Chadema ikichukua usukani wa nchi mahakama zilizopo zitatosha kubeba wafungwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ikichukua usukani wa nchi mahakama zilizopo zitatosha kubeba wafungwa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Radio Producer, Apr 15, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nilikuwa najiuliza na kufikiria uozo ulipo kwenye hii nchi hasa kwenye masuala ya mafisadi!Kwa kuwa uongozi wote uliojuu umeonyesha kushindwa kusimamia haki ipasavyo hali hii imesababisha kila idara kuwa na ufisadi wa kutupwa! Nilikuwa nasoma post mbalimbali hapa JF, Mara Polisi wanavuta unga, mara akina RA, EL na wengine ni mafisadi, mara EPA, RICHMOND, DOWANs na mengine mengi!

  Sasa nikajiuliza CDM wanawapinga sana mafisadi na ikitokea wakatawala nchi nina imani mafisadi wote wataswekwa ndani sasa hivi mahakama zitatosha kweli? make uozo uko hadi ubongoni?
  Aisee hatari kweli inakuja mafisadi jipangeni wenzenu akina Mbaraki, Laurent na Gadhaf wamekaribia kuyaanza!
   
Loading...