IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,331
Ila 2025 mtashiriki?Kwa ushenzi uliofanywa na waliosimamia uchaguzi mkuu uliopita unategemea chama chochote makini kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na washenzi wale wale? Nyie endelezeni tu siasa zenu za kishenzi, sisi tunawaangalia tuone mwisho wenu utakavyokuwa wa aibu.