CHADEMA imemsaliti Lema kama ilivyomkana Deo Kisandu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,332
Wakati wa utawala wa awamu ya NNE, nilipojiunga NCCR Mageuzi nabaadae CCM, CCM walipotaka kujua historia yangu kichama na utendaji wangu ndani ya chadema, viongozi wa CHADEMA walitoa taarifa za uongo na kunikana kuwa hawanijui.

Leo Lema yuko gerezani, nawanaoongoza kutoa siri za lema ni wafuasi wa CHADEMA, tena wengine wakimponda. Huwezi amini sasa wanaona heri Focus kuliko Lema laana itawatafuna sana kwa kuwakana watu mliofanya nao kazi kisa mnaogopa watapewa vyeo. Vita vya panzi furaha ya watawala.

Ndio maana hata swala la Ben linaonekana kama ni propaganda kutokana na tabia ya kuwakana viongozi wenu wanao hama chama chenu. Mbona CCM hawakumkana Lowassa, Sumaye wala Mgeja kisa wamekuja CHADEMA? Badilikeni wadogo zangu, sisi ndio tumewapa maisha, Leo mnatukana na kutuzalilisha. Kazi kwenu.@Deogratius Kisandu
 
Chadema wakikuchoka wanakutafutia sababu uonekane msariti, ngoja lema atoke halafu atoe lawama zake ndiyo atamjua mbowe.
 
chadema masilahi, ndo maana Bab Duni alikimbia, John Chibuda kaondoka, Zitto kahama, Dr Slaa kawahacha, waliobaki ni watafuta sifa na walopokaji kila kukicha mahakamani
 
Kwani huyu mchumia tumbo bado yupo? Teh, teh, njaa nayo ikipanda kichwani huwa inaathiri ubongo.
 
Chadema wakikuchoka wanakutafutia sababu uonekane msariti, ngoja lema atoke halafu atoe lawama zake ndiyo atamjua mbowe.
Hivi CHADEMA ndio waliomweka ndani Lema au Mhakama ni ya CHADEMA? sometime ni vema kunyamaza kuliko kuonyesha udhaifu ulionao katika kufikiri
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom