CHADEMA ikigundulika mnadanga, kwenye hili hamtapona

Izc

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
546
368
Kumekuwa na maneno kwamba uchumi unaenda vibaya na kwamba kuna mtikisiko wa uchumi. Hizi habari zimeenea hasa katika mitandao huku mamlaka rasmi zikikana taarifa hizo.

Siyo hivyo tu lakini hata wataalamu wa maswala ya fedha, uwekezaji na uchumi hatujawasikia wakilizungumzia hili.

Siyo hao tu lakini hata kurugenzi za fedha za CHADEMA hazijaongea lolote kuhusu hili swala.

Sasa angalia madhara ya haya maneno:

=>Watu waliotaka kuwekeza ziada ya akiba yao katika biashara wanaogopa kufungua biashara kwa sababu ya hayo maneno.

=> Baadhi ya wanafunzi waliotaka kujiunga na masomo ya chuo kikuu wamebadili kozi hasa wale ambao wanaona kozi hizo hazitakuwa na manufaa katika uchumi ukiodorora. Mfano kozi kama za usimamizi wa biashara(Finance, Accounting, Marketing, HRM,), banking, engineering kama civil. Kumbuka hawa watu walizipenda hizo taaluma lakini hawawezi kusoma kitu ambacho hawakuwa na manufaa nacho iwapo mdororo wa uchumi utatokea.

=> Watu walioajiriwa hasa katika sekta binafsi wanafanya kazi kwa msongo wa hali ya juu. Wangine wanaogopa kupoteza ajira wakati wengine wana hofu ya biashara zao kufirisika. Sasa hii inapelekea watu kufanya maamuzi kulingana na taarifa hizi ambazo wengine hatuamini kama ni za kweli au za uongo.

Sasa sheria ya tatu ya Newton ya mwendo inasema: "to every action there is equal and opposite reaction".

Watu mtakaoweza kuwalaghai hao hao watakuwa kinyume chenu iwapo itagundukika maneno yenu yalikuwa ni uongo na nia yenu ilikuwa ovu. Watu watakosa imani na nyie.
Hii inamadhara yale yale kwa CCM hasa pale itakapogundulika walidanganya uma na kuisababishia nchi kuangukia mdororo wa uchumi.
 
Ukiwawaza sana cdm utasahau kuwa huna hata mia tano ya nauli mfukoni! Kwani trends za kipato chao binafsi zikoje!?
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Nimejitahidi kusoma hadi mwisho ili niipate mantiki ya bandiko, nimetoka kapa bila kuipata!!

Sina hakika, labda kwa sababu leo nimeamka sina hata senti ya supu huku kiwanda chetu cha Dangote kikiwa kimefungwa na kutusababishia msongo wa mawazo wa kupoteza ajira zetu!!
 
Ulivyochanganyikiwa uoni kua ni dalili ya uchumi kuyumba? mwenye uchumi imara hawezi kuwaza na kuandika hayo ulioyaandika.

Pole sana ndo utawala wa JPM
 
Ccm inakufa kabisa kwa kutoa takwimu zinazopingana na mazingira halisi ya maisha ya watu, mfano uchumi unakua kutoka 7.9 mpaka 7.2 huko kukua au kuporomoka? Maisha yako safi kabisaa wanaolalamika n wapiga deal lakini taarifa zinaonyesha waathirika bank sekta rasmi hiyo sio deal, wamiliki wa hotels ni sekta rasmi pia wala si wapiga deal.
 
kunawatu wameficha pesa ndomana hazionekani kwenye mzunguko-kalui ya chadema
wapiga deal ndowana lalamika hali ya uchumingumu-chadema
seriaki kushindwa kuajiri na kufata ajira zilizo tangazwa mapema mwaka huu-chadema
wanafunzi kukosa mikopo - chadema
 
Kumekuwa na maneno kwamba uchumi unaenda vibaya na kwamba kuna mtikisiko wa uchumi. Hizi habari zimeenea hasa katika mitandao huku mamlaka rasmi zikikana taarifa hizo.

Siyo hivyo tu lakini hata wataalamu wa maswala ya fedha, uwekezaji na uchumi hatujawasikia wakilizungumzia hili.

Siyo hao tu lakini hata kurugenzi za fedha za CHADEMA hazijaongea lolote kuhusu hili swala.

Sasa angalia madhara ya haya maneno:

=>Watu waliotaka kuwekeza ziada ya akiba yao katika biashara wanaogopa kufungua biashara kwa sababu ya hayo maneno.

=> Baadhi ya wanafunzi waliotaka kujiunga na masomo ya chuo kikuu wamebadili kozi hasa wale ambao wanaona kozi hizo hazitakuwa na manufaa katika uchumi ukiodorora. Mfano kozi kama za usimamizi wa biashara(Finance, Accounting, Marketing, HRM,), banking, engineering kama civil. Kumbuka hawa watu walizipenda hizo taaluma lakini hawawezi kusoma kitu ambacho hawakuwa na manufaa nacho iwapo mdororo wa uchumi utatokea.

=> Watu walioajiriwa hasa katika sekta binafsi wanafanya kazi kwa msongo wa hali ya juu. Wangine wanaogopa kupoteza ajira wakati wengine wana hofu ya biashara zao kufirisika. Sasa hii inapelekea watu kufanya maamuzi kulingana na taarifa hizi ambazo wengine hatuamini kama ni za kweli au za uongo.

Sasa sheria ya tatu ya Newton ya mwendo inasema: "to every action there is equal and opposite reaction".

Watu mtakaoweza kuwalaghai hao hao watakuwa kinyume chenu iwapo itagundukika maneno yenu yalikuwa ni uongo na nia yenu ilikuwa ovu. Watu watakosa imani na nyie.
Hii inamadhara yale yale kwa CCM hasa pale itakapogundulika walidanganya uma na kuisababishia nchi kuangukia mdororo wa uchumi.
Haujaeleweka Mkuu
 
Kama uwekezaji na viwanda vimebuma kwa sababu ya matendo maigizo na maagizo uchwara kauli hata za malaika hazisaidii.

Kwani mwenzetu tafrani za uchumi huzioni mpaka uambiwe?
 
Kumekuwa na maneno kwamba uchumi unaenda vibaya na kwamba kuna mtikisiko wa uchumi. Hizi habari zimeenea hasa katika mitandao huku mamlaka rasmi zikikana taarifa hizo.

Siyo hivyo tu lakini hata wataalamu wa maswala ya fedha, uwekezaji na uchumi hatujawasikia wakilizungumzia hili.

Siyo hao tu lakini hata kurugenzi za fedha za CHADEMA hazijaongea lolote kuhusu hili swala.

Sasa angalia madhara ya haya maneno:

=>Watu waliotaka kuwekeza ziada ya akiba yao katika biashara wanaogopa kufungua biashara kwa sababu ya hayo maneno.

=> Baadhi ya wanafunzi waliotaka kujiunga na masomo ya chuo kikuu wamebadili kozi hasa wale ambao wanaona kozi hizo hazitakuwa na manufaa katika uchumi ukiodorora. Mfano kozi kama za usimamizi wa biashara(Finance, Accounting, Marketing, HRM,), banking, engineering kama civil. Kumbuka hawa watu walizipenda hizo taaluma lakini hawawezi kusoma kitu ambacho hawakuwa na manufaa nacho iwapo mdororo wa uchumi utatokea.

=> Watu walioajiriwa hasa katika sekta binafsi wanafanya kazi kwa msongo wa hali ya juu. Wangine wanaogopa kupoteza ajira wakati wengine wana hofu ya biashara zao kufirisika. Sasa hii inapelekea watu kufanya maamuzi kulingana na taarifa hizi ambazo wengine hatuamini kama ni za kweli au za uongo.

Sasa sheria ya tatu ya Newton ya mwendo inasema: "to every action there is equal and opposite reaction".

Watu mtakaoweza kuwalaghai hao hao watakuwa kinyume chenu iwapo itagundukika maneno yenu yalikuwa ni uongo na nia yenu ilikuwa ovu. Watu watakosa imani na nyie.
Hii inamadhara yale yale kwa CCM hasa pale itakapogundulika walidanganya uma na kuisababishia nchi kuangukia mdororo wa uchumi.

Soma ulivyoandika hapo kwenye nyekundu halafu rudi kwenye kichwa cha thread yako, je vinaendana. CHADEMA wanahusika vipi hapo
 
Media, Vyombo vya habari maarufu viliwaaminisha watu kwamba Hilary ndie rais ajae na Trump hafai, lakini kilichotokea tunakijua wote.

Kwenye mambo ya uchumi sio suala la nani anasema nini na anasemaje, wakati utatoa majibu kuhusu uhalisia wa uchumi wetu.
 
Lkn kama umemsikiliza Leo msajili wa hazina ndg Mafuru utagundua ukweli. Yeye kasema hali ni ngumu wala si uwongo bila kinachotakiwa ili tusiumie ni kubadilika. Na akaenda mbali na kusema kanda 2018 ndio tunaweza kurudi ktk mstari. Nimempenda kwasababu amesema ukweli kuliko kudanganya kuwa hali ni kawaida kama wengine wanavyotetea
 
Back
Top Bottom