CHADEMA inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo ili iwe na sifa za kushika Dola

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
983
2,052
Najua hili bandiko litawakela Sana ndugu zangu wa Chadema lakini inabidi tuvumiliane tu.

Kwa jinsi chama kilivoasisiwa inaonyesha kabisa kina nguvu kubwa sana ya kimfumo kutoka kaskazini. Sasa kwa hali hiyo isingewezekana mwaka 2015 na 2020 kupewa nchi.

Hali hii ingeleta swala la ukabila kwenye uongozi wa nchi Sasa kwa kuona Hilo ndo maana yalitokea yaliyotokea.

Pamoja kwamba CCM imechoka lakini bado inaonyesha hiki chama ni cha Kitanzania kwa upande wa mfumo wake.

Hivo basi jiandaeni kwa mabadiliko makubwa yanayokuja ili kuifanya Chadema iwe chama cha kitaifa. Wenye macho wameshaona nini kinaenda kutokea. Vigezo vikififikiwa ndo mtakija kupewa Nchi.

Jumapili njema.
 
jumapili njema kwako bw "babe la mji"...

Ujumbe wa Roho Wa Bwana umeupata? Ananikumbusha kwa faida yako..
 
Chadema ni chama cha Kitaifa fungua akili yako uone ushahidi mkubwa wa hilo kila kona nchini. Ná ushahidi mwingine huu hapa.
 
Mbeya napo ni kaskazini? kule Mara napo ni kaskazini? hata huku Dsm ilikuwepo Kawe, Ubungo, na Kibamba napo ni kaskazini? vipi kwa yule mbunge mpya alieshinda jimbo kule Rukwa napo ni kaskazini?
 
Back
Top Bottom