Mkutano wa CHADEMA uliompitisha Katibu Mkuu wa CHADEMA ulifanyika katika hotel ya Gold Crest ya Mwanza inayomilikiwa na mfanyabiashara kutoka Arusha, hotel yenye hadhi sawa na Serena hotel.
Hawa wajumbe watakuwa walitumia shs ngapi kwa siku walizokaa hapo?
Kwanini kila mjumbe asingepewa posho yake akakaa hoteli ya bei nafuu atakayoona inamfaa?