chadema iringa huyo abuu sijui mayanje ni ccm au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema iringa huyo abuu sijui mayanje ni ccm au?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Negrodemus, Jan 18, 2011.

 1. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kuna kajamaa kaligombea udiwani iringa mjin hapa kaibuka na uhma et mbunge wa iringa mjini REV peter Msigwa amechangia kushindwa kwa madiwan hapa iringa hivyo kampa siku 7 ajiudhuru yeye kama nani mpk aongee hivyo wanaacha kufanya mambo ya msingi wanaendeleza marumbano mie nahisi huyu jamaa kanunuliwa n ccm kutuvurugia chama chetu
   
Loading...