Chadema ikifutwa itakuwaje kwenye mijadala?

Gurudumu

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2008
Messages
2,351
Likes
10
Points
135

Gurudumu

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2008
2,351 10 135
Habari na udaku mwingi hapa ni ama Chadema au viongozi wa Chadema. Au zinahusu serikali lakini zimeibuliwa na wanachadema. Kama Chadema ikifutwa habari na udaku Hapa JF zitapungua kwa takriban nusu nzima. Habari zitakazobakia zitakuwa hazina mvuto hivyo wanajamvi watadoda. Na magazeti watauza nini?

Kwani vyama vingine vya siasa vimetokomea wapi? Hata ccm pia haipo tena kwenye screen!
 

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
3,052
Likes
94
Points
145

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
3,052 94 145
Kama ni mtu wa kufikiria huwezi kukitenga Chadema katika mijadala mbalimbali nchini Tz kwakuwa ndio chama pekee kilichoonesha kuwa na muelekeo. Na swali lako kama kitafutwa ni ndoto hizo.
hata hivyo ukae ukijua kuwa mwanadamu na maisha hivyo kila kitu kinabadilika leo hatuwezi kuongelea Kampeni wakati watu tupo kwenye katiba na mambo mengine!
Hivyo kila jambo na wakati wake!
 

Gurudumu

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2008
Messages
2,351
Likes
10
Points
135

Gurudumu

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2008
2,351 10 135
Jamani hii mada haijasema Chadema itafutwa, hebu someni hicho kiswahi vizuri. Hii mada inakisifu chadama, hivyo kama ina kasoro ni hiyo ya kuwa biased toward Chadema.
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
2,641
Likes
8
Points
135

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
2,641 8 135
Tanzania itakuwepo tu,mijadala itakuwepo hata bila ya cdm au ccm hata kile cha mnymwz na wpmb! So please don't dig your head deep into the sand to that extent!
 

Forum statistics

Threads 1,203,570
Members 456,842
Posts 28,119,599