CHADEMA itakufa karibuni kama NCCR mageuzi - Tambwe Hiza

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi.

Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo
lkn ameshindwa kuonyesha uchungu wa nchi kuhusu DOWANS. Pia ameambiwa aache upropaganda katika kujenga hoja
 
Sponge
 
Elewa kuwa Hizza ni mtu wa PROPAGANDA ndani ya chama tawala, hivyo katu hawezi kulonga mambo ya msingi zaidi ya ku-critisize.
 
Criticism lazima ziende ha hoja. Kupinga bila hoja ni kupiga kelele!
 
huyo Tambwe Hiza hata humu JF akitumia Id ya zomba...ni kubishana na ukweli....
 
Hivi nini kilimtoa CUF ? HANA JIPYA NA AKILI YAKE HAIRUHURU JUWA NA FIKRA PEVU Kama bosi wake Makamba hawezi kutoa hoja yeye atawezaje
 
Criticism lazima ziende ha hoja. Kupinga bila hoja ni kupiga kelele!

Unatakiwa kujua kwamba bwana huyu hana uwezo wa kujenga hoja kulingana uwezo mdogo wa ubongo wake (shallow thinking capacity) zaidi ya kupiga kelele zisizo na mantiki! Solution ni kumpuuza
 
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi.

Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo
lkn ameshindwa kuonyesha uchungu wa nchi kuhusu DOWANS. Pia ameambiwa aache upropaganda katika kujenga hoja

Kuna mtu ana CV ya Tambwe Hizza aiweke hadharani ili tujue tunamjadili mtu wa aina gani hapa?
 
Hicho ni kitu wanachotamani ila wanajua sana haiwezekani!Wakae tayari kukabidhi nchi kwa wenye uchungu nazo waachane na Propaganda za kuwaua wao wenyewe!
 
Njaa kali! Cdm kabla hakijafa nyie mshaoza 5 decades ago! Unawakatisha tamaa ili iweje? Shut up your mouth.
 
Nimeangalia Star tv namuona Tambwe hizza akikitabiria kifo CHADEMA kama NCCR Mageuzi.

Alisema NCCR waliingia kama moto wa nyasi lkn sasa mahututi. Na CHADEMA sasa imekuja hivyo hivyo
lkn ameshindwa kuonyesha uchungu wa nchi kuhusu DOWANS. Pia ameambiwa aache upropaganda katika kujenga hoja

Nccr haikuwa people power, hii ni tofauti huyu jamaa hamnazo kweli
 
sasa hivi hawana pa kushika wameona ni bora wawe wanashiriki midahalo na makongamano ya kisiasa au sio ya kisiasa yanayo washirikisha wenzao, ila wanakosea wanawateuwa wenye ulemavu wa ubongo.
Panapozungumzwa facts huwa wanachanganyikiwa na huleta mzaha mambo haya ndio yaliyowakimbiza katika midahalo majimboni na Raisi wao,walijua facts zinawaumbua.Ni bora wasishiriki kabisa huyu bwana nimekuwa namsikiliza hata kipindi cha Kipima Joto alikuwa zuzu kuhusu kuandikwa kwa katiba mpya,hivi hawaelewi kinachojili,wakiendelea hivi pasipo kujitambua laana ya watanzania itaendelea kuwaangukia.
 
atambue hata makamba alishasema kuwa dr slaa hawezi kumfikia mrema enzi zile,matokeo yake maji yalivyozidi unga kila kona wakigonga ni ngumu wakaamua kwenda kwa tume ili waweze kuchakachua vizuri,ndo maana hadi sas tume haiweza kutamka neno lolote kuhusu uchaguzi kwani maji yako shingoni.mwaka huu mpaka kieleweke tumesha choka kuonewa,sasa vijana wa kazi tupo kama majembe vile
 
Ajitazame yeye na maisha ya AFYA YAKE maana kanenepa anazidi kuwa bonge nyanya kwa kuridhika na umaskini wa watanzania na karidhika kwa kula hela za walipa kodi bila jasho! wenzake wanazidi kupeta na kupata umaarufu zaidi tangu 1995 chini ya 5% mpaka sasa nearly 30% zilizochakachuliwa na 60% ya registered voters kutokupiga kura, YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOME TIMES BUT NOT ALL THE PEOPLE ALL THE TIME!
 
Back
Top Bottom