CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

Status
Not open for further replies.
honestly speaking n kwamba ccm wameboronga sanaa wakatupa umaskini tulionao ila watanzania lazm tucheze km pele hapa ktk haya mabadiliko.kwan hakuna watanzania wanaoweza kauzaisha chama kingine tukakipa kura.naanza kukikumbuka nccr kilikua cha mageuzi ya kweli.bwana mrema alisimama mwenyewe wala hakutaka kufadhiliwa na mashoga wala wakristo wenzie.
 
hakuna chama kisichokuwa na wafadhili au marafiki,tunachotaka nape atudhihilishie ni yale mapesa ya kutishia kuuza nchi,hiki ndo tunasubiri huko mahakamani,kama ni pesa ya kuendeleza chama,hata magamba wanapata pesa nyingi kuliko chama chochote,sie tunachotajka kukiona ni hicho cha kutishia nchi kuuzwa,and nape alisema anaweza kuprove maana ana vidhibitisho,subiri mahakama ifanye kazi yake.hatutaki akiri dhaifu kuiongoza akiri imara,

Alafu toka lini mtu akashinda kesi kutokana na ushahidi wa gazet la habari leo???naona wanampa moyo nape mana amelikoroga na hivi ana gundu atakoma
 
hakuna chama kisichokuwa na wafadhili au marafiki,tunachotaka nape atudhihilishie ni yale mapesa ya kutishia kuuza nchi,hiki ndo tunasubiri huko mahakamani,kama ni pesa ya kuendeleza chama,hata magamba wanapata pesa nyingi kuliko chama chochote,sie tunachotajka kukiona ni hicho cha kutishia nchi kuuzwa,and nape alisema anaweza kuprove maana ana vidhibitisho,subiri mahakama ifanye kazi yake.hatutaki akiri dhaifu kuiongoza akiri imara,

Mkuu kwani Nape akiprove CDM wanapokea hizo alizotaja Dr Slaa si atakuwa yupo sahihi?
Mimi nadhan CDM waachane na huyu mtu kwa kesi za ajabu ajabu kama hizi ambazo nadhani CDM ndio wangekuwa waathirika wa kwanza wa kesi hizi kama zingekuwa na maana kutokana na madai yao lukuki dhidi ya CCM ambayo hayana ushahidi kisheria
 
Huyo unamueleza hawezi kukuelewa yeye ametumwa kupinga cdm tu lakini hawezi kumbuka ccm nao wanawafadhili wanao wapa fedha.

Haya ni marudio tu kwani Anthon Komu afisa wa fedha wa CDM alikuwa katika interview na Channel 10 kipindi nape alipoanza kyatoa hayo matamshi na aliyaongea hayo na walimpigia Nape simu naye akakubali na wao wanaasasi na vyama kama hivyo vinavyosapoti DEMOCRASIA penginge kwa kutoa fedha au mafunzo
 
Kwani wafadhili wa ccm na serikali unawajua dini zao!

Kweli Dr slaa kazeeka anaanza kuropoka sasa, tujiandae tutashuhudia mengi, imedhihirisha udini wa chadema kwa Mahusiano na Christian Democratic union, wadini wa kikristo wataendelea kumtetea! Ss atatueleza Mahusiano na vyama vyenye mrengo wa ushoga kule uingereza.
 
Kwa kukiri tu Slaa baada ya Nape kutangaza hadharani, Nape kisha shinda kesi, Chadema waandae kulipa gharama za kesi na kumlipa fidia Nape. Piga pangua, wala kujidai kukiri sasa hivi hakusaidii kitu.

Siku zote huwa tunasema humu, hiki chama kina ufadhili wa kidini ya Kikristo, watu wanakuja juu, Nape katekenya watu wameachia.

inaelekea waislamu wengi mnaogopa sana ukristo? Na kwanini wakristo wengi hawaogopi uislamu?

Maana watu mkiona neno ukristo tu mnaanza kutokwa povu.
 
kama ni ivo kosa la nape ni lipi? kwanini cdm wamefungua kesi. mpaka hapo cdm wamengizwa mjini kufungua kesi
 
Nape kisha shinda kesi, hilo hamkwepi hata mseme nini.

1. Hivi ni kweli kuwa wewe unatumika, na huwa kucha kutwa unashiriki kuweka posts na comments zenye mrengo wa kumtetea Nape hapa na kule Facebook kwenye lile Jukwaa lenu la Udini na Uzandiki?

2. Ni kweli kwamba huwa unalipwa kwa kazi hiyo?

3. Ni kweli kuwa kwenu huwa hamjadili hoja, bali mnajadili tu vitu anti CHADEMA na pro JK/Nape?

4. Ni kweli kwamba hizo bilioni 3 hamna na hivyo mnakesha usiku na mchana kuomba suluhu?

5. Ni kweli kwamba Nape ameshtakiwa kwa kosa la kusema Uongo, kwamba CHADEMA inafadhiliwa na mataifa ya nje kwa misingi ya kuweka nchi rehani; wanapewa mabilioni ili wakiingia madarakani warejeshe fadhila kwa hao wafadhili waliouziwa nchi? Na kwamba, hoja zitakazokubaliwa mahakamani kama ndiyo msingi wa kesi ni, je ni kweli CHADEMA INAPEWA MABILIONI NA WAFADHILI KWA MAKUBALIANO YA KUWAPA RASLIMALI ZA NCHI (PINDI WAKIINGIA MADARAKANI 2015)?

6. Ni kweli kwamba huu mnaouita ushahidi (wa KAS/CDU) hauwezi uka-justify kuwa ndo mkataba wa kuiuza nchi? Na je, ni kweli kwamba hizo nchi fadhili zitatakiwa kuja mahakamani kuthibitisha au kukanusha tuhuma hizo? Na ni kweli kwamba kwa hili Nape alikurupuka, wala hakutumwa na Chama Chake ndo maana alishtakiwa yeye kama Nape?

Nauliza tu, naomba majibu.
 
namnukuu nape-chadema wanafadhiliwa nabilioni ambayo wameingia mkataba wa kuuza rasilimali za nchi baada ya kusikia tanzania imevumbua gesi na sasa wanahalalisha kwa kukusanya visenti vya walalahoi.

hiki ndicho nape anatakiwa kuthibitisha bila shaka mahakamani,.
 
Imagine CUF ikiri kupokea misaada kutoka chama kimoja cha Kiislamu IRAN! JF pasingekalika na magezeti yao pia! Mungu hawafich wanafiki! Wadini wakubwa nyie!

hivi ukristo ulishawafanya nini waislamu? Maana kila mnapoona neno ukristo basi mnasema udini au mnataka dunia nzima tuwe na mapokeo ya nadharia za mwarabu ndio mseme hakuna udini?
 
Mkuu kwani Nape akiprove CDM wanapokea hizo alizotaja Dr Slaa si atakuwa yupo sahihi?
Mimi nadhan CDM waachane na huyu mtu kwa kesi za ajabu ajabu kama hizi ambazo nadhani CDM ndio wangekuwa waathirika wa kwanza wa kesi hizi kama zingekuwa na maana kutokana na madai yao lukuki dhidi ya CCM ambayo hayana ushahidi kisheria

Tatizo sio kupewa/kupokea pesa toka nje ya nchi, in fact CHADEMA walishasema hili way back wakati Sophia Simba na Membe wanaleta porojo zao. Nape anatakiwa atoe evidence kwamba CHADEMA walipewa fedha na NCHI nyingine kwa makubaliano ya kuuza rasilimali za nchi.
 
Mimi naona tungeanzia kwa mfadhili huyu hapa kwenye picha.
Angalia vizuri picha hii ambayo JK yuko na mfadhili. JK anashirikiana na mfadhili huyu !!
Unamfahamu vizuri mfadhili huyu ?? Basi hebu angalia vizuri hapo kwenye maandishi ya rangi ya blue !!
Hapo vipi ?? (Hii kauli ya "Hapo Vipi ??" ni kwa hisani ya Edward Lowassa !!

Nasikia kwenye haya mambo ya salamu mkono wa nani uko juu na wa nani uko chini also says something
 
Imagine CUF ikiri kupokea misaada kutoka chama kimoja cha Kiislamu IRAN! JF pasingekalika na magezeti yao pia! Mungu hawafich wanafiki! Wadini wakubwa nyie!

... need to say more!??? ahsante Slaa!
mi nikisema naambiwa mdini!

Mwandishi ametoa source ya habari hii. lakini wasomaji wengi wamaishia kusoma habari hii nusu nusu.
Katika source ya habari hii, Dr. Slaa aliendelea kusema kuwa Chadema, CCM na Cuf wote wanashirikiana na mashirika fulani ya huko Ujerumani.
Ila watu kwa uvivu wa kusoma na kwa kukurupuka kwa mvuto wa udini, wameanza kutoa comments za ajabu sana.
Kama Chadema inashrikiana na mashirika ya Ujerumani, na inabandikwa udini, sasa CCM na CUF nazo zitabandikwa nini ??
Kwa mijibu waDr. Slaa, "...CCM inashirikiana na FES, CUF inashirikiana na FNF zote za Ujerumani..."

Sasa hebu tuone yaho mashirika mengine yaliyotajwa hapo.

1. Tuanze na FES ambayo CCM inashirikiana nayo:
The Friedrich Ebert Foundation (German: Friedrich-Ebert-Stiftung; Abbreviation: FES) is a German political foundation associated with the Social Democratic Party of Germany (SPD), yet independent of it. Established in 1925 as the political legacy of Friedrich Ebert, Germany's first Democratically elected President, it is the largest and oldest of the German party-associated foundations. It is headquartered in Bonn and Berlin, and has offices and projects in over 100 countries. It is Germany's oldest organisation to promote democracy, political education, and promote students of outstanding intellectual abilities and personality. The current President of the FES is Peter Struck.

2. Tuje kwa FNF ambayo CUF inashirikiana nayo:
The Friedrich Naumann Foundation (German: Friedrich-Naumann-Stiftung für die Freiheit) (FNF) is a German foundation for liberal politics, related to the Free Democratic Party. Established in 1958 by Theodor Heuss, the first president of the Federal Republic of Germany, it promotes individual freedom and liberalism.
The Foundation follows the ideals of the Protestant theologian, Friedrich Naumann. At the beginning of the last century, Naumann was a leading German liberal thinker and politician. He resolutely backed the idea of civic education. Naumann believed that a functioning democracy needs politically informed and educated citizens.

Hao SPD wanaoshirikiana na CCM ndio wanaounga mkono sana ndoa za jinsia moja.
Halafu, hao FNF wanaoshirikiana na CUF, sera zao zinafuata maadili ya kikristo ya mwanzilishi wao Pastor Friedrich Naumann.

  • Sasa kwa msingi huu hapo juu, tunaweza kusema nini kuhusu CCM na CUF ??
  • Kwamba CCM wanaunga mkono ushoga, na CUF wapo kidini zaidi ndani ya Ukristo ???
 
1. Hivi ni kweli kuwa wewe unatumika, na huwa kucha kutwa unashiriki kuweka posts na comments zenye mrengo wa kumtetea Nape hapa na kule Facebook kwenye lile Jukwaa lenu la Udini na Uzandiki?

2. Ni kweli kwamba huwa unalipwa kwa kazi hiyo?

3. Ni kweli kuwa kwenu huwa hamjadili hoja, bali mnajadili tu vitu anti CHADEMA na pro JK/Nape?

4. Ni kweli kwamba hizo bilioni 3 hamna na hivyo mnakesha usiku na mchana kuomba suluhu?

5. Ni kweli kwamba Nape ameshtakiwa kwa kosa la kusema Uongo, kwamba CHADEMA inafadhiliwa na mataifa ya nje kwa misingi ya kuweka nchi rehani; wanapewa mabilioni ili wakiingia madarakani warejeshe fadhila kwa hao wafadhili waliouziwa nchi? Na kwamba, hoja zitakazokubaliwa mahakamani kama ndiyo msingi wa kesi ni, je ni kweli CHADEMA INAPEWA MABILIONI NA WAFADHILI KWA MAKUBALIANO YA KUWAPA RASLIMALI ZA NCHI (PINDI WAKIINGIA MADARAKANI 2015)?

6. Ni kweli kwamba huu mnaouita ushahidi (wa KAS/CDU) hauwezi uka-justify kuwa ndo mkataba wa kuiuza nchi? Na je, ni kweli kwamba hizo nchi fadhili zitatakiwa kuja mahakamani kuthibitisha au kukanusha tuhuma hizo? Na ni kweli kwamba kwa hili Nape alikurupuka, wala hakutumwa na Chama Chake ndo maana alishtakiwa yeye kama Nape?

Nauliza tu, naomba majibu.

Ni kweli kwa yote. Una mengine?

Na mimi nauliza, pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/322659-ubaguzi-au-maslahi-kisiasa.html
 
Ukweli husemwa:

Siasa za Tanzania zinatia kichefuchefu.

Tupende tusipende, historia inaonyesha kuwa hakuna misaada kutoka kwa Wazungu isiyokuwa na malipo.
Kama tunapiga kelele kuwa serikali ya CCM imeshindwa kusimamia raslimali zetu vizuri. Mojawapo ya sababu ni kuwagawia bure hawa wanaojiita 'wawekezaji'. Ninachelea kupatwa na wasiwasi na kauli kama hii ya Dr Slaa. Je, hawa 'wawekezaji' wanaokuja kwa jina la watoa misaada wanataka nini?
 
[/B]

Mwandishi ametoa source ya habari hii. lakini wasomaji wengi wamaishia kusoma habari hii nusu nusu.
Katika source ya habari hii, Dr. Slaa aliendelea kusema kuwa Chadema, CCM na Cuf wote wanashirikiana na mashirika fulani ya huko Ujerumani.
Ila watu kwa uvivu wa kusoma na kwa kukurupuka kwa mvuto wa udini, wameanza kutoa comments za ajabu sana.
Kama Chadema inashrikiana na mashirika ya Ujerumani, na inabandikwa udini, sasa CCM na CUF nazo zitabandikwa nini ??
Kwa mijibu waDr. Slaa, "...CCM inashirikiana na FES, CUF inashirikiana na FNF zote za Ujerumani..."

Sasa hebu tuone yaho mashirika mengine yaliyotajwa hapo.

1. Tuanze na FES ambayo CCM inashirikiana nayo:
The Friedrich Ebert Foundation (German: Friedrich-Ebert-Stiftung; Abbreviation: FES) is a German political foundation associated with the Social Democratic Party of Germany (SPD), yet independent of it. Established in 1925 as the political legacy of Friedrich Ebert, Germany's first Democratically elected President, it is the largest and oldest of the German party-associated foundations. It is headquartered in Bonn and Berlin, and has offices and projects in over 100 countries. It is Germany's oldest organisation to promote democracy, political education, and promote students of outstanding intellectual abilities and personality. The current President of the FES is Peter Struck.

2. Tuje kwa FNF ambayo CUF inashirikiana nayo:
The Friedrich Naumann Foundation (German: Friedrich-Naumann-Stiftung für die Freiheit) (FNF) is a German foundation for liberal politics, related to the Free Democratic Party. Established in 1958 by Theodor Heuss, the first president of the Federal Republic of Germany, it promotes individual freedom and liberalism.
The Foundation follows the ideals of the Protestant theologian, Friedrich Naumann. At the beginning of the last century, Naumann was a leading German liberal thinker and politician. He resolutely backed the idea of civic education. Naumann believed that a functioning democracy needs politically informed and educated citizens.

Hao SPD wanaoshirikiana na CCM ndio wanaounga mkono sana ndoa za jinsia moja.
Halafu, hao FNF wanaoshirikiana na CUF, sera zao zinafuata maadili ya kikristo ya mwanzilishi wao Pastor Friedrich Naumann.

  • Sasa kwa msingi huu hapo juu, tunaweza kusema nini kuhusu CCM na CUF ??
  • Kwamba CCM wanaunga mkono ushoga, na CUF wapo kidini zaidi ndani ya Ukristo ???

ndio maana tunasema kwamba cdm hatuitaki wala ccm tutafe chama cha kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom