CHADEMA ijifunze kwa ACT wazalendo namna ya kutuma majina ya wateule "wapendekezwa" kwa wakati bila mizengwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,872
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.

Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.

Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.

Maendeleo hayana vyama!
 
Haha Mzee wa gia angepeleka kimada wake au jamaa wagawane mshahara😀

Unakumbuka alivyokua anapora zile 1M na 500k za wabunge akiwapiga fiksi za kampeni? Now kachil Dubai nilimwona anapiga mbizi . hilda nae nilimwona Airport🚶🏿🚶🏿🚶🏿 sijui alikwenda kumsalimia...😆
 
Mnyika angejifanya mzanzibari!
 
Wambie hao ACT wapendekeze jina la mwenyekiti wa BAWACHA hujaguswa unaruka peke yako je ukiguswa? harafu unajikanya mwenyewe nenda ukalime masika hii utavuna usijifiche kwenye keybord.
 
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.

Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.

Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema ilikwisha maliza siku nyingi suala la wale Wahuni 19 endeleeni kuwapa Kodi za Masikini wanyonge
 
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.

Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.

Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.

Maendeleo hayana vyama!
Hayo mataputapu yako yamepunguza sana uwezo wako wa kufikiri unaandika ujinga mwingi sana siku hizi.
 
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.

Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.

Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.

Maendeleo hayana vyama!
Pale chama cha ACT kipo kama chapa tu, ile ni PURE x-CUF mzee - hawa wana wafuasi zaidi na nusu ya Wazanzibar wote. hata wakiingia chama cha Demokrasia makini ama NLD ni lazima wataunda Serikali kule.

Kuhusu chaguo lao ni sawa, wale wanajuana na wanajua ranking zao - Maalim yawezekana aliagiza ingawa watu wengi walifikiri anaweza kuwa Jusa, Mansour ama Duni , Chaguo hili limewakuna sana Zazibari yaweza kuwa mwanzo mzuri ingawa key issue yao ni kupata Zanzibar yenye mamlaka kamili.

Hongera Wazanzibari ila bado mna safari ndefu kama ile ya wana wa Islael - Umoja na mshikamano unahitajika zaidi - kinachowaponza nyie ni kugawanyika mkishavuka maji mkafika Dodoma sijui kipi huwa kinawapata on the way.
 
Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.

Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.

Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu,chadema maji marefu ,utapanuka moyo bure ,kaa na ccm YAKO ya chadema hachana nayo
 
Back
Top Bottom