Elections 2010 CHADEMA imecheza karata zake vizuri.

Isaac

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,216
909
Katika mchezo wa karata,mtu anapata ushindi kutokana na atakavyomfanyia timing mpinzani wake. Kadiri unavyokuwa na mahesabu mazuri ndivyo unavyomuweka mpinzani wako kwenye wakati mgumu na huenda ukamfilisi kabisa.

Katika uchunguzi nilioufanya jana jioni na leo,nimegundua kuwa kitendo cha kumuacha mwenyekiti wa ccm akihutubia viti,wabunge wa CHADEMA wamejizolea umaarufu zaidi. Stori kubwa mtaani ni kuwa kama walichofanya ni makosa mbona hakuna sehemu yoyote ya katiba inayosema ni kosa kunyanyuka rais anapohutubia? Wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa kama italazimu kuwaadhibu ni lazima katiba ibadilishwe kwanza jambo wanalolitaka.
Pia wananchi wengi wamekiri kuwa wabunge wa CHADEMA ni majasiri sana kwani wanajua namna ya kupata haki yao kwa njia mbadala.
Wakizungumzia kuhusu zomea ya wale wa ccm,baadhi ya waliohojiwa wamesema si mara ya kwanza kwa wabunge wa ccm kufanya kosa hilo kwani walishamzomea Kabwe lakini mwisho Kabwe akaonekana shujaa.
Kwa sasa wananchi wengi wako karibu na vyombo vya habari wakisubiri kwa hamu nini kitawapata wabunge wa CHADEMA.
 
Relief

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
255
45
We have all put our eyes and ears open, lets see what this 10th Bunge has to offer.
Cant wait to see the challenges!!:bump:
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
27,802
30,340
hata ungekuwa wewe baba mwenye nyumba unaingia ndani tu watoto woote wanaingia vyumbani aisee inauma sana. ni aibu kwake lakini ana nafari ya kuyafanyia kazi madai ya msingi ya CHADEMA.

Akiendelea kuyabeza atakuwa hana tofauti na the likes Mugabe, Kibaki.....
 
Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,023
562
CCM na sirikali yake hawana uwezo wa kuwafanya chochote CHADEMA wanawaogopa KOMA. Mwoneni mama alivyonuna!
spika.jpg
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,170
10,744
That what I call cheap campaigns that penetrate deeply into citizens' heart! Chadema by doing so will automatically efface other opposition parties and bury CCM in their own pit.

Is a good start that should be supported by great force or energy because it will be applaused and remembered in many years to come, these reformations will be celebrated heartly than fake independence that Tanzania got from british in 1961! It will be said CCM ruled Tanzania for 47 years and now TANZANIA IS FREE!!! IS FREEE INDEED!!

VIVA CHADEMA VIVA!!!
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,120
Unajua matendo huwa yanasound kuliko maneno,juzi cdm walipotoa tamko la kutomtabua JK walidhani Slaa anataniaaaa.
Action speaks louder ndugu
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
8,200
3,528
hata ungekuwa wewe baba mwenye nyumba unaingia ndani tu watoto woote wanaingia vyumbani aisee inauma sana. ni aibu kwake lakini ana nafari ya kuyafanyia kazi madai ya msingi ya CHADEMA.

Akiendelea kuyabeza atakuwa hana tofauti na the likes Mugabe, Kibaki.....

alifedheheka kwa kuwa anajua jibu la kwa nini wanatoka na anajua siku akitia timu USA lazima ataulizwa na waandishi wanaojua kuwa ameingia urais kwa kuiba kura, lakini hana ujasiri wa kueleza sababu ya chadema kutoka. it is shame to him personally. ni doa linaloonekana dogo lakini ni sumu kali sana kwake
 
Rudy B

Member
Sep 22, 2010
9
0
Hakika mapinduzi,hayajikwa maneno tu bali hata vitendo, tukumbuke ya kwamba siku zote ukitaka kuifikia mbili ni lazima uanze na moja,nawapongeza sana CHADEMA kwa msimamo wao na waendelee vivyo hivyo kwani hata wanaharakati wa zamani kama akina martin luther king junior walianza kama hivyo!!peopleeeeeeeeeeeeees..............,
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,022
2,911
That what I call cheap campaigns that penetrate deeply into citizens' heart! Chadema by doing so will automatically efface other opposition parties and bury CCM in their own pit.

Is a good start that should be supported by great force or energy because it will be applaused and remembered in many years to come, these reformations will be celebrated heartly than fake independence that Tanzania got from british in 1961! It will be said CCM ruled Tanzania for 47 years and now TANZANIA IS FREE!!! IS FREEE INDEED!!

VIVA CHADEMA VIVA!!!
Good observation. We are living in very interesting times, when unpredecented things are happening. We are seeing with our very own eyes history in the making. Believe me, the actions by CHADEMA parliamentarians and their names, will go down in history as one of the greatest momemnts in the history of Tanzania's politics.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom