Chadema ikifutwa itakuwaje kwenye mijadala?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Habari na udaku mwingi hapa ni ama Chadema au viongozi wa Chadema. Au zinahusu serikali lakini zimeibuliwa na wanachadema. Kama Chadema ikifutwa habari na udaku Hapa JF zitapungua kwa takriban nusu nzima. Habari zitakazobakia zitakuwa hazina mvuto hivyo wanajamvi watadoda. Na magazeti watauza nini?

Kwani vyama vingine vya siasa vimetokomea wapi? Hata ccm pia haipo tena kwenye screen!
 

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
0
Chadema ni chama tawala kwa sasa; habari zake ndizo zinauza story pole kwao mtanzania na vigazeti uchwara ambavyo hata mishahara inapatikana kwa bail out maana hawana biasahara tena
 

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Inatisha kiwango cha coverage ya Chadema na viongozi wake kwa sasa, ama kweli chema chajiuza.
 

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,056
2,000
Kama ni mtu wa kufikiria huwezi kukitenga Chadema katika mijadala mbalimbali nchini Tz kwakuwa ndio chama pekee kilichoonesha kuwa na muelekeo. Na swali lako kama kitafutwa ni ndoto hizo.
hata hivyo ukae ukijua kuwa mwanadamu na maisha hivyo kila kitu kinabadilika leo hatuwezi kuongelea Kampeni wakati watu tupo kwenye katiba na mambo mengine!
Hivyo kila jambo na wakati wake!
 

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Jamani hii mada haijasema Chadema itafutwa, hebu someni hicho kiswahi vizuri. Hii mada inakisifu chadama, hivyo kama ina kasoro ni hiyo ya kuwa biased toward Chadema.
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,633
1,195
Tanzania itakuwepo tu,mijadala itakuwepo hata bila ya cdm au ccm hata kile cha mnymwz na wpmb! So please don't dig your head deep into the sand to that extent!
 

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,056
2,000
Gurudumu hakuna asiyeweza kusoma ulichokiandika ndicho tunachokiona sasa tutabadilishaje?
 

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Magazeti ya leo mengi yamepambwa na habari za Chadema kurasa zake za mbele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom