CHADEMA, Huu mchango wa mzee Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi mlifanyia kazi gani?

Utoto @ work.
Ajabu
wamesahau kwamba CCM ilishawishi watu wasombe mawe ya kujengeaa ofisi; CHADEMA wanashawishi watu wabebe mawe hayo hayo wawapondee polisi.

CCM iliwashwishi wenye vituo vya mafuta wachangie ujezi wa ofisi; CHADEMA wanawapa watu hela wakalipue vito vya mafuta.

Wamesahau kwamba CCM iliwashawishi watu wanunue na kutumia bidhaa za wafanyabiashara ili waptate fedha zaidi; CHADEMA wanawashawishi watu wagomee kununua bidhaa za wafanyabiashara.

CCM iliwabeba wasanii; CHADEMA wanapambana na wasanii kama akina DIAMOND.
HOVYO KABISA.
 
unaona CCM inavyojenga ofisi zake- nyinyi ingekuwa mawe na maandamano kuelekea kupigana na polisi
View attachment 1917088
View attachment 1917094
Kalipeni madeni ufisadi na ujambazi ndio mnaweza,sasa yale maviaetii mlikua mnanunua na makalio
Screenshot_20210830-212555_Twitter.jpeg
 
Kwa hiyo siyo halali kuuliza matumizi ya fedha CHADEMA!!!Kwak kuwa kuna hilo la CCM limehalilisha kutokuuliza matumizi. ya fedha CHADEMA

Nyie wote mna matatizo ya Mbowephobia
report zote za mapato na matumizi ya vyama vya upinzani ziko kwa CAG. Kaulize huko utapewa kila kitu. acha kushoboka hapa ukidhani wana ccm wenzako watakusupport
 
Back
Top Bottom