Chadema imekomboa wabunge wa ccm

emrema

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
268
42
Moja kati ya mafanikio makubwa ya CDM katika bunge la mwaka huu ni CDM kuwasaidia Wabunge wa CCM kuwa huru na kutobanwa na kamati kuu ya chama (CCM) kama zamani. Mbali na kuanza kinafiki baadae wamegundua serikali haibebeki na Wameweza kuipinga serikali bila woga na pia kuwakilisha kiukweli hali halisi ya wananchi wao.

Wabunge wote mjue kuwa wanaowapa kura na nyadhifa ni wananchi na sion CCM, Wanajua wazi kuwa CCM ikiwaletea NYODO/ubabe wana move to CDM na maisha yanaendelea tena kwa starehe na uhuru zaidi. Nawapongeza Sitta, Simbachawene, Filikunjombe, Makamba na Mama Shelukindo.

wabunge mjue MTAJI WENU NI WANANCHI NA SIO SERIKALI FUATENI CHADEMA.

NCHI HII NI YETU WOTE SI YA CCM, NA WOTE TUNA HAKI YA KUIJENGA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom