CHADEMA inahubiri maridhiano katika Katiba Mpya, Je ndani ya Chama maridhiano yapo?

MAHORO

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
7,585
2,568
.... Napenda Kuwapongeza Makamanda Wenzangu Katika Harakati Zetu Za Kumuondoa Mkoloni Mweusi Yaani Ccm.. Lakini Katika Harakati Zetu, Tumejikuta Tuko Kama Wadudu Waitwao Senene, Hawa Wadudu Ambao Ni Chakula Kikuu Kwa Watani Zangu Wahaya Wana Tabia Moja. Wakikamatwa Na Kuwekwa Ndani Ya Gunia Badala Watafute Jinsi Gani Watoke, Ndo Kwanza Wanaanza Kutafunana Wao Kwa Wao.. Kugombana Ndani Ya Chama Ni Jambo Moja, Na Maridhiano Ni Jambo Lingine La Msingi. Napenda Kuwapongeza NCCR MAGEUZI Kwa Jinsi Walivyoonyesha Maridhiano Kwa Vitendo Na Kumrudisha KAFULILA Kundini. Na Sisi Chadema Tuige Mfano Huo, Kuna Watu Tunawahitaji Kushirikiana Nao Katika Kupambana Na Huyu Jambazi Ccm.!!
 
..CDM wameshajaribu mara nyingi kumrudisha Zitto kundini.

..kuna wakati waliunda kamati ya uchunguzi/usuluhishi ambapo marehemu Mama yake Zitto alikuwa mjumbe wa kamati hiyo.

..kwa kweli huwezi kuwalaumu CDM, they have tried almost everything kujaribu kum-accomodate Zitto.

..kwa hulka na tabia za Zitto huyu anatakiwa kuanzisha chama chake mwenyewe akiongoze kulingana na mtizamo wake.

NB:

..Zitto anataka chama kimuombe msamaha. Really?! Umeona wapi hilo likatokea?!

..kama ana magomvi yake na Mbowe wayamalize in private, wakija huku nje tujue wamepatana na kuazimia kukijenga chama.

cc Jasusi, Pasco, Nguruvi3, Molemo, Mag3
 
Last edited by a moderator:
.... Nashukuru Sana Mkuu Jokakuu, Kama Kweli Hizo Juhudi Zimefanywa, Basi Hakuna Wa Kumulaumu.
 
Zitto anabahati sana ya kuwa na mashabiki wasioona wala kusikia. Pia, ana bahati mbaya ya mashabiki wasioweza kumweleza ukweli wa kumjenga bali uongo wa kumpendeza.

Mkuu JokaKuu, hakuna mgogoro ulioikumba CDM kukiwa hakuna mkono wa Zitto. Na mara zote walijaribu sana kumu accomodate wakidhani ni immaturity mbele ya safari atabadilika. Zitto akachukulia hilo kama 'fame''
Unakumbuka ya kale kabinti, undergradute aliowapeleka kutandikwa chale chini ya uti wa mgongo n.k.
Unakumbuka ya Waraka n.k.

Pengine ningeambiwa nimshauri, ningalimsihi yeye awaombe wenzake huko kwenye chama chao msamaha.
Yeye kuombwa msamaha sijui kama ni sahihi, sijui.

Anyways, mimi nashangaa sana jinsi Mansour Himid wa CCM alivyofukuzwa kwa kutoa maoni yake tu.
Nadhani CCM wangemuomba radhi, huyu anapaswa kuombwa radhi.

Hakuwahi kuleta mtafaruku zaidi ya kusimamia anachoamini.
 
.... Nashukuru Sana Mkuu Jokakuu, Kama Kweli Hizo Juhudi Zimefanywa, Basi Hakuna Wa Kumulaumu.
japo sijapenda "ulivyotela" mapema ila niseme suala la Kafulila lipo tofauti sana,huyu alikubali makosa,akajutia,tunaambiwa "alilia" na akavunja kundi lake.lakini Zito anataka chama kimuombe msamaha!
 
Zitto anabahati sana ya kuwa na mashabiki wasioona wala kusikia. Pia, ana bahati mbaya ya mashabiki wasioweza kumweleza ukweli wa kumjenga bali uongo wa kumpendeza.

Mkuu JokaKuu, hakuna mgogoro ulioikumba CDM kukiwa hakuna mkono wa Zitto. Na mara zote walijaribu sana kumu accomodate wakidhani ni immaturity mbele ya safari atabadilika. Zitto akachukulia hilo kama 'fame''
Unakumbuka ya kale kabinti, undergradute aliowapeleka kutandikwa chale chini ya uti wa mgongo n.k.
Unakumbuka ya Waraka n.k.

Pengine ningeambiwa nimshauri, ningalimsihi yeye awaombe wenzake huko kwenye chama chao msamaha.
Yeye kuombwa msamaha sijui kama ni sahihi, sijui.

Anyways, mimi nashangaa sana jinsi Mansour Himid wa CCM alivyofukuzwa kwa kutoa maoni yake tu.
Nadhani CCM wangemuomba radhi, huyu anapaswa kuombwa radhi.

Hakuwahi kuleta mtafaruku zaidi ya kusimamia anachoamini.

Nguruvi3 umesema vyema sana,Kuna mkanganyiko katika kauli ya Zitto kuhusiana na kuomba/kuombwa radhi kwa kuwa maamuzi yalifanyika kwa mujibu wa katiba,kanuni na miongozo ya chama si vyema kwa yeye kudhani anaweza kuombwa radhi na taasisi bali anapaswa kujirudi nakuanza upya huku akitambua yakuwa aliteleza.
 
Last edited by a moderator:
japo sijapenda "ulivyotela" mapema ila niseme suala la kafulila lipo tofauti sana,huyu alikubali makosa,akajutia,tunaambiwa "alilia" na akavunja kundi lake.lakini zito anataka chama kimuombe msamaha!

.... Hahahaa, anachekesha, kimwombe radhi kwa lipi?
 
.... Napenda Kuwapongeza NCCR MAGEUZI Kwa Jinsi Walivyoonyesha Maridhiano Kwa Vitendo Na Kumrudisha KAFULILA Kundini. Na Sisi Chadema Tuige Mfano Huo, Kuna Watu Tunawahitaji Kushirikiana Nao Katika Kupambana Na Huyu Jambazi Ccm.!!

Mkuu,hapa.unataka kusema Chama ki side na akina Nyakarungu Juliana Shonza Mtela Mwampamba na akina Mchange sio ?
ZZK alikwisha jifukuzisha nwenyewe kwa kwenda Mahakamani
 
Last edited by a moderator:
Mimi sidhani kama ni sahihi kuishi kwa speculation kiasi hiki,. Chadema ina misingi yake na inaendeshwa kwa msingi hio. Je maridhiano ni mabaya? Ya ndani tuachieni hayawahusu please
 
Mpaka sasa nimeshindwa kuamini kwamba kweli Zitto katamka maneno kama hayo kutoka kinywani kwake lakini kama itatokea ni kweli kayatamka basi huyo Zitto kumbe anayo matatizo makubwa zaidi ya nilivyodhani. Kwa wenzetu huu unaweza kuelezwa kama ugonjwa wa kisaikologia unaohitaji kupatiwa ufumbuzi haraka kutoka kwa mtaalamu husika.

Hapana, Zitto ama hawezi kuwa mjinga kiasi hicho au ni mtu hatari wa kuogopwa kama ukoma. Matamshi kama hayo yatakuwa na lengo moja tu, kutaka kuisambaratisha Chadema kitu ambacho katu hawezi kufanikiwa ama kukipigia tafu CCM kwa kuiandikia dawa ya kupunguza maumivu kitu ambacho pia hakiwezekani...it is like trying to flog a dead horse.
 
Kamwe hakuna mtu Individually atakayeombwa msamaha na Taasisi kwa makosa yake mwenyewe!

Hilo hatutalikubali kamwe!

Chadema siyo chama cha mchezomchezo kiasi hicho na wala hakijawekwa mfukoni na mtu.
 
Back
Top Bottom