CHADEMA hii kesi ya Mbowe wasiichukulie mzaha, ni muda muafaka wa Tundu Lissu kurudi kuongeza nguvu upande wa utetezi

Hakuña kesi hapo ndugu yangu unless uwe mjinga wa mwisho kutoelewa na kufahamu hili mpaka hatua hii...

Hata kama ikititokea amehukumiwa "kifungo jela" au "kunyongwa" ama uamuzi wowote ulio kinyume cha haki na sheria ili "kumkomesha" kama ambavyo wabaya wake (wenye mamlaka ya kiserikali za kidunia - Tanzania) wanatamba na kusema, hiyo haitakuwa kwa sababu ya mawakili wa utetezi kushindwa kazi yao kama unavyobuni wewe kichwani mwako na kutaka kuaminisha watu...!

HEBU FIKIRI;

1. Unadhani Yesu Kristo alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kusulubiwa msalabani kwa sababu hakuwa na mawakili wazuri kumtetea...?

LA HASHA.....! Alikuwa nao wengi sana. Mmoja wao ni baba yake Mungu Yehova asimamae ktk nafasi zote mbili WAKILI na HAKIMU wa haki....

Lakini ni kwa sababu mambo mengine "nature" huyaruhusu yatokee kwa sababu maalumu ili kuja ku - prove baadae kwa haohao kuwa walikuwa WAJINGA na WAPUMBAVU sana walipochukua maamuzi hayo...!!
Yaani Gaidi Mbowe unamlinganisha na Yesu? Hebu acha kumdhalilisha Yesu wetu.
 
Tusikubali udhalimu lzm kuchukua hatua thabiti ili kufikia malengo ya kupata haki Kama tusingeona umuhimu wa utetezi mzuri Basi tusingeweka mawakili kabisa.
 
Hata hukunielewa...

Hoja ni kuwa hao wanaosimamia kesi hii they are equally the best as Tundu Lissu...

The point here is, kama Freeman Mbowe atafungwa haitakuwa kwa sababu ya mawakili bali ni kwa sababu ni LAZIMA AFUNGWE maana hata kama utaweka mawakili wote "wazuri" duniani, haitazuia hukumu ya kifungo cha Mbowe..!!

Na hii ndiyo ilikuwa hoja yangu kuwa, Mungu huruhusu jambo fulani litokee kwa makusudi fulani...

As for Tundu Lissu, labda huna taarifa za kutosha kumhusu na ambaye (wewe kwa mawazo yako ni wakili mzuri kuliko kina Kibatala na wenzake)...

Ni kuwa, anatafutwa na haohao wamfunge au wamuue kabisa...!

Sina hakika kama unanielewa wewe...
 
Nikiangalia mwenendo wa kesi kila siku wakili aliyetulia na anayeuliza maswali mazuri kila siku NI kibatala pekeyake. Wengine leo wanakuwa wa Moto kesho yake wanakuwa na maswali ambayo ata Kama sio wakili huelewi kbs yanakusudia Nini.
Ata Kama Lissu NI mtu muhimu Sana. Na pia mawakili wa kimataifa na maarufu yataichochea mahakama kutoa hukumu ya haki. Kwani watajua hukumu yao itasomwa na kujadiliwa kimataifa.
 
Lazima kila vita ujiandae vizuri. Wakurya wanasema Vita ni vita. Hakuna Vita ndogo.

Simba akikamata hata kaswala kadogo lazima ashike shingo hana masihara kabisa. Yasije kuwakuta ya Simba.

Ukweli Wakili wenye maswali na anayeenda vizuri ni Kibatala. Wengine leo wana maswali mazuri kesho tena sioni kabisa. Naamini hii kesi imelalia upande. Kosa dogo mnampoteza Mbowe.

Wakili mwenye uwezo wa kuisimamia hii kesi na mwenye uwezo mzuri sawa na Kibatala ni Tundu Lissu tena aambatane na Mawakili wawili wa Kimagharibi ambao wana uzoefu na kesi zenye sura ya kisiasa.
Naunga mkono hoja 100% ukweli Kibatala ni homa ya jiji lakini Tundu ni homa ya dunia
 
Nikiangalia mwenendo wa kesi kila siku wakili aliyetulia na anayeuliza maswali mazuri kila siku NI kibatala pekeyake. Wengine leo wanakuwa wa Moto kesho yake wanakuwa na maswali ambayo ata Kama sio wakili huelewi kbs yanakusudia Nini.
Ata Kama Lissu NI mtu muhimu Sana. Na pia mawakili wa kimataifa na maarufu yataichochea mahakama kutoa hukumu ya haki. Kwani watajua hukumu yao itasomwa na kujadiliwa kimataifa.
Hebu jaribu kutufanya tuelewe hoja yako ingalau kwa;

1. Kutoa mifano miwili au mitatu ya maswali "yasiyo mazuri" yaliyoulizwa na "hao mawakili wengine wasio wazuri" ingekuwa vyema sana....

NA

2. Kwa kutoa mifano japo ya maswali mawili au matatu ambayo mawakili hao unaowaona "sio wa moto" hawakuyauliza kwa shahidi yeyote ingekuwa vyema zaidi na pengine mimi naweza kukuelewa...

## Lakini kwa namna hii, mimi naona kama vile, you are ignorantly and aimlessly shooting in the air...!!
 
Hizi siku mbili kidogo Malya na mwenzake wamerudi kwenye spidi nzuri. Wamekuwa waibua hoja hivi. Ila kama Lissu mwenyewe angekuwepo hao mashaidi wanaochanganya changanya maelezo wangekimbia mahakamani kabla kesi haijaisha na ata majaji wanaoongoza kesi wangekuwa makini mno Sana. Lissu ukienda isivyo atakuita anavyojua. Nasema Tena Kama unafatilia kesi kibatala NI heavy weight. Hao wengine huwezi kuwalinganisha ata kidogo na Lissu.
 
Huyo Rais wa Mashoga unafikiri atasaidia nini? Mwache aendelee kulelewa huko Ubelgiji kama ambavyo Lema anavyolelewa huko Canada.
Mara nyingi unaamini ulivyo wewe na wenzako wako hivyo.Hiyo ni tabia yako tunakufahamu endelea nayo.Usidhani ukiwa mwizi kila mtu ni mwizi.Pole
 
Lazima kila vita ujiandae vizuri. Wakurya wanasema Vita ni vita. Hakuna Vita ndogo.

Simba akikamata hata kaswala kadogo lazima ashike shingo hana masihara kabisa. Yasije kuwakuta ya Simba.

Ukweli Wakili wenye maswali na anayeenda vizuri ni Kibatala. Wengine leo wana maswali mazuri kesho tena sioni kabisa. Naamini hii kesi imelalia upande. Kosa dogo mnampoteza Mbowe.

Wakili mwenye uwezo wa kuisimamia hii kesi na mwenye uwezo mzuri sawa na Kibatala ni Tundu Lissu tena aambatane na Mawakili wawili wa Kimagharibi ambao wana uzoefu na kesi zenye sura ya kisiasa.
Lissu aje na bash wake Amsterdam? So alishamtema?
 
Jamaa wamewaruhusu machinga waendelee kubaki mjini na bodaboda na bajaji waingie mpaka uvunguni.Utanielewa tu.Wabeba dola
Suala la machinga siyo rahisi kama linavyolichukulia na kutekelezwa kwa sasa. Linahiraji Sera, Mpango mkakati na Sheria, siyo jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom