CHADEMA, hili ni kweli?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Jana,Zitto Zuberi Kabwe, alikuwa kwenye kipindi cha Makutano kinachorushwa na Kituo cha Redio cha Magic FM.Kipindi husika huendeshwa na watangazaji wawili: Fina Mango na Sebo. Kipindi huanza saa 9 hadi 12 kila siku ya Jumamosi. Na jana ikawa vivyo hivyo.

Katika mahojiano yaliyoelekezwa kwa Zitto na Fina Mango,Zitto amesikika akisema kuwa hadi jana alikuwa hajapokea barua yenye tuhuma zake 11 ambazo anatakiwa kuzijibu ndani ya siku 14 kwasababu gani asivuliwe uanachama wa CHADEMA. 'Hadi ninapozungumza hapa,bado sijapata barua yenye tuhuma zangu' alisema Zitto.Kweli?

Ni katika misingi ya kisheria,barua huanza kufanya kazi pale inapomfikia mlengwa. Ndiyo kusema,Zitto bado hajui tuhuma zake. Kwahiyo, hawezi kuzijibu. Hivyobasi,siku 14 bado hazijaanza kuhesabiwa. Huu ndio ukweli wenyewe. Kwa kufanya hivi,CHADEMA haicheleweshi mchakato wake yenyewe?

Mpeni Zitto na wenzake tuhuma zao ili wazijibu na mtoe uamuzi. Au kama mmesamehe kichinichini sawa. Pia yawezekana kwenye siasa. Hamtakuwa wa kwanza.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Nakala kwa: Tumaini Makene Molemo Mungi Ben Saanane, Yericko Nyerere na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Ampere jema nchini juzi usiku kutoka DUBAI na UK , jana straight kwenye kipindi angependa akiwa wapi?
 
Ilikuwa rahisi sana Zitto kujibu swali kuwa hajapokea barua kwakuwa hakukabidhiwa kwenye mkutano wa hadhara, ni rahisi kama ilivyorahisi kwake kukana kuihujumu chadema.

Ni aibu kwa Zitto kujibu tuhuma ambazo yeye mwenyewe anaona aibu kuzisoma kwa jinsi ilivyomkaa vibaya.

Zitto barua anayo, siku zilishaanza kuhesabika tangu alipokabidhiwa barua yake
 
Hao uliowauliza wote hakuna anayeweza kukupa jibu la kweli manake ni wapiga debe tu kama wewe unaejifanya uko CCM kumbe mnafiki.
 
Last edited by a moderator:
Kwasasa ishu inayovuma na kulalamikiwa na zito ni hujuma za slaa na mbowe. Dr.W.Slaa unampigia simu Zitto na unamtishia maisha huu ndio uungwana kweli? CHACHA WANGWE hawatoshi mpaka mumtoe kafara na zitto wa watu? Nimeamini dr slaa ni fisi katika ngozi ya kondoo. Ok, wewe utendelea kupanga mipango ya kiovu ya uuwaji lakini walioko nyuma yako watajutia kwanini wanakuunga mkono wewe gaidi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa nilizozipata ni kwamba, chadema wanatamani hili swala liishe kimya kimya.

Hawakutegemea kama, lingefikia hapa. Wanajilaumu sana kwa maamuzi ya kipumbavu waliyoyafanya.

Ndio maana wameshindwa kumpa Zito barua.
 
mzee akiwa muongo basi ujue alipokuwa kijana alikuwa K .U . W. A . D. I maandazi !
 
Ilikuwa rahisi sana Zitto kujibu swali kuwa hajapokea barua kwakuwa hakukabidhiwa kwenye mkutano wa hadhara, ni rahisi kama ilivyorahisi kwake kukana kuihujumu chadema.

Ni aibu kwa Zitto kujibu tuhuma ambazo yeye mwenyewe anaona aibu kuzisoma kwa jinsi ilivyomkaa vibaya.

Zitto barua anayo, siku zilishaanza kuhesabika tangu alipokabidhiwa barua yake

Sijawahi kukutilia mashaka kamanda .
 
Kwasasa ishu inayovuma na kulalamikiwa na zito ni hujuma za slaa na mbowe. Dr.W.Slaa unampigia simu Zitto na unamtishia maisha huu ndio uungwana kweli? CHACHA WANGWE hawatoshi mpaka mumtoe kafara na zitto wa watu? Nimeamini dr slaa ni fisi katika ngozi ya kondoo. Ok, wewe utendelea kupanga mipango ya kiovu ya uuwaji lakini walioko nyuma yako watajutia kwanini wanakuunga mkono wewe gaidi.

Serikali ya CCM haifai kuendelea kuongoza Nchi kama Muuaji wa CHACHA WANGWE anajulikana na Hakamatwi.Shime Watanzania tushirikiane kuhakikisha Serikali hii Dhaifu inaondoka Madarakani kwa Usalama wa Maisha yetu.
 
Casual analysis inaonyesha kuwa CHADEMA ni nguzo ya upinzani na nguvu ya kutumainiwa kuleta mageuzi. Nasema hivyo kwa kuwa: Tangu mzozo wa Zitto and Co. LTD, media zote zimeandika sana tena sana kinyume for example na Kafulila, au Hamadi walivyotofautiana na vyama vyao. What is so special with CDM- KUKUBALIKA NA WANANCHI
 
Back
Top Bottom