Elections 2010 CHADEMA inaongoza Igunga

cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
369
296
Cdm inaongoza mpaka sasa zaidi ya ccm kwa kura 293. Ktk vituo 24
 
Hatimae kwa habari za hivi punde cdm wametetea kiti cha udiwani kata ya nzovwe ambako diwani wao alijiuzulu na kuacha kiti hicho wazi na ccm wamefanikiwa kutetea kata ya majengo kata iliyokuwa ikongozwa na ccm baada ya diwani kufariki dunia.
 
Pumbavu zao wana majengo

Back
Top Bottom