Chadema imejiandaa vipi 2015 kuzipata kura za waislam?????

Status
Not open for further replies.
Ulilichagua vema jina unalotumia hapa ukumbini. Huwezi kutegemea kichwa kibovu kitoe maneno ya busara!

Hili la chadema halipingiki ni chama chenye mlengo wa udini tena waziwazi,kama haitachukua hatua hawatafika kokote,nikajaribu kufanya kautafiti kadogo kwa wakristo kila ninayemuuliza chama gani chadema,ukifuatilia kwa undani unakuta hawa watu wameandaliwa makanisani. siku zote wakristo hawapendi kuongozwa na waislam huu ndio ukweli ,watajihidi kuhamasishana ili nchi iongozwe na wao kana kwamba wana hati miliki na nchi.sasa hivi waislam nao wameshituka,mwendo ni uleule hata mkisema wanatumiwa na ccm propaganda yenu wameshaishitukia wala hawadanganyiki vinginevyo chadema wajirekebishe.mnafikiri mtashinda kwa nguvu za kanisa peke yake?tz ni nchi salama hakuna bengazi, rukenirukeni tu kwa kujifurahisha,nani atakayeongoza hiyo bengazi huyo padiri wenu anayejificha kwy maspika,au huyo msaliti wenu mboe?! eti mnamsakizia lema ajipeleke gerezani baada ya kukosa sababu ili mlete vita,hatuwashangai hata rwanda chokochoko zililetwa na maaskofu.vurugu zenu zinaniboa sana.ok anzani kuleta vurugu na mtafute kabisa kwa kukimbilia.wenye uchungu na nchi watailinda.kama waliweza kupigania uhuru watashindwaje kuilinda,ebo!
 
Kamwe hatutachagua Rais kutokana na dini yake. Hakuna suala la zamu ya Waislamu, Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana au Wasabato. Tutachagua Rais mwenye sifa ya kutuongoza, na si vingonevyo. Kuna walioanza kuzungumzia zamu wa Wazanzibar. Hakuna kitu kama hicho! Iwapo atapatikana Mzanzibari mwenye sifa fine, lakini sio kulazimisha kuongozwa na Mzanzibari kwa upuuzi huu wa zamu.
 
Chadema wauchukue mfano huu wa ndesa na kuusambaza nchi nzima,hii itawasaidia sana,hili tatizo la umaarufu wa chadema kuwa mdogo kwa waislam unakicost chama........huo ndio ukweli hata kama hatupendi kuusikia


DSC08536.JPG

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiteta jambo na viongozi wa dini ya kiislamu.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza na viongozi wa dini ya kiislamu mkoa wa Kilimanjaro(hawako pichani)
Sheakh wa wilaya ya Siha ,Sheakh Mlewa akichangia hoja katika mkutano wa viongozi wa dini ya kiislamu na mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo.
Meya wa manispaa ya Moshi Jafary Michael akizungumza katika mkutano na viongozi wa dini ya kiislamu mkoa wa Kilimanjaro(hawako pichani).
Viongozi wa dini ya kiislamu mkoa wa Kilimanjaro.
 
siasa za Tanzania imejaa fitina wakati mwingine nafikiria kama vile hatuna wapinzani wa kweli maana hata hao wapinzani wanapingana wenyewe na hivyo kutoa mwanya wa kuweza kusambaratishwa.Hebu angalia kinachoendelea katika vyama vyetu vya siasa kila kukicha ni migogoro za hapa na pale.CCM wao bwana ni wajanja wana mbinu nyingi sana na coverage yao ni kubwa kiasi kwamba kuwapokonya madaraka si kazi rahisi hata kidogo na laiti wangewasikiliza wananchi kipindi cha kura ya maoni hata wapinzani wasingefua dafu.kuna haja ya kutoa elimu ya urai kwa jamii na kupiga vita swala la udini kwa gharama zote kwani udini hautatufikisha mbali .It is my thought.
 
Hili la waislam linaigharimu sana chadema,ingewatumia watu kama prof safari,zitto,said arfi n.k kuanzisha mazungumzo rasmi na viongozi wa makundi ya kiislam,litaisha tu,wakilweza hili njia ya ikulu nyeupe,maana ccm hawatakua na ujanja mwingine maana la ukabila na ukaskazini linaonekana kuondoka,walivalie njuga hili,linazungumzika tu
 
iundwe timu maalum itakayoongozwa na mh.mbowe na prof safari izunguke nchi nzima hasa kwenye waislam wengi na kukutana na viongozi wa makundi ya kiislam,hakuna kinachoshindikana yote yanazungumzika



 
wewe kichwa kibovu ni mpumbavu kabisa hujui hata ku type alaf unasema umefanya utafiti? wwe ni vuvuzela la ccm najua unajipachika uislam feki nani kasema wakristu hawataki kuongozwa na muislam? waislam wangapi nchi hii wna vyeo vya juu tena wa kubebwa, nchi rais,makamu wake,jaji mkuu,rais wa zanzibar makam wake wo2 wa2 waislam wakristu gani wenye haki miliki? kama wewe kweli muislam unapaswa ujiulize mara3 sio 2 jinsi waislam mnavodai upendeleo ambao kwenu mnauita haki!!!!!!! achana na kumtukana slaa padri 2naangalia uwezo wa mtu sio padre wala shekhe hajui kama jk kachemsha ni uwezo wake na ccm yake sio dini yake.CHADEMA ndo chama chenye dira na itaikamata nchi hii 292015 ili waislam na wakristu wote waneemekee sio vuvuzela la mafisadi kama wewe unaetumiwa kama condom bila kujijuua. wote ccm ni kuwafunga jela na ole wao watakaofanya fujo 2015 waibe kura kama walivozoea LUSI MORENO OCAMPO atawapeleka uholanzi bila nauli si mmezoea nguvu ya dola sisi yetu ya uma hapa ni zaidi ya benghasi na ban walid au sirte mtatutambua mwaka huu na madarakani ccm itatoka taka isitake kwanza wanakaribia kumalizana wenyewe
 

Mh Mbowe na familia yake wakiwa wamesimama kwa ajili ya kupongezwa na viongozi mbalimbali waliokuwepo kanisani hapo.

Mh.Mbowe akipewa baraka!
 
Ladba wamsimamishe Zitto Kabwe , kupambana na Asha Rose Mingiro. Mwislam kwa mwislam hapo mchuano utakua mkali sana .
Ila swali lilitakiwa kua hivi .Chadema wamejiandaa vipi kupata kura za wasio wachagga?Maana waislamu ni wachache kulinganisha na wasio wachaga ni wengi hapo sasa kazi kwao.
 
Hujasikia chadema ina wabunge wengi zaidi nje ya kilimanjaro na arusha kunakoaminika kuwa na wachagga wengi?hiki ni kielelezo tosha kwamba la ukabila halipo tena,hili la udini ndio issue japo ccm wanalikuza zaidi wakati chadema wamelala usingizi hawalishughulikii kama ccm wanavyolishughulikia,ila kumsimamisha muislam kwao inaweza kuwa idea nzuri na njia ya mkato ya kulishighulikia hilo na kuwazidi maarifa ccm!
 
Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2010 Cdm ilijizatiti kuyashika makanisa..mfano mzuri Arusha Radio Safina ilitumiwa Vyema na Lema na wakawahadaa wananchi kuwa yule mama muislamu akiingia ataifunga Radio Safina na wakristo wakaingia mkenge wakafunga siku 7 na maombi juu ili yule mama Asishinde..kanisa la kkkt, na Catholic Church lililopo near makao makuu ya Tanapa yalikuwa yakitumika kwa maombezi maalum ya kumuombea Lema na viongozi wa cdm akiwemo Lema walikuwa ni wahudhuriaji wazuri tu..sasa hivi ushabiki unakuwa mwingi ila ni dhahiri kuwa cdm kilijikita katika makanisa na ni weakness cuz kura ziligawanyika kwa mpangilio huo, for the future Tanzania, chama chenye scope hiyo siyo kabisa kwa mana ni factor for social stratification...sisapoti udini for any party anyway!
 
Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2010 Cdm ilijizatiti kuyashika makanisa..mfano mzuri Arusha Radio Safina ilitumiwa Vyema na Lema na wakawahadaa wananchi kuwa yule mama muislamu akiingia ataifunga Radio Safina na wakristo wakaingia mkenge wakafunga siku 7 na maombi juu ili yule mama Asishinde..kanisa la kkkt, na Catholic Church lililopo near makao makuu ya Tanapa yalikuwa yakitumika kwa maombezi maalum ya kumuombea Lema na viongozi wa cdm akiwemo Lema walikuwa ni wahudhuriaji wazuri tu..sasa hivi ushabiki unakuwa mwingi ila ni dhahiri kuwa cdm kilijikita katika makanisa na ni weakness cuz kura ziligawanyika kwa mpangilio huo, for the future Tanzania, chama chenye scope hiyo siyo kabisa kwa mana ni factor for social stratification...sisapoti udini for any party anyway!

ndio mana inashauriwa chadema washughulike na hili,waislam inaonekana propaganda ya kwamba cdm ni chama cha wakristo imewaingia sana,wengi tunazungumza nao huku mitaani,hawataki hata kuisikia cdm hata uwashawishi vipi kwamba hiyo ni propaganda ya ccm ambayo pia waliwahi kuitumia kwa cud wapi hawakuelewi sana sana kama anakuheshimu ukimwambia hivyo atakaa kimya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom