AUGUSTINO CHIWINGA
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 220
- 689
Jamani tuacheni masihara katika uhalisia hata kama ingekuwa chama chochote cha siasa ambacho kimepoteza muwakilishi bungeni kwa mapenzi ya MUNGU vizuri au bora kumrejesha muwakilishi anayefanana au kulingana na aliyeondoka. Pili ni kuwafariji wanafamilia, pia na jamii kwa ujumla
Lakini kwa maamuzi ya uongozi wa CHADEMA kumpeleka muwakilishi tofauti na aliyeondoka ni kutoitendea haki familia ya wafiwa pia jamii ya walemavu kwa ujumla katika Taifa letu.
Hili tulipinge sio busara hata kidogo then tuseme tunatetea haki za walemavu kweli jamani?
#My take
Kwa hili CHADEMA wamewadharau walemavu wote wa Tanzania.