CHADEMA huenda ikapumulia mashine 2020

Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.

Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...

Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...

Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..

Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.

Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji

Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.

Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...

Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie
unamkumbuka huyu LE-MUTU?
Alitabiri japo sio m'bashiri likamgeukia yeye.. sasa wewe unatakiwa pia uisome namba vizuri tyu.
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba chadema inajiishia na 2020 watapoteza zaidi ya nusu ya viti walivyonavyo sasa hivi kama siyo zaidi, lkn jambo moja nawasifu ingawaje wanajua wanaangamia lkn wanaangamia kiume, kwa hilo hongera Mbowe, ...
Ramli farijika
 
Mtoa mada polepole ndugu yangu! Watabiri uchwara kama Wasira tumeshawasahau ,kiufupi utabiri wao ndio kifo chao kisiasa!Unakumbuka alichotabiri wasira?Angalia usijekuwa kama yeye.
 
Hivi ndugu zangu ma GT . . , kwa nini mnajibu vi post vya hawa mapunga wa ccm Tumainiel, na Barbie . . ?!

Hebu acheni kupoteza muda kujibu hoja za kisengerema . .
 
Unajuwa mimi chadema nawaambia kama sio chama mnaweza bisha na kunitukana sana. Hawa jamaa huwa wanafikiri kwakutumia nini sijuwi ila wengi hatujuwi ninbora tujuwe.

Kwanza sio chama kinaukwasi wakutisha wala na kama huwamini subiri nikwambie jiulize mabakuli yote ya nini wakati unajitapa unapesa za kumuuguza mgonjwa wako? Huu ni umasikini wakujitakia kwa maskini wachache ndani ya chadema kama kweli mnapenda wanyonge muwarudishie mia zao ruzuku ikitoka sio watu wenu wachache wapate ruzuku na asante juu ni umaskini mtanzania funguka na muielewe kauli ya mh Ummi...

Pia mule ndani kuna wapiga deals sasa fursa huwa hazikai mbali nao. Usishangae wale vibopa wanao fyonza juice ya utam wa chama ndio wanajifanya wanakihudumia chama kipindi hiki ila ukitoka mtonyo waruzuku wanalamba chao na interest juu...

Hivi ndivyo wazee wakengeza wana ishi waone mipovu kuwatoka nakujifanya wanashawishi akina Lissu wagome tumia pesa ya serikali na kujifanya wameweka ulinzi mkali... Kumbe zote ni njia za kula pesa..

Chama cha kijani wanawajuwa hawajamaa na kengeza zao hazikwepeshi kuona fursa kama hizi. Ndio maana pesa ya bunge ikatumwa direct hosp.

Haya ni maisha yao na wengi wao ndani ya chama mtakumbuka walikuwa watoaji wazuri wankwenye makanisa na misikiti na misibani ila this time hata mia hawatoi tena wala hawaendi kwenye changisho.... Elewa msomaji

Kiufupi issue ya lisu watazima wenyewe kibatari maana pesa zakumtibu Lisu ni nyingi na itafika mahali hawatopata kitu nadhani wenyewe wataenda tubu kwa baba. Kiufupi serikali inafanya kaz kwa ukaribu kupata baruwa kutoka familia ili Lisu asije laumu mbeleni.
Lisu hatokiacha chama salama na wote tutakuja kusema hapa.

Lisu itafikia mahali atasababisha wachapane makonde why kuna wanao sema wakubali serikali isaidie na kuna wanao sema chadema abebe mzigo...

Bad thing mshahara lisu unatumika kufanya yale ya familia...
Hali ya lisu ikiwa siri nzito.. Akili ya chadema changanya na yakwako...
Mungu atusaidie

Pole sana,naona unasubiria mkono wa binadamu ukatike kama FISI.SI Chadema hat Lissu ameionya familia yake isilogwe ikaandika barua ya kuomba serikali imtibie kwa sababu ni haki yake kutibiwa na serikali bila ya kuomba.

Na Familia ya Lissu ni mke na watoto wake,hawawezi kwenda kinyume na KICHWA cha FAMILIA.

Pole sana
 
Ni ukweli ulio wazi kwamba chadema inajiishia na 2020 watapoteza zaidi ya nusu ya viti walivyonavyo sasa hivi kama siyo zaidi, lkn jambo moja nawasifu ingawaje wanajua wanaangamia lkn wanaangamia kiume, kwa hilo hongera Mbowe, ...

Kama inajiishia mbona kununua madiwani wake??
 
Back
Top Bottom