CHADEMA imekalia kuti kavu. Ni hofu ya uchaguzi 2015 na machafuko yanayoendelea dunian | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA imekalia kuti kavu. Ni hofu ya uchaguzi 2015 na machafuko yanayoendelea dunian

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPA, Mar 5, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kasi ya chadema imewatisha baadhi ya vyama, wingi wa watu kwenye maandamano na kukubalika hasa na vijana, hali ngumu ya maisha, na machafuko yanayoendelea dunia. Kumeitia hofu serikali na chama tawala. Vyombo vya dola kiangalia cdm kwa jicho la tatu. Swali watu wanajiuliza, je ni kweli cdm inahamasisha vurugu na uchochezi, tatizo ni cdm au ufisadi na hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira au ni hofu ya ccm uchaguzi 2015, na kuchokwa na wananchi. Cuf, nccr, ccm, udp, tlp one side cdm other side (alone). Wht is next move? wait and see,
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kitakacho tokea ni watala kutawaliwa.
   
Loading...