CHADEMA inakua kwa kasi nyanda za juu. Rukwa yaongoza, Mbeya, Njombe, Iringa inasua S. Mitaa

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644

CHADEMA: INAKUA KWA KASI YA ROCKET NYANDA/JUU. RUKWA YAONGOZA-MBEYA-NJOMBE; IRINGA INASUA; S.

Mkoa wa Mbeya chaguzi za serikali za mitaa zilizopita CHADEMA kilisimamisha wagombea chini ya 5%; leo hii, CHADEMA imesimamamisha 82% mkoa wa Mbeya

Screen Shot 2014-12-05 at 4.38.57 AM.png

Screen Shot 2014-12-05 at 4.48.21 AM.png

Screen Shot 2014-12-05 at 4.35.41 AM.png

Mkoa wa Iringa bado unaonyesha matatizo kwa CHADEMA; Sana sana Iringa vijijini. Mjini CHADEMA ipo safi
Screen Shot 2014-12-05 at 4.32.41 AM.png Screen Shot 2014-12-05 at 4.01.36 AM.png
Takwimwi hizi ni kwa hisani ya CHADEMA DIASPORA wakishirikiana na uongozi wa CHADEMA Nyanda za Juu Kusini

Source: CHADEMA DIASPORA : CHADEMA: INAKUA KWA KASI YA ROCKET NYANDA ZA JUU
 

Attachments

  • Screen Shot 2014-12-05 at 4.38.57 AM.png
    Screen Shot 2014-12-05 at 4.38.57 AM.png
    16.4 KB · Views: 278
Mbona hujatoa yakwimu za kule Zanzibar pamoja na Pwani, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Dodoma, Kigoma, Kagera, Mwanza, Tabora nk?
 
Kazi nzuri!!... Wataelewa tu.. Miaka 20 iliyopita ilikuwa ni 0%.. Pamoja na hira na mipango mingi ya kukikwamisha chama hiki kushamiri lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, viongozi wameweza kusimama imara na kutufikisha chama hapo kilipo kwa wastani wa asilimia 80.

Kumbuka kabla ya CHADEMA kuwepo CCM ilishatunyonya kwa kutumia rasilimali fedha na watu kujijenga kwa miaka 30 nyuma..
 
Mbona hujatoa yakwimu za kule Zanzibar pamoja na Pwani, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, Tanga, Dodoma, Kigoma, Kagera, Mwanza, Tabora nk?

kichwa cha habari kinaongelea nyanda za juu, sasa angewekaje hiyo mikoa mingine?
 
yaaap!! tunahitaji pia wakue kifikra! maana hawata fanya makosa kama ya wazazi wao.
 
quote_icon.png
By Lizaboni

Vipi kuhusu yale makubaliano yenu ya UKAWA?


wakati mwingine watu usema ufiche upumbavu japo kwa dakika moja kuonesha kuwa unaweza kuwa baba/mama wa familia

Hivi na huyo Liziboni unamweka katika fungu la wababa..??yatakuwa maajabu mengine!! Ukisema mama au dada sawa.. lakini kama ni mwanaume basi ndiyo wale wanaume wenye kufanya majukumu ambayo dada zao hufanya!!

Simpatii picha jibu analolitoa anapoulizwa "Unafanya kazi gani?..
 
Back
Top Bottom