipi hoja nzito kupewa chadema kwa ccm kuogopana ilikufichiana aibu na visasi memorendum leo imekufa?
CCM hamtaweza ila yafuatayo iwe yamefanyika .
1. kwamba mmebaini kazi ya chadema imekwisha sasa na mnaanza kuwarejesha pale walipokuwa na kwamba hatua zote za kufanya hivyo zimeshapatiwa baraka kwa makubaliano ya pande mbili kama ilivyokuwa awali.
2.Kwamba mmebaini wenzenu wamevuka mipaka ya makubaliano na sasa wamepitiliza na kuathiri maslahi yenu binafsi.
ikiwa hayo tayari sawa CHADEMA itakufa na hawa wafuasi watakuja kushangaa imekuwaje maana njia waliyoingilia ndio watakotokea huwezi ukawa na sura mbili tofauti kwa kuzificha iko siku utaumbuka tutegemee siri nyingi zaidi zitaibuka.