.... Napenda Kuwapongeza Makamanda Wenzangu Katika Harakati Zetu Za Kumuondoa Mkoloni Mweusi Yaani Ccm.. Lakini Katika Harakati Zetu, Tumejikuta Tuko Kama Wadudu Waitwao Senene, Hawa Wadudu Ambao Ni Chakula Kikuu Kwa Watani Zangu Wahaya Wana Tabia Moja. Wakikamatwa Na Kuwekwa Ndani Ya Gunia Badala Watafute Jinsi Gani Watoke, Ndo Kwanza Wanaanza Kutafunana Wao Kwa Wao.. Kugombana Ndani Ya Chama Ni Jambo Moja, Na Maridhiano Ni Jambo Lingine La Msingi. Napenda Kuwapongeza NCCR MAGEUZI Kwa Jinsi Walivyoonyesha Maridhiano Kwa Vitendo Na Kumrudisha KAFULILA Kundini. Na Sisi Chadema Tuige Mfano Huo, Kuna Watu Tunawahitaji Kushirikiana Nao Katika Kupambana Na Huyu Jambazi Ccm.!!