Chadema isonge mbele

Ba E's

Senior Member
Aug 20, 2013
145
52
Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa kuanza na chaguzi ndogo za madiwani. Nini maoni yako kwa chadema kwa 2014!
 
Tulianza Mwaka 2013 na Mungu, tukaumaliza na Mungu, sasa tumeanza Mwaka 2014 na Mungu! Sifa na utukufu zimwendee Mungu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
2013 kimeshinda yote majaribu mwaka huu ni mafanikio zaidi maana ccm imepigwa ganzi vibaya ns 2014 we will write off ccm. This is a pledge
 
Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa kuanza na chaguzi ndogo za madiwani. Nini maoni yako kwa chadema kwa 2014!

Tutashinda vikwazo vyote.
 
Tulianza Mwaka 2013 na Mungu, tukaumaliza na Mungu, sasa tumeanza Mwaka 2014 na Mungu! Sifa na utukufu zimwendee Mungu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Amen, mungu azidi kuibariki CHADEMA.
 
Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa kuanza na chaguzi ndogo za madiwani. Nini maoni yako kwa chadema kwa 2014!
2014 cdm iache unafiki wa kujidai na mungu. Mungu is so pure. Labda kama cdm ina mungu wake tofauti.
 
Mungu hapendi uzinzi na umalaya, hapendi majungu na uzushichadema kimejaa damu, kama kuendelea mnaweza kuendelea kama hitler na iddi amini. Ila mmejaa damu
 
Chadema chama kilichokosa mwelekeo zitto peke yake kawashinda.
 
Naamini mwenyezi Mungu ataendelea kutubariki kwa kuanza kumtoa yule msaliti...kisha tuingie chaguzi ndogo tunachukia zaidi ya kata 15 kati 26..
 
MUNGU yu upande wetu.mwaka huu lazima tuitie adabu mizigo kwenye chaguzi tukianza na huu mdogo then ule wa SM.
 
Maccm yatakapokuwa mapinzani 2015 na lichama lao litakufa siku hiyohiyo. Nayachukia sana yamewafanya wtz waish na misongo ya mawazo kila kukicha, hawana aman mioyon, kila mtu, kila family, taacc mbalimbal, din zote na vyama vya siasa. Naiombea sana chadema. Naamini cdm italigalagaza 2015 lichama la mizigo la maccm
 
Mungu hapendi uzinzi na umalaya, hapendi majungu na uzushichadema kimejaa damu, kama kuendelea mnaweza kuendelea kama hitler na iddi amini. Ila mmejaa damu

Hivi unajua ulichoandika au ni chuki binafsi zakusumbua?Au unafikiri kwa kutumia makalio au ndio yale ya kichwa cha samaki??Idd Amin na Hitler walikuwa wapinzani au watawala???Kama chadema kimejaa damu kwa nn chama tawala kimeshindwa kuwatia hatiani????Uzinzi,wizi,majungu hayo ni maisha ya chama cha mizigo.Nyonyonyo~nyonyonyo~nyonyonyo!Mwee!!!.
 
Back
Top Bottom