CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

Status
Not open for further replies.
You are partially right; lakini haitoshi kusema achana naye Nape ndivyo alivyo, maneno yanaumba; yasipokanushwa yanaweza kuwafanya raia wakaamini uvuvuzela wa Nape;

Tufike mahali afundwe kwa njia ya mkono wa sheria kwamba there will be consequences if he continues to allow his big mouth to go off like a loose canon; shoot first take aim later! nops!

Chama makini hakiwezi kufumbia macho tabia za namna hiyo, let the law take its own cause! ni kwa njia hiyo tu umma utafahamu tofauti baina ya mchele na chuya.
 
wapuuzi tu wote wanaoshabikia udini. akiri zao haziwatoshi. mbona c.c.m kinafadhiliwa kwa mida mrefu na china hamkusema. kila chama kina wafadhili bila kijali itikadi watokayo. nape hawezi toka hapa kwani hawapewi pesa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom