CHADEMA imarisheni chama chenu haraka, fursa ndiyo hii

Panga Makalikuwili

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
291
500
Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.

Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.

Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa

Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?

Take care

CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi. Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa

Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na CCM.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
3,225
2,000

CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi.
Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa

Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na ccm .
Wazo zuri, ila CHADEMA IPO VIZURI kuliko jana, lazima kwenda nayo yote, Mwenyekiti wetu tunamtaka sio OMBI, CCM ilisha kwisha, KWA Sasa ni CHADEMA VS DOLA, nao watatulia tu ni swala la mda
 
Anonymous Caller

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
305
500
Umetumia mzaha kuwasilisha mada yako japo kuna hoja ya msingi sana kwny mada yako.

Kiukweli fursa ni hii,
ccm inaonekana inakwenda kwny migawanyiko huko tuendako..

Alternative yake ni upinzani..upinzan ukijipambanua vzr nyakati hizi utaenda kuimarika kuliko wakt wowote kuwahi kutokea.

Watapata parliamentary seats nying mno na zile za udiwani.
 
Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,545
2,000
Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.

Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.

Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa

Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?

Take care

CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi. Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa

Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na CCM.
Uungwaji mkono kwa wapenda haki wote, namustakabali mwema na wenye manufaa kwa taifa ndio kukiimarisha chama kinachotetea haki kwa wote na taifa letu. mojawapo ni Chadema na baadhi ya vyama ambavyo havitumiki kuuvuruga upinzani kwa manufaa ya watawala na kikundi cha wachache wanaotanguliza maslahi binafsi. Kwa pamoja tuidai katiba mpya itakuwa ni mwanzo wa mabadiliko ya kweli na yamanufaa kwa taifa.
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,327
2,000
Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.

Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi na kuwajaza matumaini mapya juu ya chama.

Taratibu CCM ya 2015 kuludi nyuma inalejea, na chuki ya wananchi dhidi ya ccm inapanda kwa kasi kubwa lakini hawana chama mbadala cha kuhamishia mapenzi na ushabiki wao.Hii ni fulsa kubwa

Kimya kingi. Chama kimekuwa bubu.. Matukio makubwa yanapita tu hata kutoa elimu au kukemea!! Ina maana mambo yanayotokea kwenye jamii yetu hayawagusi kama chama?

Take care

CCM imeshamisi uongozi wa Magufuli ..imeshajiridhisha kuwa ili chama kiwe imara na kudhibiti siasa nchini kinahitaji uongozi kama wa Magufuli. Kuna kila dalili ya kuandaliwa mtu wa dizaini ya Magufuli kuwa kiongizi wa nchi. Muda huo ukifika na wala si mbali hazitaonekana fulsa mnazo ziona sasa

Wakati huu chadema inahitajika, chenyewe kinakula chambo kilichotegwa na CCM.
Hivi uliona kilichotokea jana kule Musona hadi JWTZ imeingizwa kwenye siasa chafu za CCM. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
946
1,000
Nimeshindwa kusoma ujumbe wako kwani unakera na hauna ladha kabisa! Kwanza rudi darasani ukajifunze matumizi ya "l" na "r" !!!
Nyie wasukuma ni shida sana! " Mheshimiwa laisi !? tunakamilisha miladi !? Tumeludi nyumbani!! Poor minds!
Kuludi× ni kurudi√
Kugalimu× ni Kugharimu√
Shule za kata zimetuzalishia majanga!!!
 
Ujumbe wake so umekufikia lakini,kama mnafanya ujinga wa kiwango cha kuinekana na hata unayemshamulia kutokuwa na uelewa huoni kuwa huyo anauelewa kukuzidi, na unatumia mbinu ya hovyo ya kumshambulia ili asikuambie ukweli wa madhaifu yako/ yenu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom