CHADEMA imekomaa na kuvuma mikoa mingi Tanzania

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Mwanzo CHADEMA ilikuwa inavuma Arusha na Moshi,baadae Mbeya na Morogoro kidogo,kwa kampeni za mwaka huu naona maeneo mengi ambayo sikuyatarajia naona hamasa kubwa za watu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA,sasa hivi kila anapotembelea Lissu anavunja rekodi ya mkutuno uliopita.

Leo Kagera naweza kusema wamevunja rekodi ya kuhudhuria mkutano wa Lissu.

Tusione ajabu sehemu nyingine ikavunja rekodi ya Kagera. Hongereni watanzania na viongozi wote wa CHADEMA kwa uvumilivu wenu.Sifa za pekee ziende kwa Lissu na Mbowe
 
Na hapo hakuna msanii,watumishi wanaolazimishwa kuhudhuria kwa roll call wala maroli ya kusomba watu wala watoto wa shule wanaopelekwa kwa viboko.
 
Watu wa Kagera waliambiwa;

"Ukimwi ni nyie, tetemeko ni nyie, mpaka mna mto unaitwa n'gono..... Mwaafaa"

Nitamshangaa sana mwana Kagera atakaye jisahau wallah!
 
Hongera mwamba Mbowe, wale wasaliti mwambe na sumaye walipandikizwa ili kuiua chadema intelligentsia Kali ilitumika kuwakata
 
Mwanzo CHADEMA ilikuwa inavuma Arusha na Moshi,baadae Mbeya na Morogoro kidogo,kwa kampeni za mwaka huu naona maeneo mengi ambayo sikuyatarajia naona hamasa kubwa za watu kuhudhuria mikutano ya CHADEMA,sasa hivi kila anapotembelea Lissu anavunja rekodi ya mkutuno uliopita.

Leo Kagera naweza kusema wamevunja rekodi ya kuhudhuria mkutano wa Lissu.

Tusione ajabu sehemu nyingine ikavunja rekodi ya Kagera. Hongereni watanzania na viongozi wote wa CHADEMA kwa uvumilivu wenu.Sifa za pekee ziende kwa Lissu na Mbowe
Chadema watafanikiwa endapo wataweza kushinda mioyo ya jamii inayoishi sehemu za pwani uswahilini yaani kwa waislamu wenzangu
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah
Mara hii Tundu Lissu maana pombe anawatesa Sana masheikh wetu bila kuwapeleka mahakamani kwa hilo Tundu Lissu Anayo kura yangu na ya Familia tangu
Ndugu zanguni wa kiislamu msidanganyike na assalaam aleykum ya pombe yule anatumia BAKWATA kutudhalilisha
Ningependa kusikia maoni ya waislamu wenzangu
 
Nimekakuta sehemu
Screenshot_20200923-103547.jpg
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom