CHADEMA inajitahi sana lakini inafeli sana. Sasa Afrika, Ulaya na duniani watu wanakishangaa hicho chama

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya asilimia kumi ya kura zote za urais.

Hata hivyo baada ya aliyekuwa Rais wa Tanzania kufariki hayati John Pombe Magufuli walijitoka kila kona ya nchi, Afrika na dunia kutuaminisha kuwa Magu alikuwa ni mbaya kuzidi yule Rusifa shetani aliyetupwa na Mungu duniani.

Bila hata ya kuangalia kuwa huyo kiongozi ameshatangulia mbele ya haki wenyewe walianza kushusha mitusi, kashifa na kubeza uongozi wake kanakwamba ametoka kidogo atarudi.

Yaliyo jitokeza mpaka sasa tukianzia ndani ya Jamuhuri ni kuwa alisindikizwa na zaidi ya watu 45 hii inaonyesa kuwa alipendwa ndani ya nchi na watu wake.

Nje ya Tanzania yaani barani Afrika Magufuli anaonekana kama shujaa, kwamba amewapa heshima waafrika wote mbele ya wazungu ambao kilamtu anajua kuwa wao ndiyo chanzo cha matatizo ya Afrika. Bara la Afrika na waafrika wake wanamwona Magufuli kama shujaa tena kuwazidi viongozi wengi wa kiafriaka waliotangulia. Hili halina ubishi kwani hii ni kuanzia Misri mpaka Afrika ya kusini nchi zote zimepiga sarut kwa maana ya watu wa Afrika wamesema shujaa nenda.

Magufuli pia wamewafungua waafrika wote na kuelewa kuwa kumbe waafriaka tunauwezo mkubwa kuwazidi wazungu hata mara 100 kwani kwa miaka 5 tu ameibadirisha Tanzania, watu hisabati hasa wa mambo ya Geometrikia wanasema (Mfano) kama magu amgetawala kwa niaka 20 Tanzania ingekuwa kama Sidiny Australia au Manchesta au Chikago au Gwanzuu china ambapo hiyo miji wazungu wameijenga kwa mamia ya miongo.

Juzi tumeshangaa tena kusikia Umoja wa Mataifa UN umefanya kikao cha dharura hili kuomboleza na kutambua mchango wa Magufuli kutoka Tanzania. Katika kile kikao wameongea mengi sana siwezi kujaza ukurasa hapa hila wamempa sifa kede kede hayati kuwa alikuwa kiongozi bora kutokea Afrika kwa kizazi hiki, kwa jinsi hawa watu navyowajua kama ingekuwa enzi za zamani naye wangemkata kichwa na kuondoka nacho wakatambike kama walivyofanya kwa watawala wetu wengi wa kiafrika.

Swali la kujiuliza CHADEMA mbona inakosa platifomu kila sehemu, kwanini? Maana nakumbuka Lissu amezunguka sana Ulaya na Marekani akimsema vibaya Magufuli tangia akiwa hai je wazungu hawaelewi kiingereza cha Lissu?

Sikiliza hotuba ya M/kiti wa CHADEMA Taifa utashangaa ile spichi anapiga maiti mwanzo mwisho, kulalamika mwanzo mwisho. Kukataa kuwa marehemu hakufanya jambo lolote la maana katika miaka mitano, yaani alikuwa anataka kuliaminisha taifa kuwa marehemu alikuwa zaidi ya Adolf Hilter, hafai, mshenzi.

Swali la msingi kwenu, Kama CHADEMA wamekataliwa ndani ya nchi, wamekataliwa barani la afrika na wamekataliwa Ulaya yote. Je. Watakuwa wageni wa nani leo. Maana kila kona wamejulikana kuwa wazandiki wa siasa za propaganda za chuki na ubinafsi. Mwanzoni walikuwa wanasema wanaonewa, hawakuonekana ujinga wao sasa kote duniani wamewatambua. Wazungu ambao wamekuwa wanajipendekeza kwao wamewadharau na waafrika pia tumewadharau, cha msingi tuishini nao kwa akili tu.

Diaspola mmoja kutoka Jomeika yeye amekilaani chama cha CHADEMA na wafuasi wake na kukiita kuwa ni chama cha kibabilan sistim, hakisema kuwa chama hicho hakitambui kabisa maslai ya weusi bali ya wazungu na akiwafananisha na Bufaloo Soja.

Nakaribisha kikosi cha mitusi kutoka ufipa karibuni.
 
Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya asilimia kumi ya kura zote za urais. Hata hivyo baada ya aliyekuwa Rais wa Tanzania kufariki hayati John Pombe Magufuli walijitoka kila kona ya nchi, afrika na dunia kutuaminisha kuwa Magu alikuwa ni mbaya kuzidi yule Rusifa shetani aliyetupwa na Mungu duniani.

Bila hata ya kuangalia kuwa huyo kiongozi ameshatangulia mbele ya haki wenyewe walianza kushusha mitusi, kashifa na kubeza uongozi wake kanakwamba ametoka kidogo atarudi.

Yaliyo jitokeza mpaka sasa tukianzia ndani ya Jamuhuri ni kuwa alisindikizwa na zaidi ya watu 45 hii inaonyesa kuwa alipendwa ndani ya nchi na watu wake.

Nje ya Tanzania yaani barani Afrika Magufuli anaonekana kama shujaa, kwamba amewapa heshima waafrika wote mbele ya wazungu ambao kilamtu anajua kuwa wao ndiyo chanzo cha matatizo ya Afrika. Bara la Afrika na waafrika wake wanamwona Magufuli kama shujaa tena kuwazidi viongozi wengi wa kiafriaka waliotangulia. Hili halina ubishi kwani hii ni kuanzia Misri mpaka Afrika ya kusini nchi zote zimepiga sarut kwa maana ya watu wa Afrika wamesema shujaa nenda.

Magufuli pia wamewafungua waafrika wote na kuelewa kuwa kumbe waafriaka tunauwezo mkubwa kuwazidi wazungu hata mara 100 kwani kwa miaka 5 tu ameibadirisha Tanzania, watu hisabati hasa wa mambo ya Geometrikia wanasema (Mfano) kama magu amgetawala kwa niaka 20 Tanzania ingekuwa kama Sidiny Australia au Manchesta au Chikago au Gwanzuu china ambapo hiyo miji wazungu wameijenga kwa mamia ya miongo.

Juzi tumeshangaa tena kusikia Ummoja wa Mataifa UN umefanya kikao cha dharula hili kuomboleza na kutambua mchango wa Magufuli kutoka Tanzania. Katika kile kikao wameongea mengi sana siwezi kujaza ukrasa hapa hila wamempa sifa kede kede hayati kuwa alikuwa kiongozi bora kutokea Afrika kwa kizazi hiki, kwajinsi hawa watu navyowajua kama ingekuwa enzi za zamani naye wangemkata kichwa na kuondoka nacho wakatambike kama walivyofanya kwa watawala wetu wengi wa kiafrika.

Swali la kujiuliza Chadema mbona inakosa platifomu kila sehemu, kwanini? Maana nakumbuka Lisu amezunguka sana Ulaya na Marekani akimsema vibaya Magufuli tangia akiwa hai je wazungu awaelewi kiingereza cha Lissu?

Sikiliza hotuba ya M/kiti wa Chadema taifa utashangaa ile spichi anapiga maiti mwanzo mwisho, kulalamika mwanzo mwisho. Kukataa kuwa marehemu hakufanya jambo lolote la maana katika miaka mitano, yaani alikuwa anataka kuliaminisha taifa kuwa marehemu alikuwa zaidi ya Adolf Hilter, hafai, mshenzi.

Swali la msingi kwenu, Kama Chadema wamekataliwa ndani ya nchi, wamekataliwa barani la afrika na wamekataliwa Ulaya yote. Je. Watakuwa wageni wa nani leo. Maana kila kona wamejulikana kuwa wazandiki wa siasa za propaganda za chuki na ubinafsi. Mwanzoni walikuwa wanasema wanaonewa, hawakuonekana ujinga wao sasa kote duniani wamewatambua. Wazungu ambao wamekuwa wanajipendekeza kwao wamewadharau na waafrika pia tumewadharau, cha msingi tuishini nao kwa akili tu.

Diaspola mmoja kutoka Jomeika yeye amekilaani chama cha Chadema na wafuasi wake na kukiita kuwa ni chama cha kibabilan sistim, hakisema kuwa chama hicho hakitambui kabisa maslai ya weusi bali ya wazungu na akiwafananisha na Bufaloo Soja.

Hakuna anayeishangaa CHADEMA watu wanashangaa serikali za kishenzi za ccm tangu 1954.
 
Vzr, ili twende sawa weka ushahid akina nan huko duniani kote wanakishangaa chama cha chadema

Hangaika na chama lako.
 
Bangi uliyovuta juzi bado haijaisha??
 
Unatumia ngongingo bin zegembe kuleta mada jukwaani.
Huijui historia ya dunia vyema.
Nyamafu hufa mwezi March.
Pitia hapa uone Nduli dhalimu alivyozikwa na Malaki ya watu Russia, sio kwamba walimpenda, Ila hawakujua kuwa Mungu anajibu maombi haraka.

Back
Top Bottom