CHADEMA inachumbiwa na mafisadi, asante Mungu kwa kututeremshia Mh.John Magufuli

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Ikiwa sasa ni kipindi cha miaka miwili tangu Mh.Dr.John Pombe Magufuli aape kuwa Rais Wa Tanzania na kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu ashike hatamu ya uongozi katika nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Mapinduzi , tayari tumeona mageuzi makubwa ndani ya Serikali na chama anachokiongoza yani CCM.

Baada ya kushika madaraka alihaidi jambo moja kubwa ambalo lilikua linatutesa sisi kama Taifa la Tanzania kwa miaka mingi ,nalo ni kushughulikia mfumo wa ufisadi, uliotengenezwa na kuwanufaisha watu wachache na familia zao huku ukiwaacha mamilion ya watanzania wanyonge katika umaskini mkubwa wa kutisha .

Chini ya kaulimbiu ya CCM Mpya na Tanzania Mpya alihaidi kuisafisha CCM dhidi ya watu wabaya waliojificha humo kwa mwamvuli wa chama.
Moto wake sasa unawaunguza mafisadi, wapiga dili na walarushwa wote waliopo Serikalini na wale waliojificha kwenye chama.

Vita vyake vimezaa matunda kwani wale watu wabaya mafisadi wameanza kuonja joto ya jiwe kna ndio hao wameanza kutoka CCM mmoja baada ya mwingine.
Mwanzoni wakifikiri ni utani au business as usual lakin kumbe muanzisha vita hii amedhamiria kwa dhati kabisa kuwaondoa mafisadi wote kwenye chama na Serikali.
Sasa kinachotokea ni kwamba wale mafisadi waliounguzwa na moto wa JPM wanatoka CCM na kwenda kukichumbia chama cha demokrasia na maendeleo yani chadema kwa malengo ya kuwania urais katima uchaguzi ujao wa 2020.

Naita kuchumbia kwa sababu chadema ni chama ambacho kwa miaka nenda rudi waliwananga watu hawa hawa wanaokichumbia kwamba ni mafisadi na walarushwa wakubwa.
Ninazo taarifa kwamba mafisadi hao kabla hawajakubaliwa kujiunga na chadema wanaambiwa watoe pesa kwanza ndipo wajiunge mfano ni Lazaro Nyalandu ambaye alichumbia kwa Shillingi milion 500.
Matokeo ya uchumba huu kati ya chadema na mafisadi ni ndoa ambayo itabeba mimba na kuzaa vitoto vya kifisadi.

Wakati CCM ikijisafisha ,kujitakasa na kuzaliwa upya
chadema wao wamekua ndio kimbilio la mafisadi na wala rushwa wa kila namna.
Sasa hivi ukitaka jambazi yupo chadema, ukitaka muuza adawa ya ulevya yupo chadema ukimtaka mwizi ,mla rushwa na fisadi mtafute chadema utampata.

Chadema sasa ndio jalala na kichaka kupokea na kuhifadhi mafisadi.Vita vyao dhidi ya ufisadi na mafisadi vimekufa kabisa.Chadema sasa ni marafiki wa mafisadi.Chadema sasa inalea,inawasujudia na kuwaabudu mafisadi wakiwaona kama ni mashujaa na wakombozi wao.
Wamesahau maneno yao ya miaka takribani 9 juu ya watu haohao waliowaita mafisadi na sasa wamewapa majina mapya ya makamanda mashujaa.

Vitabu vya dini vinatuambia kwamba shetani alifukuzwa katika mbingu ya utukufu wa enzi akakimbilia duniani ambako ndiko anashindana na Mwenyezi MUNGU wa haki lakini hajashinda na wala hatoshinda
Na sasa mashetani yanayotimuliwa CCM yanakimbilia chadema yakiamini kwamba yatakiangusha Chama Cha Mapinduzi.
Nayaambia tu kwamba hayatoshinda mpaka ukamilifu wa dahari.

Wasalaam,
Augustino Chiwinga.
 
Nadhani hutumii ubongo kufikiri! Hao mafisadi, wanatoka wapi? Tumia ubongo angalau kids please
 
Fisadi gani amefukuzwa Ccm?! Chenge, Mkapa, Kikwete, Magufuli, Ngereja, Muhongo na list ni ndefu sana hawa siku ccm ikiwafukuza ndio nitaamini kuwa imekuwa ccm mpya, lakini kupigia kelele watu wanaotoka huku waliobaki mkiwaona ni malaika huu ni uwendawazimu
 
Ikiwa sasa ni kipindi cha miaka miwili tangu Mh.Dr.John Pombe Magufuli aape kuwa Rais Wa Tanzania na kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu ashike hatamu ya uongozi katika nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Mapinduzi , tayari tumeona mageuzi makubwa ndani ya Serikali na chama anachokiongoza yani CCM.

Baada ya kushika madaraka alihaidi jambo moja kubwa ambalo lilikua linatutesa sisi kama Taifa la Tanzania kwa miaka mingi ,nalo ni kushughulikia mfumo wa ufisadi, uliotengenezwa na kuwanufaisha watu wachache na familia zao huku ukiwaacha mamilion ya watanzania wanyonge katika umaskini mkubwa wa kutisha .

Chini ya kaulimbiu ya CCM Mpya na Tanzania Mpya alihaidi kuisafisha CCM dhidi ya watu wabaya waliojificha humo kwa mwamvuli wa chama.
Moto wake sasa unawaunguza mafisadi, wapiga dili na walarushwa wote waliopo Serikalini na wale waliojificha kwenye chama.

Vita vyake vimezaa matunda kwani wale watu wabaya mafisadi wameanza kuonja joto ya jiwe kna ndio hao wameanza kutoka CCM mmoja baada ya mwingine.
Mwanzoni wakifikiri ni utani au business as usual lakin kumbe muanzisha vita hii amedhamiria kwa dhati kabisa kuwaondoa mafisadi wote kwenye chama na Serikali.
Sasa kinachotokea ni kwamba wale mafisadi waliounguzwa na moto wa JPM wanatoka CCM na kwenda kukichumbia chama cha demokrasia na maendeleo yani chadema kwa malengo ya kuwania urais katima uchaguzi ujao wa 2020.

Naita kuchumbia kwa sababu chadema ni chama ambacho kwa miaka nenda rudi waliwananga watu hawa hawa wanaokichumbia kwamba ni mafisadi na walarushwa wakubwa.
Ninazo taarifa kwamba mafisadi hao kabla hawajakubaliwa kujiunga na chadema wanaambiwa watoe pesa kwanza ndipo wajiunge mfano ni Lazaro Nyalandu ambaye alichumbia kwa Shillingi milion 500.
Matokeo ya uchumba huu kati ya chadema na mafisadi ni ndoa ambayo itabeba mimba na kuzaa vitoto vya kifisadi.

Wakati CCM ikijisafisha ,kujitakasa na kuzaliwa upya
chadema wao wamekua ndio kimbilio la mafisadi na wala rushwa wa kila namna.
Sasa hivi ukitaka jambazi yupo chadema, ukitaka muuza adawa ya ulevya yupo chadema ukimtaka mwizi ,mla rushwa na fisadi mtafute chadema utampata.

Chadema sasa ndio jalala na kichaka kupokea na kuhifadhi mafisadi.Vita vyao dhidi ya ufisadi na mafisadi vimekufa kabisa.Chadema sasa ni marafiki wa mafisadi.Chadema sasa inalea,inawasujudia na kuwaabudu mafisadi wakiwaona kama ni mashujaa na wakombozi wao.
Wamesahau maneno yao ya miaka takribani 9 juu ya watu haohao waliowaita mafisadi na sasa wamewapa majina mapya ya makamanda mashujaa.

Vitabu vya dini vinatuambia kwamba shetani alifukuzwa katika mbingu ya utukufu wa enzi akakimbilia duniani ambako ndiko anashindana na Mwenyezi MUNGU wa haki lakini hajashinda na wala hatoshinda
Na sasa mashetani yanayotimuliwa CCM yanakimbilia chadema yakiamini kwamba yatakiangusha Chama Cha Mapinduzi.
Nayaambia tu kwamba hayatoshinda mpaka ukamilifu wa dahari.

Wasalaam,
Augustino Chiwinga.
huyo naye ni fisadi papa jingine
 
Namfahamu vzr huyu mpuuzi anamiliki magroup mengi ya wasap ili posho na bando apewe la kutosha ila akiri yake ni fupi
 
Hata bashite akihama msema kwanza linavyeti feki nyie watu nyie ??!!! Mpoje sijui... yani tibaijuka mpo nae huko...joka la makengeza nalo mnalo siku likiondoka mtasema ni jambazi hilio..
 
Wamekwisha wanavizia pesa za wizi wapewe wao.

Hivi mahakama ya mafisadi mbona haiungurumi tukaisikia!?
 
We jamaa utakuwa umetoroka milembe, huwezi ukaandika uongo kiasi hiki, hv zile dawa zako umekumbuka kuzimeza leo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom