Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa kuanza na chaguzi ndogo za madiwani. Nini maoni yako kwa chadema kwa 2014!