CHADEMA, Huu mchango wa mzee Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi mlifanyia kazi gani?

nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwenye majibu yenu; kumbe hamna tofauti na CCM . Kwa hiyo bora tuendelee kubaki na CCM kuliko kuwajaribu nyinyi ambao kabla hata ya kushika nafasi mmeanza kuishi kana kwamba mna nafasi tayari. CCM OYEE.
Kwan hayo majibu ndio majibu ya chama?.Punguza kiwewe.
 
anza na hizo kwanza ukishajua zilipo ndiyo uje na izo za cdm
Aisee. Kwamba ccm walipiga. Na cdm walipita mle mle.
Bado sana , hatuna vyama ni wezib tu waliokosa nafasi kufika kwenye rasilimali zetu, siku wakifika walivyona njaa TUMEISHA
 
Fedha hizi mzee Sabodo hakutoa kwa CHADEMA kwa lengo la kujenga ofisi bali ilikuwa kwajili ya kuchimba visima vya maji kwenye majimbo waliyokuwa wameshinda uchaguzi wa 2010.

Fedha zilitolewa na kugawanywa kwenye majimbo ambayo walikuwa wameshinda uchaguzi.
Hivi Mzee Sabodo yupo?? Maana simskii kabisa siku hizi
 
Unajua chadema wana ofisi ngapi nchi hii?!!..unajua vitega uchumi vya chama?!!.. unajua watumishi wanalipwa Kwa fedha gani?!!..uliwahi kujiuliza mikutano inafanywa fedha zinatoka wapi?!!..uliwahi kuhoji kampeni zote nchi nzima fedha inatoka wapi?!!..kuna makongamano ulishawahi kuhoji fedha zinatoka wapi?!!..kuna kesi mahakamani uliwahi kuhoji fedha zinatoka wapi?!!..kuna mambo kadha wa kadha ya chama Ulishawahi kujua fedha zinatoka wapi?!!..unajua fedha hizo za Sabodo siyo za Kwanza wa siyo za mwisho kutoa kwaajili ya chama?!!
 
Litani ya wapi fedha zinatoka imekaa vizuri ila hajajibu swali -zile 100 M alizotoa Sabodo kama mchango wa ofisi ziko wapi?
 
Litani ya wapi fedha zinatoka imekaa vizuri ila hajajibu swali -zile 100 M alizotoa Sabodo kama mchango wa ofisi ziko wapi?
Huyu Sabodo mbona ana changia vyama vingi hapa Tanzania na Nnje ya Nchi huyu alianza kuchangia vyama vya Siasa na kupata Uhuru nadhani hata history hujui!!..
 
Back
Top Bottom