Chadema:"Heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema:"Heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by apolycaripto, Jun 6, 2011.

 1. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Aka ka msemo nimekapenda japo utekelezaji wake umekuwa mgumu kupindukia.

  "Heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti".Huu ni moja kati ya semi za makamanda wa jeshi lililo hai la Chadema wanapokuwa vitani.Nimekwazwa sana na utekelezaji wa usemi huu ambapo wasiousema ndio wanautimiza kama jamaa zetu watatu pale Arusha.Juzi mkuu wa usemi dakika chache tu baada ya kunena alitenda tofauti na kujikabidhisha polisi (kwa maana ya kuishi akiwa amepiga magoti).Kale kadada kangu na maandamano kaliukana tena usemi na kuchagua kupiga mbio baada ya wapiganaji wa kweli kuibuka na vya moto vinavyotoa uhai.Bahati mbaya mbio hazikutosha leo nasikia kanaungurumia kisutu (kupiga magoti).

  Jamani misemo hii tuwaachie akina Mkwawa,Mirambo,Isike n.k sio sisi akina Kinjekitile Ngware.Iwapo hatuna uwezo wa kutimiza basi tusiwaumize vijana wetu na misemo mfu kama ilivyokuwa "vita ya majimaji".Wengi wetu ni waoga na mara kwa mara tumekuwa tukikimbia hasa viongozi kipindi wapiganaji wa kweli wanapozifyatua,hii hali hatukuizoe sasa mbona tunailazimisha wakati hatuimudu?.

  Viongozi wa CHADEMA sijaona yeyote kati yenu aliyekufa amesimama wote mnaishi mmepiga magoti,chondechonde msitumalize sisi.Next time kama mtaendelea na msemo huu basi mtuonyeshe mfano wa "kufa mmesimama".
   
 2. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Haka ka msemo nimekapenda japo utekelezaji wake umekuwa mgumu kupindukia.

  "Heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti".Huu ni moja kati ya semi za makamanda wa jeshi lililo hai la Chadema wanapokuwa vitani.Nimekwazwa sana na utekelezaji wa usemi huu ambapo wasiousema ndio wanautimiza kama jamaa zetu watatu pale Arusha.Juzi mkuu wa usemi dakika chache tu baada ya kunena alitenda tofauti na kujikabidhisha polisi (kwa maana ya kuishi akiwa amepiga magoti).Kale kadada kangu na maandamano kaliukana tena usemi na kuchagua kupiga mbio baada ya wapiganaji wa kweli kuibuka na vya moto vinavyotoa uhai.Bahati mbaya mbio hazikutosha leo nasikia kanaungurumia kisutu (kupiga magoti).

  Jamani misemo hii tuwaachie akina Mkwawa,Mirambo,Isike n.k sio sisi akina Kinjekitile Ngware.Iwapo hatuna uwezo wa kutimiza basi tusiwaumize vijana wetu na misemo mfu kama ilivyokuwa "vita ya majimaji".Wengi wetu ni waoga na mara kwa mara tumekuwa tukikimbia hasa viongozi kipindi wapiganaji wa kweli wanapozifyatua,hii hali hatukuizoea sasa mbona tunailazimisha wakati hatuimudu?.

  Viongozi wa CHADEMA sijaona yeyote kati yenu aliyekufa amesimama wote mnaishi mmepiga magoti,chondechonde msitumalize sisi.Next time kama mtaendelea na msemo huu basi mtuonyeshe mfano wa "kufa mmesimama".
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaa jamaa ni waoga balaa aisee, walikuwa wamejazana pale central walipomwagiwa maji ya washa washa walitimua mbio balaaa aisee
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  khaa nimecheka sana na hii kitu..haya bwana
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tunatafutana ubaya sasa!
   
 6. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mods mtusaidie,hili jamvi limeingiliwa na wahuni ambao wapo kifuasi zaidi.Nimepost topic hapa ya Chadema:Heri kufa nimesimama kuliko kuishi nimepiga magoti,wahuni wamei-highjack na kuingiza thread ya hatimaye Mbowe apewa dhamana kwa heading yangu.Narudia huu ni uhuni na haukubariki,nashauri tuwe wastaarabu na kuacha tabia mbovu na zisizokubalika.

  Hata kama wafuasi hawa wanataka thread yao ionekane imesomwa sana hali yakuwa ni outdated ni bora kuiendeleza na si kunyima haki kwa wengine kutoa mawazo.Kwa nini tupotoshe wasomaji/wachangiaji?.

  Tatueni hili tatizo linaonekana kuwa kongwe kwa hawa crooks .
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu nenda jamii forums rules and regulations..
   
 8. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Haka ka msemo nimekapenda japo utekelezaji wake umekuwa mgumu kupindukia.

  "Heri kufa nimesimama" kuliko "kuishi nimepiga magoti". Huu ni moja kati ya semi za makamanda wa jeshi lililo hai la CHADEMA wanapokuwa vitani. Nimekwazwa sana na utekelezaji wa usemi huu ambapo wasiousema ndio wanautimiza kama jamaa zetu watatu pale Arusha.

  Juzi mkuu wa usemi dakika chache tu baada ya kunena alitenda tofauti na kujikabidhisha polisi (kwa maana ya kuishi akiwa amepiga magoti). Kale kadada kangu na maandamano kaliukana tena usemi na kuchagua kupiga mbio baada ya wapiganaji wa kweli kuibuka na vya moto vinavyotoa uhai.
  Bahati mbaya mbio hazikutosha leo nasikia kanaungurumia kisutu (kupiga magoti).

  Jamani misemo hii tuwaachie akina Mkwawa, Mirambo, Isike n.k sio sisi akina Kinjekitile Ngware. Iwapo hatuna uwezo wa kutimiza basi tusiwaumize vijana wetu na misemo mfu kama ilivyokuwa "vita ya majimaji".

  Wengi wetu ni waoga na mara kwa mara tumekuwa tukikimbia hasa viongozi kipindi wapiganaji wa kweli wanapozifyatua, hii hali hatukuizoe sasa mbona tunailazimisha wakati hatuimudu?

  Viongozi wa CHADEMA sijaona yeyote kati yenu aliyekufa amesimama wote mnaishi mmepiga magoti, chondechonde msitumalize sisi.
  Next time kama mtaendelea na msemo huu basi mtuonyeshe mfano wa "kufa mmesimama".
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Rekebisha hiro rikiswahiri rako kwanza. Kisha wacha kucheza na dora. Sawa.
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0


  Bado kidogo, usiwe na wasiwasi sote CDM tutakufa tumesimama ikibidi -- usifanye haraka. Nyie watu wa magamba ni wagumu sana (hard nut to crack) kwa hivyo lazima tuwachukulie kwa busara yaani kuuma na kupuliza. Pole pole watu wanazidi kuhamasika na kupanda mori. wewe hesab siku zenu, sorry, masaa yenu tu yaliyobakia. Nyie ni watu wa kuondoka -- haraka ya nini? Is that loud and clear?

   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Magamba msituendeshe puta. Mtaipata tu -- hakuna way out! You want see blood? Just you endeleeni na uhovyo wenu.
   
 12. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda tu.!
   
 13. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  "kuuma na kupuliza" ni dalili kubwa ya unafiki mzee.Mbona mnapouma mnawashirikisha wafuasi lakini mnapopuliza hamuwashirikishi?.Angalieni hamasa isijegeuka karaha na kujipotezesha.
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Sasa wewe ungependa tuwaondoe kwa vipi? Chagueni wenyewe!
   
 15. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Check yourself,you might be dedicated as an agent for bloodrayne.
   
 16. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Watch truelies by Arnold Schwarzenegger pale kazee kalipotaka kumuondoa kwa kumdunga sindano ya sumu na baadae mambo kukageukia kwa kuvunjwa shingo.Tambua you have nothing than words,hizi zimekwisha kuwa zilipendwa mpaka 2015 itoke episode nyingine ya hatuyatambui matokeo.
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Unajua kama una cha kusema hapa JF ni bora uende ukafanye umbea wako huko vijiweni.....unaongea upumbavu sana na inaelekea una uwezo mdogo wa kufikiri na kuamua mambo,kama akili yako imekutuma uandike haya basi wewe ni "bogus"....
   
 18. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Unatumia nini, konyagi ama bangi au vyote kwa pamoja?
   
 19. M

  Membensamba Senior Member

  #19
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yes brother or sister (I don't know), it loud and clear. And I think our friend got it well. Kwani huyu jamaa hajui kabisa mbinu za kivita kuwa ku-retreat sio kushindwa wala woga? Amesahau waliokwisha kufa literally kwenye vita hivi? Upinzani wa kweli tumeuona tza kwa cdm tangu tupate uhuru Tanganyika, na kwa kweli ccm iko tumbo moto kwa ajili ya cdm. Hilo halikanushiki. Nani mwoga apiganaye na asiye na silaha kwa hamaki au ashindanaye na aliye na silaha kwa nguvu za hoja?

   
 20. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unaongea kufa huku umesimama wakati unapost thread kupitia blackbrry yako huku ukivuta Serengeti yako bariiiidi. Hivi we sharobaro unaweza kuandamana?Na hii mibia na kitimoto utaweza kukimbia mabomu ya machozi? Aheni kuwalisha waTZ ujinga kwani wameshajua nini agenda yenu, si kuwaletea wananchi maendeleo bali kujinufaisha tu, hatudanganyikii?
   
Loading...