CHADEMA humwiga Malema wakiwa bungeni, je hawana staili yao hadi waige?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Angalia hii video utajua kabisa staili ya wabunge wa CHADEMA ya kuongea na ubishi bungeni wanaiga kwa Malema wa Afrika kusini.
Lakini mcheki Tulia Ackson wa Afrika kusini alivyomdhibiti bungeni

Unaona wewe mjanja kwamba hiyo video watu hawajahi iona? CCM kama inawategemea nyinyi kama watu wa propaganda kwenye mitandao ya kijamii basi ndio maana wamepunguza dau kutoka 7000 hadi 2000, nyie na wale wabunge wa rambirambi jumlisha na wale wasiojielewa ndio mmekifikisha chama hapa kilipo! Mheshimiwa hajajui virusi ndani ya chama ni nyie!
 
Siku zote hili jamaa huwa linazungumza pumba tu. Hivi Malema na CHADEMA nani kaingia Bungeni kabla ya mwingine?
Punguzeni ujinga usio na tija kwenu. Harakati hizi za CHADEMA kujitetea kutokana na manyanyaso ya Serikali na Polisi zimeanza siku nyingi wakati Malema akiwa bado Mwanachama mtiifu wa ANC.
Kuwa member wa buku 7 kusiwafanye Vijana mshindwe kutumia akili zenu vizuri. Tatizo lako mtoa mada huna taarifa nyingi sahihi. Huwa unakurupuka tu.
 
Angalia Malema hapo alisema spika asimpangie cha kuongea alitaka aongee kama mlevi hajikiti kwenye mada kama wabunge wa UKAWA wanavyopenda kufanya!!!!!

UKAWA wanaita uhuru wa kuongea bungeni ni ule wa kuongea chochote .Sio chochote lazima kujikita kwenye mada husika.Wajifunze kwenye hiyo clip.

UKAWA kususa kwao bunge eti wanazuiwa uhuru wa kuongea wakafunga na mitambara midomoni wanafikiri ukiwa bungeni unatakiwa uongee kama kasuku!!!!
 
Ccm wameiiga chadema "mabadiliko" halafu hawajui wanachobadilisha, matokeo yake wanaanzisha mahakama ya mafisadi kanakwamba hili ni kosa jipya nchini.

Zipo sheria za uhujumu uchumi ambazo zinaelekeza atakayetiwa hatiani AFILISIWE!!!!!!!
Hii hawaipendi kwa kuwa waasisi wa uhujumu uchumi wamejaa ccm.

"Elimu bure" imekuwa bure kabisa
 
Malima na chama chake na chadema na wabunge wake, nani wa kwanza kuingia bungeni mpaka waige
 
Angalia hii video utajua kabisa staili ya wabunge wa CHADEMA ya kuongea na ubishi bungeni wanaiga kwa Malema wa Afrika kusini.
Lakini mcheki Tulia Ackson wa Afrika kusini alivyomdhibiti bungeni

Sio kwamba yeye kaiga kwa CHADEMA, maana Malema kaingia juzi tu bungeni lakini CHADEMA ni ya siku nyingi!!!
 
Kila siku naamini kwamba chadema na viongozi wake hawatuelewi Watanzania na ndiyo maana wanashindwa kuchomoza na kuipa ushindani CCM!

Na hili limejidhihirisha hivi majuzi baada ya V(ki)ongozi wa chadema kuteua Katibu Mkuu mpya ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa MZ/Shy sasa hapa lengo lao lilikuwa ni kwamba kwa kuwa sehemu kubwa ya Watz wanaishi hiyo Mikoa yaani Mz/Shy basi kwa kuteua Katibu Mkuu wa ktk Mikoa hiyo wanaweza kupata sapoti kubwa ktk hiyo Mikoa!
WRONG!

Kingine Tundu Lisu, Zito &Co. wamejaribu kutafuta kiki kwa kumtukana na kumdhalilisha Raisi wa JMTZ lengo lao ni kupata sapoti ktk kwetu lkn wapi tumewachunia na kuwapotezea na hakuna hata Mtz ambaye anaongelea achilia mbali hata kukumbuka kwamba Tundu alilazwa Rumande, hata kama angefungwa pia hakuna Mtz ambaye angemuongelea zaidi ya familia yake, hivyo hapa tena inaonyesha jinsi gani hawa wanaojiita wapinzani wasivyotuelewa Watz, sisi tunaheshimu Serikali na Dola iliyopo tumelelewa hivyo na ni ngumu kuweza kutubadilisha hivyo ukianzisha uadui na Raisi wa JMTZ tena kwa kumtukana na kumdhalilisha ambaye ni taasisi, Watz wengi wanaona kwamba umeanzisha vita dhidi yao na hicho ndicho Viongozi wa chadema wanashindwa kuelewa!

Haya mmesusia Bunge, mkavaa sijui makaratasi midomoni, mara sijui mkabeba makaratasi yenye maandishi, sasa mmefanikisha nini kwa kufanya hivyo? Bunge limekwisha hamkuwepo Bungeni ni Mtz gani hata anajali au hata kukumbuka kwamba mlisusia Bunge?

Hivyo chadema kama mnataka kufanikiwa TZ jifunzeni kwanza na jaribuni kutuelewa Watz, siyo mna copy &paste Siasa za sehemu nyingine na kuzileta hapa mkifikiri zitafanikiwa pia ...
 
Siku zote hili jamaa huwa linazungumza pumba tu. Hivi Malema na CHADEMA nani kaingia Bungeni kabla ya mwingine?
Punguzeni ujinga usio na tija kwenu. Harakati hizi za CHADEMA kujitetea kutokana na manyanyaso ya Serikali na Polisi zimeanza siku nyingi wakati Malema akiwa bado Mwanachama mtiifu wa ANC.
Kuwa member wa buku 7 kusiwafanye Vijana mshindwe kutumia akili zenu vizuri. Tatizo lako mtoa mada huna taarifa nyingi sahihi. Huwa unakurupuka tu.

hapa angalia alivokomaa..spika kaufyata....anamwambia sipo bungeni kwa mwaliko wako nipo hapa kwa kuchaguliwa na wananchi
 
Kila siku naamini kwamba chadema na viongozi wake hawatuelewi Watanzania na ndiyo maana wanashindwa kuchomoza na kuipa ushindani CCM!

Na hili limejidhihirisha hivi majuzi baada ya V(ki)ongozi wa chadema kuteua Katibu Mkuu mpya ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa MZ/Shy sasa hapa lengo lao lilikuwa ni kwamba kwa kuwa sehemu kubwa ya Watz wanaishi hiyo Mikoa yaani Mz/Shy basi kwa kuteua Katibu Mkuu wa ktk Mikoa hiyo wanaweza kupata sapoti kubwa ktk hiyo Mikoa!
WRONG!

Na hapo ndipo walipochemsha, kwani ukiondoa KLM, Mikoa ya TZ iliyobakia hatuhusudishi hayo mambo na watu wanapigia kura Chama na sera, sasa angalia Slaa anapendwa na kukubalika zaidi MZ/Shy klk huyo Mashinji!

Kingine Tundu Lisu, Zito &Co. wamejaribu kutafuta kiki kwa kumtukana na kumdhalilisha Raisi wa JMTZ lengo lao ni kupata sapoti ktk kwetu na lkn wapi tumewachunia na hakuna hata Mtz ambaye anaongelea achilia mbali hata kukumbuka kwamba Tundu alilazwa Rumande hivyo hata kama angefungwa pia hakuna Mtz ambaye angemuongelea zaidi ya familia yake, hivyo hapa tena inaonyesha jinsi gani hawa wanaojiita wapinzani wasivyotuelewa Watz, sisi tunaheshimu Serikali na Dola iliyopo tumelelewa hivyo na ni ngumu kuweza kutubadilisha hivyo ukianzisha uadui na Raisi wa JMTZ tena kwa kumtukana na kumdhalilisha ambaye ni taasisi, Watz wengi wanaona kwamba umeanzisha vita dhidi yao na hicho ndicho Viongozi wa chadema wanashindwa kuelewa!

Hivyo chadema kama mnataka kufanikiwa TZ jifunzeni kwanza na jaribuni kutuelewa Watz, siyo mna copy &paste Siasa za sehemu nyingine na kuzileta hapa mkifikiri zitafanikiwa pia ...
Habari za siasa tuwaachie wana siasa wewe kajenge madungu tu
 
Na wewe hapa ndio umejitutumua kwelikweli kuandika ulichoandika. Hivi hicho kitengo chenu huwa hakina Editor?
 
Na wewe hapa ndio umejitutumua kwelikweli kuandika ulichoandika. Hivi hicho kitengo chenu huwa hakina Editor?
 
Back
Top Bottom