CHADEMA imepata jimbo lolote Zanzibar?

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
2,000
Wakuu pamoja na kufutwa kwa matokeo zanzibar je chadema walishapata jimbo lolote zanzibar kwani walipewa jimbo moja ambalo mgombea wake alikuwa salum mwalimu.
 
Madenge Origino

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,847
2,000
Salum Mwalim hakupata ubunge Zanzibar. Kikwajuni kuna Mbunge wa CCM. kama sikosei basi ni Hamad Masauni. Kwa ufupi Chadema haikupa mmbunge Zanzibar
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,128
2,000
unapo zungumzia chadema kwenye uchaguzi huu uwe unazungumzia UKAWA kwahiyo kama hakuna jimbo lolote lililo chukuliwa na UKAWA hapo sawa
 
vegas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,043
2,000
Acha kueneza chuki na kufarakanisha taifa. Nani kasema watu wa Kilimanjaro na Arusha wote ni CHADEMA? Kuna wana CCM wengi tu. By the way wote ni watanzania. Ni hatari kuitazama Tanzania kwa upeo wa ukanda ukanda, ukabila kabila.
Usishangae ndy fisiem ilikotufikisha, baada ya udini kutoleta mafanikio makubwa, usine kushangaa mbeleni wakaibuka na mgombea kutoka kanda nyingine kwa kisingizio kanda hiyo haijatoa raisi.na hasa kanda ya kati
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom