Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,201
- 1,232
Kwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.