TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Hili la Kuzuiliwa Kufanya Mikutano, Ni nyie Tu Mnawapa CCM na Magufuli Kichwa, Mnaweza Kumvuruga Kichwa Mpaka akajiona Hila zake ni za 1928!
Hizi Ni Mbinu Mbili tu nawapa Zipo Nyingi sana! Najua watakimbilia kupiga Marufuku mbinu hizi Mbili ila haitawork, wakifanya hivyo Ndio Ugomvi na Wananchi! Utazuia Matamasha ya Mkziki ati kisa Sumaye kaja kujirusha na Vijana! Wapi!
Sasa Ukawa na Chadema,Achaneni na Maandamano, Lowassa na Sumaye wanaweza Wakaamua Kwenda Mkutano wa Mbunge wa Ubungo au Kinondoni, au Kibangu na Wakaamsha Dude kuweka Heshima Mjini. Najuwa hawa Macoawards hawawezi Kuwafanyia Lolote. Watawatisha na pengine kuwakamata lakikini hawana kesi!
MBINU MBILI KABAMBE!
Mnamwomba Shehe au Mchungaji Fulani afanye Mkutano Janguani Mnatundika Speaker za Kufa Mtu! Halafu boom, siku ya Pili ya Mkutano Lowassa anatinga pale anapewa nafasi ya Kusalimia Lakini anaachwa anatwanga Dakika 30. Washenzi Watamkamata kwa Kwenda Kuabudu? Na Katika hizo 30 minutes anaweza asiongee ila Akaongoza Pambio, Mi nitamwandikia Mistari! Just Kidding wako vijana wengi hilo watalimudu!
Au anakuwa na Tamasha la Kufa Mtu Mwanamziki Fulani Sumaye anazuka akiwa amevaa Jeans anacheza Muziki halafu anapewa 30 Minutes za Kurap! Kwani Washenzi watamkamata Sumaye kwa Kwenda kwenye starehe au kurap inawahusu? Mi najua akina Lema na Lissu Watampa Mistari.
Na mbaya Saidi siku hiyo anaweza Kuongozana na Mama na Wabunge wengine wawili watatu Wakarap! Kama Museveni anarap kwani Lowassa akirap kuna shuda gani?