CHADEMA heshimuni maamuzi ya Lowassa

so law

Senior Member
Dec 24, 2018
101
269
habari wakuu poleni na ubize wa wiki hii...

nimeshangaa baada ya mh. Lowassa kurudi CCM CHADEMA wameanza kujifanya kanakwamba hawajaumizwa na kitendo hicho na wala Lowassa hakuwa na UMUHIMU wowote pale chamani kitu ambacho tunajua si KWELI ..

kama kawaida ya ujuaji mwingi Godbless lema anasema katika andiko lake kwamba waligundua LOWASSA hayuko pamoja nao mara tu baada ya uchaguzi.. Najiuliza sas mbona bado mlikuw mnamkaribisha kweny vikao nyeti vya CHAMA.??

Ifike wakati muwe MAANA HALISI YA DEMOKRASIA sio mnahubiri DEMOKRASIA HALAFU HAMUIJUI BDEMKRASIA INAFANYEJE KAZI..
Sote ni mashahidi CHADEMA hawaamini kama mtu anaweza kutoka kweny CHAMA chao na kwenda CCM bila kununuliwa au kurubuniwa, (hwaheshimu maamuzi ya watu).. Nimeshangaa mpka Lowassa nae mnasema kurubuniwa au eti karudi CCM ili mkwe wake aachiwe huru, like seriously..? Ndo DEMOKRASIA inavotuambia mtu hawezi kuamua mpka awe anahitaji kitu flani..?

Ushauri.....

Kama mlivowaaminisha WATANZANIA kuwa Lowassa ni mtu safi hana chembe ya ufisadi, amejenga shule za kata akiwa waziri mkuu,, basi endeleeni kumpa heshima hiyo hiyo nyie si ni wadau wa DEMOKRASIA,

acheni kujifanya kanakwamba LOWASSA hakuwa na UMUHIMU wowote ndani ya chama chenu, wala hammkumuhitaji kiasi hcho.. Huo utakuw uongo.

Pia kumbukukeni bado mpo na kina lazaro nyalandu na kina sumaye ambao sote tunawajua michezo yao walivokuwa kwenye mamlaka...
Tena sumaye mmempa uongozi wa kanda ....!

CHADEMA simamieni kauli ya DEMOKRASIA kwa kuheshimu kila mtu anapohama ndani ya chama chenu bila kumfanya Mtu yule aonekane hana maamuzi kaamuliwa that's not democracy.

Jambo la mwisho kuweni na msemaji mmoja wa chama ambae akiongea tunajua huu ni msimamo wa chama, sio kila mtu anaongea tu mpka unashindwa kuelewa sasa CHAMA hapa kina msimamo gani., kila tukio linapo tokea utakuta kila mtu anaongea analojua, msigwa, lema, mdudu chadema, na wajuaji wengine... Mambo hayaendi hvo asee
NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fisadi na Malaya lowassa hakuwa na umuhimu wowote ule ndani ya Chadema. Style yake ilikuwa ni kupiga kimya kusubiri 2020 huku akifanya mambo kwa siri kubwa sana kama la kwenda Ikulu bila kuwataarifu viongozi wa Chadema.habari wakuu poleni na ubize wa wiki hii...

nimeshangaa baada ya mh. Lowassa kurudi CCM CHADEMA wameanza kujifanya kanakwamba hawajaumizwa na kitendo hicho na wala Lowassa hakuwa na UMUHIMU wowote pale chamani kitu ambacho tunajua si KWELI ..

kama kawaida ya ujuaji mwingi Godbless lema anasema katika andiko lake kwamba waligundua LOWASSA hayuko pamoja nao mara tu baada ya uchaguzi.. Najiuliza sas mbona bado mlikuw mnamkaribisha kweny vikao nyeti vya CHAMA.??

Ifike wakati muwe MAANA HALISI YA DEMOKRASIA sio mnahubiri DEMOKRASIA HALAFU HAMUIJUI BDEMKRASIA INAFANYEJE KAZI..
Sote ni mashahidi CHADEMA hawaamini kama mtu anaweza kutoka kweny CHAMA chao na kwenda CCM bila kununuliwa au kurubuniwa, (hwaheshimu maamuzi ya watu).. Nimeshangaa mpka Lowassa nae mnasema kurubuniwa au eti karudi CCM ili mkwe wake aachiwe huru, like seriously..? Ndo DEMOKRASIA inavotuambia mtu hawezi kuamua mpka awe anahitaji kitu flani..?

Ushauri.....

Kama mlivowaaminisha WATANZANIA kuwa Lowassa ni mtu safi hana chembe ya ufisadi, amejenga shule za kata akiwa waziri mkuu,, basi endeleeni kumpa heshima hiyo hiyo nyie si ni wadau wa DEMOKRASIA,

acheni kujifanya kanakwamba LOWASSA hakuwa na UMUHIMU wowote ndani ya chama chenu, wala hammkumuhitaji kiasi hcho.. Huo utakuw uongo.

Pia kumbukukeni bado mpo na kina lazaro nyalandu na kina sumaye ambao sote tunawajua michezo yao walivokuwa kwenye mamlaka...
Tena sumaye mmempa uongozi wa kanda ....!

CHADEMA simamieni kauli ya DEMOKRASIA kwa kuheshimu kila mtu anapohama ndani ya chama chenu bila kumfanya Mtu yule aonekane hana maamuzi kaamuliwa that's not democracy.

Jambo la mwisho kuweni na msemaji mmoja wa chama ambae akiongea tunajua huu ni msimamo wa chama, sio kila mtu anaongea tu mpka unashindwa kuelewa sasa CHAMA hapa kina msimamo gani., kila tukio linapo tokea utakuta kila mtu anaongea analojua, msigwa, lema, mdudu chadema, na wajuaji wengine... Mambo hayaendi hvo asee
NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeujiuliza kwaza kwanini Msukuma na CCM wengi walimtukana alipihamia Chadema, Mara anajinyea, waulize Msukuma, Kibajaji na wenzake Kama Bashiru alimwita Fisadi MKUU, Polepole alimwitaje, Malaya wa Siasa, Chadema wamepongeza uamzi wake ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaliyotokea yametokea na yoote hayo ni mipango yake ALLAH,la muhimu ni kuendelea kumpa heshima zake Mzee Lowassa na woote waliomtolea maneno mabaya alipohamia CHADEMA wamuombe msamaha na maridhiano yawepo tusonge mbele.
Nionavyo Mh Lowassa akichaguliwa kugombea hiyo 2020,hata CDM watamuunga mkono
Tuwe kitu kimoja wajameni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wakuu poleni na ubize wa wiki hii...

nimeshangaa baada ya mh. Lowassa kurudi CCM CHADEMA wameanza kujifanya kanakwamba hawajaumizwa na kitendo hicho na wala Lowassa hakuwa na UMUHIMU wowote pale chamani kitu ambacho tunajua si KWELI ..

kama kawaida ya ujuaji mwingi Godbless lema anasema katika andiko lake kwamba waligundua LOWASSA hayuko pamoja nao mara tu baada ya uchaguzi.. Najiuliza sas mbona bado mlikuw mnamkaribisha kweny vikao nyeti vya CHAMA.??

Ifike wakati muwe MAANA HALISI YA DEMOKRASIA sio mnahubiri DEMOKRASIA HALAFU HAMUIJUI BDEMKRASIA INAFANYEJE KAZI..
Sote ni mashahidi CHADEMA hawaamini kama mtu anaweza kutoka kweny CHAMA chao na kwenda CCM bila kununuliwa au kurubuniwa, (hwaheshimu maamuzi ya watu).. Nimeshangaa mpka Lowassa nae mnasema kurubuniwa au eti karudi CCM ili mkwe wake aachiwe huru, like seriously..? Ndo DEMOKRASIA inavotuambia mtu hawezi kuamua mpka awe anahitaji kitu flani..?

Ushauri.....

Kama mlivowaaminisha WATANZANIA kuwa Lowassa ni mtu safi hana chembe ya ufisadi, amejenga shule za kata akiwa waziri mkuu,, basi endeleeni kumpa heshima hiyo hiyo nyie si ni wadau wa DEMOKRASIA,

acheni kujifanya kanakwamba LOWASSA hakuwa na UMUHIMU wowote ndani ya chama chenu, wala hammkumuhitaji kiasi hcho.. Huo utakuw uongo.

Pia kumbukukeni bado mpo na kina lazaro nyalandu na kina sumaye ambao sote tunawajua michezo yao walivokuwa kwenye mamlaka...
Tena sumaye mmempa uongozi wa kanda ....!

CHADEMA simamieni kauli ya DEMOKRASIA kwa kuheshimu kila mtu anapohama ndani ya chama chenu bila kumfanya Mtu yule aonekane hana maamuzi kaamuliwa that's not democracy.

Jambo la mwisho kuweni na msemaji mmoja wa chama ambae akiongea tunajua huu ni msimamo wa chama, sio kila mtu anaongea tu mpka unashindwa kuelewa sasa CHAMA hapa kina msimamo gani., kila tukio linapo tokea utakuta kila mtu anaongea analojua, msigwa, lema, mdudu chadema, na wajuaji wengine... Mambo hayaendi hvo asee
NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi ya mtu siku zote huheshimiwa sijaona mahala popote unaowalalamikia wamepanga hujuma kama mfanyavyo ninyi mwanachama wenu akihamia upinzani.
Miradi na maslahi yake huwa mnavihujumu. Ninyi ktk democrasia jina gani zuri linawafaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi binafsi nimefurahi fisadi Lowasa kurudi magamba . Atuachie Chadema yetu... bado sumaye na makongoro mahanga.
Mbona alivyokuwa hapo ndani ya nyumba hukuthubutu kufungua domo na kumuita fisadi??
 
habari wakuu poleni na ubize wa wiki hii...

nimeshangaa baada ya mh. Lowassa kurudi CCM CHADEMA wameanza kujifanya kanakwamba hawajaumizwa na kitendo hicho na wala Lowassa hakuwa na UMUHIMU wowote pale chamani kitu ambacho tunajua si KWELI ..

kama kawaida ya ujuaji mwingi Godbless lema anasema katika andiko lake kwamba waligundua LOWASSA hayuko pamoja nao mara tu baada ya uchaguzi.. Najiuliza sas mbona bado mlikuw mnamkaribisha kweny vikao nyeti vya CHAMA.??

Ifike wakati muwe MAANA HALISI YA DEMOKRASIA sio mnahubiri DEMOKRASIA HALAFU HAMUIJUI BDEMKRASIA INAFANYEJE KAZI..
Sote ni mashahidi CHADEMA hawaamini kama mtu anaweza kutoka kweny CHAMA chao na kwenda CCM bila kununuliwa au kurubuniwa, (hwaheshimu maamuzi ya watu).. Nimeshangaa mpka Lowassa nae mnasema kurubuniwa au eti karudi CCM ili mkwe wake aachiwe huru, like seriously..? Ndo DEMOKRASIA inavotuambia mtu hawezi kuamua mpka awe anahitaji kitu flani..?

Ushauri.....

Kama mlivowaaminisha WATANZANIA kuwa Lowassa ni mtu safi hana chembe ya ufisadi, amejenga shule za kata akiwa waziri mkuu,, basi endeleeni kumpa heshima hiyo hiyo nyie si ni wadau wa DEMOKRASIA,

acheni kujifanya kanakwamba LOWASSA hakuwa na UMUHIMU wowote ndani ya chama chenu, wala hammkumuhitaji kiasi hcho.. Huo utakuw uongo.

Pia kumbukukeni bado mpo na kina lazaro nyalandu na kina sumaye ambao sote tunawajua michezo yao walivokuwa kwenye mamlaka...
Tena sumaye mmempa uongozi wa kanda ....!

CHADEMA simamieni kauli ya DEMOKRASIA kwa kuheshimu kila mtu anapohama ndani ya chama chenu bila kumfanya Mtu yule aonekane hana maamuzi kaamuliwa that's not democracy.

Jambo la mwisho kuweni na msemaji mmoja wa chama ambae akiongea tunajua huu ni msimamo wa chama, sio kila mtu anaongea tu mpka unashindwa kuelewa sasa CHAMA hapa kina msimamo gani., kila tukio linapo tokea utakuta kila mtu anaongea analojua, msigwa, lema, mdudu chadema, na wajuaji wengine... Mambo hayaendi hvo asee
NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sass ndio umerejerea maana ya neno DEMOKRASIA acha watu watoe maoni yao na maoni ya kwako yamepokelewa. Kwenye mkutano mkuu wa chama ndipo tunapokuta msimamo wa chama.
 
Ccm mliheshimu? mbona mlimtukana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom