Wasalaam wakuu.
Nimekaa chini na kutafakari saga na hatimaye maamuzi ya kumfukuza Uanachama Zitto miaka almost mitano iliyopita na issue ya ‘Dogo janga’ mapema mwaka huu.
Kwanza, kama ni kweli ulikua mpango, basi niisifu intelligence ya CCM kwenye issue ya Ubunge wa Nassari, ulipangwa na kutekelezwa kwa ustadi wa hali ya juu. Ni kete ambayo Chadema/ Ukawa hawakuona ikichezwa, wamekua typical outclassed.
Je, kuna sababu tofauti na bias ya ukanda zilizosababisha swala la Nassari lisionwe na kushughulikiwa na Chadema mapema? Intelligence ya chama ilikua wapi kuliona hili? Viongozi na Wazee wa chama je?
Hata baada ya maamuzi ya kuvuliwa ubunge wake, bado kulikua na divided opinion ndani ya CHADEMA kuhusu Nassari, vijana makini kama Godlisten Malisa waliweka wazi wasiwasi wao kwa hoja kwamba ni issue staged lakini viongozi wakubwa bado wakaendelea kumuamini dogo janja, hii ikikua ni nafasi ya pili kwa intelligence ya chama kurekebisha makosa yao ( baada ya kushindwa ‘kuzuia’ hii blunder kutokea’) lakini inaonekana wali-side na Viongozi wakubwa walio bias , na uthibitishi wa hilo ni Nassari alivyopewa nafasi ya kufanya Press ofisi kuu ya chama Kinondoni na kutoa sababu dhaifu za kutoonekana bungeni ambazo actually zilikua ni insult kwa wapiga kura wake waliomtuma akawawakilishe Bungeni. Again, sababu kuu iliyoruhusu hili ni ile ile, bias kwa sababu ya Ukanda unaoendelea kuitafuna Chadema.
Issue ya Nassari ni big win kwa CCM na ni matokeo ya kuaminiana kikanda huku mkiamini watu wa maeneo mengine ndani ya Chama ni maadui zenu pale wanaonekana ambitious zaidi ndani ya chama, ukweli ni kuwa watu tofauti na wa kanda ‘ile’ ni walio contained na wasio ambitious.
Ukiachana na malalamiko mengine kuhusu ‘viti maalum’ and the likes, na despite ya makosa ambayo yawezekana Zitto aliyafanya ( kama waliyofanya kina Antony Komu dhidi ya Mayor Jacob, tuhuma za mwenyekiti Mbowe kutumia chama kama leverage kwenye issue zake za biashara, kufutiwa madeni etc na makosa ya viongozi wengine) bado dini na kanda ya Zitto vilisababisha issue yake iwe handled ilivyokua na karma will hit this party hard