Chadema ikishinda 2015 watoeni wafanyakazi wote kwenye balozi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ikishinda 2015 watoeni wafanyakazi wote kwenye balozi zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jul 10, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tunasikitika sana mwenzetu ameibiwa mkoba na alikuwa ameweka passport yake na document kadhaa,tulikwenda polisi kutoa report hapa mid rand Johannesburg,tulipewa maelezo kupeleka ubalozi Pretoria ili asaidiwe apate passport mpya,tumeshangazwa na huduma mbovu na wafanya kazi wanaofanya kazi hapa ubalozini,yaani kila mtu yuko busy na mambo yake tumekalishwa hapa tangu asubuhi mpaka sasa hivi hakuna huduma wala hakuna mnataka nini???aisee sijawi ona hii kitu manake kuna wazungu wamekuja hapa na nikaona wafanya kazi wote wamechangamka ghafla na kuwahudumia fasta,,tuna safari ndefu wandugu
   
 2. T

  Tuliwonda Senior Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Undugunizationa + mapenzinazation + kujuanalism.....(jazieni mengine)kwenye ajira zetu = kuharibu kazi.
   
 3. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Nami nipo huku Pretoria kikazi nimefika hapa kama wiki mbili zilizopita....unayoongea yanaweza kuwa kweli kwasababu wengi wao tunakunywa nao pombe kila kukicha ni majigambo ya utajiri na kubadilisha wanaume/wanawake.
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2016
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ulimaanisha 2015 ama 3015????
   
Loading...