johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,870
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.
Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.
Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.
Maendeleo hayana vyama!