CHADEMA: Hekima ni tunu mjitafakari sana

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
HEKIMA ni kitu cha kipekee sana. Kati ya manabii waliowahi kuomba hekima ni pamoja na Suleiman na akapewa na mwenyezi mungu subhannahau wa taalah. Hekima hukutoa kwenye dhiki na kukuweka kwenye ridhiki. Hekima hukutoa kwenye masononeko na kukupa faraja. Hekima hukutoa kwenye hudhuni na kukupa furaha.

Enyi vijana wa CDM na UKAWA iliyokufa jitahidini sana kumuomba mnyaazi mungu awape hekima, maarifa na busara.

Namalizia kwa kusema kuwa, ziara ya rais wa mioyo yenu ndugu Lowasa kwa mkuu Ikulu JPM ni sehemu tu ya kudhihirisha jinsi ndugu yetu E. Lowasa alivyo jitafakari na kujitambua kuwa mahala na sehemu alipo kwa sasa CDM si salama na amekosa hekima, maarifa na busara kuendelea kuwepo huko. Na kwa kutambua hilo, amejitafakari sana na naamini anaendelea kujitafakari kabla ya kuchukua hatua.

Naleta kwenu kwa matusi na kejeli kwani natambua bado mnahitaji hekima.
 
Back
Top Bottom