Chadema hii ya mbowe ingekuwa madarakani

Status
Not open for further replies.
Tsakhodegha

Tsakhodegha

Member
26
20
Chadema hii ya mbowe ingekuwa madarakani yafuatayo yangetokea;

1.wakosoaji wote wa serikali wangekuwa wamefungwa kwa uhaini ama wangefutiwa uraia wao na kutakiwa kuondoka nchini.

2. Magazeti aina ya mawio na yanayofanana nayo yangekuwa jela siku moja tu baada ya toleo la kwanza.

3. Maandamano yawayo yeyote yangepigwa marufuku isipokuwa yale ya kusifia serikali yake pekee.

4. Ingekuwa marufuku kulitaja jina la mtukufu raisi mbowe kwa namna yeyote yenye mwelekeo wa kukosoa ama kupinga na kutoridhishwa na namna serikali yake inavokabiliana na changamoto za wananchi wake.

5. Ingekuwa ngumu kuachia madaraka kwa kisingizio kuwa bado nchi haijatengemaa kiuchumi na kwamba hawezi kabidhi nchi kwa mtu asiyemjua.

Ni mawazo tu sio lazima ucomment kamanda
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics


Threads
1,424,514

Messages
35,065,616

Members
538,005
Top Bottom