CHADEMA ikifanikiwa kuwashawishi wanawake, CCM itayeyuka kama barafu juani!

Wale wa mujini: so called high class-bongo daresalama
Most of them(nadhani nimeeleweka) wanaishi kutegemea mafisadi,wanafanywa vimada,inamaana huyu fisadi akianguka na maisha ya huyu mwanamke yameisha, kwahiyo usitegemee mwanamke wa hivi akaipa support Chadema. coz all mafisadi na wezi ni CCM.kwahiyo lazima huyu mwanamke apalilie anapokula kwa kuisupport CCM.
UNABISHA?????

Wale wa mujini: so called watoto wa vibosile
Toka anavaa nepi baba yake au mama yake yupo ccm na anaona hayo maisha mazuri yanatoka na baba au mama kuwa fisadi wa ccm, hivi unategemea mtu kama huyu kuipenda Chadema? na ikumbukwe kwamba huyu mtoto wa kibosile ana mashoga zake iwe wenzangu na mimi au wavibosile pia ambao wanampa support.

UNABISHA?????????

Wa uswahilini:
Wanaridhika ukiwapa kanga na kofia za kuziba jua,na hongo ya hapa na pale ili uipe support ccm, nothing else, they dont care about future,wengi wao vilaza ambao wamemaliza darasa la saba au zero ya form four anasubiria mume aolewe, au amebahatika kuolewa anasubiria mume atoke kibaruani alete ugali.
siku yake nzima anaimalizia kibarazani kupiga umbea na kugombana na majirani.

Wa vijijini:
The same as uswahilini,wanachojali ni kwamba leo wameshiba,hawajui kesho itakuaje.mawazo mgando,wanaogopa eti vita, amani itaisha(amani my foot).

NANI ANABISHA???

WANAOIPENDA CCM:
Only independent women,amemaliza vidato lakini elimu yake haimsaidii kwa chochote,hapati kazi,na wale waliopata kazi wanauchungu wa kulipa kodi then hela zinaliwa na mafisadi na wao kuishia gizani na maji yasiyokuwa na uhakika.barabara mbofu mbofu.

I HATE CCM,I wish to kill them one by one
my little secret,please dont share(nafurahi kweli nikisikia kiongozi wa ccm amefariki,either na ajali au na ugonjwa).

sorry kama nimemkwaza mtu

Mkuu hujamkwaza mtu ila haya uliyoyandika ndio yanakukwaza na kwa sababu huna busara katika kuyawakilisha utaendelea kukwazika. Watu wanahitaji kushawishiwa kwa adabu tu haswa akina mama, sijui unafikiri ni mwanamke gani utamfurahisha kwa sentensi yako hii ''I HATE CCM,I wish to kill them one by one
my little secret,please dont share(nafurahi kweli nikisikia kiongozi wa ccm amefariki,either na ajali au na ugonjwa)...unasahau kuwa ndo wazazi wetu wale, na mwenyewe umeshaziongelea weakness zao. Anyway ni mtazamo wangu na naunga mkono hoja kuu kuwa kura nyingi ziko kwa akina mama...........!!!
 
Wa uswahilini:
Wanaridhika ukiwapa kanga na kofia za kuziba jua,na hongo ya hapa na pale ili uipe support ccm, nothing else, they dont care about future,wengi wao vilaza ambao wamemaliza darasa la saba au zero ya form four anasubiria mume aolewe, au amebahatika kuolewa anasubiria mume atoke kibaruani alete ugali.
siku yake nzima anaimalizia kibarazani kupiga umbea na kugombana na majirani.

Wa vijijini:
The same as uswahilini,wanachojali ni kwamba leo wameshiba,hawajui kesho itakuaje.mawazo mgando,wanaogopa eti vita, amani itaisha(amani my foot).

NANI ANABISHA???

WANAOIPENDA CCM:
Only independent women,amemaliza vidato lakini elimu yake haimsaidii kwa chochote,hapati kazi,na wale waliopata kazi wanauchungu wa kulipa kodi then hela zinaliwa na mafisadi na wao kuishia gizani na maji yasiyokuwa na uhakika.barabara mbofu mbofu
Uliyoongea asilimia kubwa ni ukweli lakini watoto wa vibosile na hao mabibi zao ni wachache ukilinganisha na idadi nyingine ya wanawake iliyobakia. Ulichosema kuhusu vijijini ni kweli kabisa, sijui kwa nini wanadanganyika na khanga au kitenge, pilau na chumvi kwa mara moja kila baada ya miaka mitano!!! Nadhani pia uelewa ni mdogo sana. Pia wanadanganyika na kuambiwa kuwa wakichagua upinzani nchi itatumbukia kwenye machafuko. Kwa upande wa vijijini si wanawake tu hata WANAUME wako kwenye mkumbo huu. Inatakiwa wote waelimishwe. Kwa upande wa mjini nadhani ni hivyohivyo hata WANAUME bado especially DAR. Sikutegemea kati ya majimbo 7 ya Ubunge yaliyopo DAR upinzani ungechukua mawili tu!! Ina maana ni wanawake tu ndiyo waliosababisha haya? Tuhamasishe watu wote wake kwa waume wajitokeze kupiga kura kwani idadi ya wanaojiandikisha ni kubwa sana lakini wanaopiga kura ni wachache mno mno mno mno!!!
 
Kweli kabisa,...wengi wao wanafaidika na ufisadi moja kwa moja kwahiyo hawawezi kuuchukia!!!Hawa wa tisheti na kofia inabidi ufanywe mpango wakuwaamsha maana ndio waathirika wakuu wa ufisadi.....japo wenyewe hua wanasahau magumu yote waliyopitia kipindi kilichopita na kudanganyika tena!!!
Kama kuna wanawake wanaonufaika na ufisadi ni wachache sana na sidhani hata kama wanafikia 2% ya wanawake wote hapa TZ!! Angalia ni akina mama wangapi ni mama tu wa nyumbani anayetegemea mume wake kwa kila kitu? Wangapi walioko vijijini wanaotegemea kula kwa jembe la mkono? Watoto/Wasichana wangapi bado wako shule na wanategemea wazazi au walezi wao kwa kila kitu na wengine wangapi hata kazi hawana wako katika mahangaiko tu. Cha kufanya ni kuelimisha wote wanawake kwa wanaume.
 
WanaJF na hususan viongozi wa CHADEMA,

Ninaandika thread hii nikiwa serious kabisa. Nimetazama mikutano mingi ya CHADEMA na ya CCM na kubaini tofauti kubwa ya mahudhurio ya wanawake. Ni jambo lisilopingika kwamba watu wanaojaa sana kwenye mikutano ya CCM ni wanawake. Kinyume chake, watu wanaojaa sana kwenye mikutano ya CHADEMA ni wanaume, wazee na vijana. Mfano mzuri ni mkutano uliofanyika Mabibo. Ukiangalia kwa makini utabaini kuwa ninachoongea kina ukweli ndani yake.

Ndugu zangu viongozi wa CHADEMA, tusibeze umuhimu wa wanawake katika ukombozi wa taifa letu kutoka kwenye makucha ya chama kinachowahifadhi na kuwapalilia mafisadi. Lazima iwekwe mikakati ya sayansi jamii ya namna ya kubadili fikra potofu walizopandikiza CCM kwenye vichwa vya mama zetu kiasi cha kuamini kuwa bila CCM amani ya nchi hii itatoweka. Akina mama wengi (na siwalaumu kwa hilo) ni wahanga wa vurugu zinazotokea maeneo mengi Duniani. Wengi wao ni waoga. Wanaona bora waendelee kuteseka na hali ya mbaya ya maisha lakini siyo kwa vurugu za kubakwa, kupigwa risasi na kuishi kama wakimbizi ugenini, n.k. Wenzenu wa CCM wameiona hiyo 'potential' na wamebuni 'injili ya vitisho' na wanaihubiri barabara kila wanapopata fursa hiyo adhimu.
Ushauri wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi wa CHADEMA, waanze mara moja kupanga mikakati ya kubadili fikra ya kundi hili kubwa la wapiga kura. Tusibeze hata mara moja umuhimu wa kundi hilo katika ukombozi wa nchi yetu. Kazi kubwa imefanyika ya kumobile watu lakini bado kuna kazi nyingine ya kumobilize akina mama.

Hilo likifanyika, CCM itachinjiliwa mbali na kuzikwa maana hata mbinu zao za kuchakachua matokeo hazitafua dafu, itayeyuka kama barafu juani.

Ni kweli ndugu, mwanamke hata kama anateseka vipi, huwa anavumilia tu. Na huu ndo mtaji wa CCM. Kuna jirani yangu mmoja, tangu aolewe na mumewe, yapata miaka kumi hata godoro ndani hawana na wanalalia majani. So hawa watu kwa kweli ni shida sana hasa akina mama, wadada kidogo wana nafuu. Ndivo walivoumbwa jamani, tuwasamehe bure.
 
ESTER WASSIRA,JOSEPHINE na akina mama wengine viongozi ndani ya chdm ndio ingefaa wafanye hiyo kazi ya kuunganisha kina mama
 
Katika uchaguzi wa 2005 kiongozi mmoja wakike wa CCM alizunguka kwa kinadada wenye boutique's karibu wote wilaya ya kinondoni na kuwaahidi wakikipigia debe CCM na kusaidia muda/magari yao atahakikisha hawalipishwi kodi Airport wakileta vitu na kweli kuna wawili nawafahamu mpaka leo wanapitisha vitu vyao bila kulipa kodi.Nahisi hili lilitokea pia sehemu zingine na labda pia 2010 sasa kinadada kama hawa huwaambii kitu kuhusu CCM na wana wafanyakazi,ndugu,marafiki TAFAKARI!!
Du! kama watu hawalipishwi kodi basi ndiyo maana nchi haiendelei na haitakuja kuendelea kama CCM itaendelea kuwepo madarakani. Maana kodi ndiyo inatarajiwa kupatikana fedha za kuweza kuleta maendeleo. Kama unayosema ni kweli sasa ni wangapi wanafanya hivyo??? Ndiyo maana wafanyakazi wanaumia kwa kukatwa kodi ya mapato kubwa mno huku wengine wanapeta na biashara zinazowaingizia mamilioni ya fedha. Wanawaachia wafanyabiashara na kwenda kutembeza bakuli nje!!!!
 
Hongera sana kwa mawazo chanya wakubwa na wanachama wameisikia mbiu hii uliyoipiga kama sauti ya mtu aliye nyikani.
 
Back
Top Bottom