CHADEMA hii ni mbinu mpya nawapa ya kuweka heshima mjini!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Hili la Kuzuiliwa Kufanya Mikutano, Ni nyie Tu Mnawapa CCM na Magufuli Kichwa, Mnaweza Kumvuruga Kichwa Mpaka akajiona Hila zake ni za 1928!

Hizi Ni Mbinu Mbili tu nawapa Zipo Nyingi sana! Najua watakimbilia kupiga Marufuku mbinu hizi Mbili ila haitawork, wakifanya hivyo Ndio Ugomvi na Wananchi! Utazuia Matamasha ya Mkziki ati kisa Sumaye kaja kujirusha na Vijana! Wapi!

Sasa Ukawa na Chadema,Achaneni na Maandamano, Lowassa na Sumaye wanaweza Wakaamua Kwenda Mkutano wa Mbunge wa Ubungo au Kinondoni, au Kibangu na Wakaamsha Dude kuweka Heshima Mjini. Najuwa hawa Macoawards hawawezi Kuwafanyia Lolote. Watawatisha na pengine kuwakamata lakikini hawana kesi!

MBINU MBILI KABAMBE!

Mnamwomba Shehe au Mchungaji Fulani afanye Mkutano Janguani Mnatundika Speaker za Kufa Mtu! Halafu boom, siku ya Pili ya Mkutano Lowassa anatinga pale anapewa nafasi ya Kusalimia Lakini anaachwa anatwanga Dakika 30. Washenzi Watamkamata kwa Kwenda Kuabudu? Na Katika hizo 30 minutes anaweza asiongee ila Akaongoza Pambio, Mi nitamwandikia Mistari! Just Kidding wako vijana wengi hilo watalimudu!

Au anakuwa na Tamasha la Kufa Mtu Mwanamziki Fulani Sumaye anazuka akiwa amevaa Jeans anacheza Muziki halafu anapewa 30 Minutes za Kurap! Kwani Washenzi watamkamata Sumaye kwa Kwenda kwenye starehe au kurap inawahusu? Mi najua akina Lema na Lissu Watampa Mistari.
Na mbaya Saidi siku hiyo anaweza Kuongozana na Mama na Wabunge wengine wawili watatu Wakarap! Kama Museveni anarap kwani Lowassa akirap kuna shuda gani?
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,153
2,000
Mkuu uliwahi kuona mkutano ww dini unavamiwa na makomando?Unaweza kudhani wanawakamata watuhumiwa wa kibiti
 
Hansss

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,371

Naona kuna jambo moja zito litakuja kutokea sidhani kama ukimya wa upinzani utamwacha mtu salama ila ninachokiona wakiendelea kukaa kimya wanazidi kuwafanya wanachama kujisahau zaidi kuhusu vyama vyao vya ukawa kama vipi dude waliamshe kwa ccm wamelianzisha kwa kigezo cha pongezi sasa ni zamu ya upinzania nao kuliendeleza jaramba. aisee nchi imepoa sana km vp cdm liamsheni dude nchi ichangamke maana wamejisahau watawala.
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,464
2,000
Swali..ukiitisha mkutano wa dini watajitokeza chadema, ccm na hata wale wasio na interest na siasa...alafu ghafla unapeleka kiongozi wa chama flani...wengine watakuelewa?
Vivyo hivyo, ukiitisha tamasha la muziki watajitokeza ccm, cuf na wasio na vyama....suddenly, unakatiza starehe yao kuwaletea mtu wasiyemkubali....nini kitatokea?
Kajipange upya
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Mkuu uliwahi kuona mkutano ww dini unavamiwa na makomando?Unaweza kudhani wanawakamata watuhumiwa wa kibiti
Bull shit Tuwaone hao Makomandoo huko kibiti kwanza! Na by the Way Sumaye anafika Kwenye Mkutano, Anapewa Nafasi asalimie anasalimia, Kisha anatwanga Mahubiri ya Mfalme, au anaimba Pambio huyo Mshenzi atatuma wahuni kuvamia Mkutano kwa sheria ipi iliyovujwa? Au Lowassa haruhusiwi kuabudu! Si ndio Mtataka vita. Na hao mbwa Watakaovamia Mkutano wa watu elfu 20,000 plus naapa hawatarudi. Nyie mnaona watu wanasema Bwana Yesu asifiwe mnadhani Mtawanyea sio?
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,711
2,000
Swali..ukiitisha mkutano wa dini watajitokeza chadema, ccm na hata wale wasio na interest na siasa...alafu ghafla unapeleka kiongozi wa chama flani...wengine watakuelewa?
Vivyo hivyo, ukiitisha tamasha la muziki watajitokeza ccm, cuf na wasio na vyama....suddenly, unakatiza starehe yao kuwaletea mtu wasiyemkubali....nini kitatokea?
Kajipange upya
Eti ndio wanamikakati hao! Kwenye kampeni alikuwa na nafasi ya kujinadi hata kwa masaa mawili mfululizo lakini akaishia kuongea kwa dakika tano akituomba tuitafute hotuba yake kwenye mtandao, ni asilimia ngapi ya watanzania anaotaka kuwatawala wanaoufikia huo mtandao?!

Halafu mtu anakuja hapa eti aongee nusu saa kwenye tamasha la dini, huku sio kumuombea yamkute tena yaliyomkuta chato stendi?!
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Hili la Kuzuiliwa Kufanya Mikutano, Ni nyie Tu Mnawapa CCM na Magufuli Kichwa, Mnaweza Kumvuruga Kichwa Mpaka akajiona Hila zake ni za 1928!

Hizi Ni Mbinu Mbili tu nawapa Zipo Nyingi sana! Najua watakimbilia kupiga Marufuku mbinu hizi Mbili ila haitawork, wakifanya hivyo Ndio Ugomvi na Wananchi! Utazuia Matamasha ya Mkziki ati kisa Sumaye kaja kujirusha na Vijana! Wapi!

Sasa Ukawa na Chadema,Achaneni na Maandamano, Lowassa na Sumaye wanaweza Wakaamua Kwenda Mkutano wa Mbunge wa Ubungo au Kinondoni, au Kibangu na Wakaamsha Dude kuweka Heshima Mjini. Najuwa hawa Macoawards hawawezi Kuwafanyia Lolote. Watawatisha na pengine kuwakamata lakikini hawana kesi!

MBINU MBILI KABAMBE!

Mnamwomba Shehe au Mchungaji Fulani afanye Mkutano Janguani Mnatundika Speaker za Kufa Mtu! Halafu boom, siku ya Pili ya Mkutano Lowassa anatinga pale anapewa nafasi ya Kusalimia Lakini anaachwa anatwanga Dakika 30. Washenzi Watamkamata kwa Kwenda Kuabudu? Na Katika hizo 30 minutes anaweza asiongee ila Akaongoza Pambio, Mi nitamwandikia Mistari! Just Kidding wako vijana wengi hilo watalimudu!

Au anakuwa na Tamasha la Kufa Mtu Mwanamziki Fulani Sumaye anazuka akiwa amevaa Jeans anacheza Muziki halafu anapewa 30 Minutes za Kurap! Kwani Washenzi watamkamata Sumaye kwa Kwenda kwenye starehe au kurap inawahusu? Mi najua akina Lema na Lissu Watampa Mistari.
Na mbaya Saidi siku hiyo anaweza Kuongozana na Mama na Wabunge wengine wawili watatu Wakarap! Kama Museveni anarap kwani Lowassa akirap kuna shuda gani?

Mimi naona ni kama vile tu umewapa ' ushauri ' wa Wao ' Kufa ' mapema.
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,389

Siasa na unafiki damudamu.
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Eti ndio wanamikakati hao! Kwenye kampeni alikuwa na nafasi ya kujinadi hata kwa masaa mawili mfululizo lakini akaishia kuongea kwa dakika tano akituomba tuitafute hotuba yake kwenye mtandao, ni asilimia ngapi ya watanzania anaotaka kuwatawala wanaoufikia huo mtandao?!

Halafu mtu anakuja hapa eti aongee nusu saa kwenye tamasha la dini, huku sio kumuombea yamkute tena yaliyomkuta chato stendi?!
Msema kweli hana haja ya Kujinadi Masaa, Hiyo ni Kazi ya Matapeli, Na Majizi wanaiba hata 2.7 billions Hazina na kuhonga Wabunge!
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Mimi naona ni kama vile tu umewapa ' ushauri ' wa Wao ' Kufa ' mapema.
Maneno! Vitisho! Mtakufa nyie mnacheza nyie mna Polisi wangapi? Wanashindwa Kibiti ila Watawatisha Ukawa Million 8 Ndoto za Mchana, endeleeni kufanya Wazimu ipo siku mtajifukia mashimoni Kama Sadam na Qadaffi. Naapa Hiyo siku inakuja!
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
2,593
2,000
Halafu ... Siku hizi sura ya CHADEMA ni Lowassa na Sumaye? Hawa wanaoakisi uhafidhina wa CCM uliotujengea taifa la ovyo ovyo la kushabikia na kuabudu ujinga, unafiki na "uswahili"? Where is the real M4C?
 
Matungiza

JF-Expert Member
May 6, 2017
523
500
Kuhusu kutumia viongozi wa dini hapo umekosea sana kwa sababu hujafanya uchunguzi wa kutosha.

Wanachama wengi wa CHADEMA ni walevi wa unga na viroba pamoja na masela. Huko kwa watu wema hawawezi kujitokeza. Shauri kitu kingine.
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Maneno! Vitisho! Mtakufa nyie mnacheza nyie mna Polisi wangapi? Wanashindwa Kibiti ila Watawatisha Ukawa Million 8 Ndoto za Mchana, endeleeni kufanya Wazimu ipo siku mtajifukia mashimoni Kama Sadam na Qadaffi. Naapa Hiyo siku inakuja!

Nadhani ingependeza zaidi ili kutoa mfano kwa hayo unayowaambia basi Wewe ungeanza Kwanza ' Kujipendekeza ' ili utenguliwe vizuri bandama, kolomero na mbavu hizo kisha wenzako watakuwa wameshalipata somo tosha kuwa Awamu hii si ya Kudekeza dekeza ' wajinga wajinga '. Na mtanyooka tu na Serikali hii ya Kijemedari na Kishujaa kabisa ya Mwanamume wa Shoka Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Unaweza kumtenganisha na hao wezi na matapeli?! I thought he retains his iconic figurehead.
Sio Figure head my Friend aliyeiba 2.7 Hazina Kuhonga Wabunge wa CCM 10 mill @ Akiwemo Ndugai ni Magufuli. Hilo lina Ushahidi na Kuna Tetesi amemhonga Ndugai 2 Billions Tsh. Ili awathibiti Wapinzani Bungeni, Swali ni Je Na hizi alizomhonga nazo Ndugai Je zinatoka Pia hazina? Je ni sawa kumhonga Speaker? Na hili lilifanyika Kabla ya Uchaguzi wa EALA
 
TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,627
2,000
Nadhani ingependeza zaidi ili kutoa mfano kwa hayo unayowaambia basi Wewe ungeanza Kwanza ' Kujipendekeza ' ili utenguliwe vizuri bandama, kolomero na mbavu hizo kisha wenzako watakuwa wameshalipata somo tosha kuwa Awamu hii si ya Kudekeza dekeza ' wajinga wajinga '. Na mtanyooka tu na Serikali hii ya Kijemedari na Kishujaa kabisa ya Mwanamume wa Shoka Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mbona Umekasirishwa unatoa mikwara ya kitoto? Nakubali ushauri Wako ila Wapelekee mama yako hao watu wakamtairi, ili wakikutana na mimi wawe wamefanya Mazoezi tosha!

Wow Mtatoa Watu Makoromero kwa kuimba Pambio, kweli hofu yenu ni kubwa bring it on bro! Ati Mwanamume, mwanamume anaogopa watu kuongea Magufuli ni mtu asiye na Maball na Ni Coward Big time! Mwanamume kwako wewe Msukule na stooge wake. Mwanamume alikimbia Msiba wa Watoto Arusha kuogopa Lowassa atashangiliwa huyo ni Mwanamume? Please, you are soooo funny
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,711
2,000
Sio Figure head my Friend aliyeiba 2.7 Hazina Kuhonga Wabunge wa CCM 10 mill @ Akiwemo Ndugai ni Magufuli. Hilo lina Ushahidi na Kuna Tetesi amemhonga Ndugai 2 Billions Tsh. Ili awathibiti Wapinzani Bungeni, Swali ni Je Na hizi alizomhonga nazo Ndugai Je zinatoka Pia hazina? Je ni sawa kumhonga Speaker? Na hili lilifanyika Kabla ya Uchaguzi wa EALA
Kuna tetesi pia kuwa mbowe anaidai chadema bil 7, umeshalisikia hilo?! Kama bado mtafute Benson Mramba akujuze.
 
Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
Mbona Umekasirishwa unatoa mikwara ya kitoto? Nakubali ushauri Wako ila Wapelekee mama yako hao watu wakamtairi, ili wakikutana na mimi wawe wamefanya Mazoezi tosha!

Wow Mtatoa Watu Makoromero kwa kuimba Pambio, kweli hofu yenu ni kubwa bring it on bro!

Mlimzoea huyo huyo ' Mkwere ' aliyekuwa ' anawachekea ' huyu Mwanamume wa Bara hana ' masihara ' na ' atawanyoosheni ' kisawasawa. Sifa Kubwa ya Watu wa Mikoa ya Bara huwa haturembi rembi wala hatumsujudii Mtu na hatujui Kujipendekeza wala Kumdekeza ' mjinga mjinga '. Ndiyo mwaka wake wa pili huu bado ana mingine mitatu ( 3 ) kisha anamalizia mitano ( 5 ) yake hivyo kama unataka kuyafanya hayo unayojitahidi kuwashauri humu ' Wapuuzi ' wenzio subiri hadi Mwanamume JPM amalize muda wake hapo mwaka 2025.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom