CHADEMA haya ndio majibu yenu. Asante Rais Magufuli

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Kwanza nimpongeze Mhe Rais kwa uimara na misimamo yake thabiti bila shaka anaitambua methali isemayo ''Ukicheka na Nyani utaokota Mabua''

Rais amejibu shauku ya wanamabadiliko ya kweli na hata waliobakia ni wale waliotaka mabadiliko Maslahi, Hao fuata upepo, jamii ya mifugo au wanyama wengine walao majani. Yalipo wapo.

1: Hoja ya rais dhaifu.

CHADEMA hawa hawa walimsema sana JK kuwa ni dhaifu, walidiriki mpaka kusema inchi ina ombwe la.uongozi.
Rais kwa kulijua hilo wakati wa kampeni alisema wazi hana mda wa kuhamisha mtu, ni hapo hapo kazi huna.
Nashindwa kuwaelewa hawa ndg walichotaka ni nini maana ni matusi tuu na kebehi za kitoto.

2:Hoja ya Ufisadi nchini

Katika masuala ambayo yametumia ruzuku nyingi za chama cha chadema ni suala la ufisadi. Tuhuma hizi zilipelekea serikali ya JK kupangua mawaziri mara kadhaa na kusababisha mpaka Lowasa kuachishwa kazi na Pinda kuchukua nafasi ya PM.
Sina hakika kama makelele ya ufisadi yaliyosemwa na chadema yalikuwa ya kweli ama uongo sina hakika. KABISA! Wanakawaida ya kutaja kutamka tuhuma na kudai kama.serikali inabisha itoe ushahidi. Sasa hivi wana watu waliowatuhumu ati ktk uongozi wao waliliingizia taifa hasara. Ref uuzwaji wa nyumba chini ya PM Sumaye na Tuhuma ya Richmond chini ya PM Lowasa.

Magazeti ya kubenea yalipata umaarufu kwa kumhusisha PM edo na Richmond lakini leo amefyata mkia.

Siskii tena neno ufisadi bila shaka umeisha au Chadema wameungana na mafisadi.

3: Hoja ya ukusanyaji wa Kodi

Ilikuwa ni matusi kupindukia kuwa serikali.haikusanyi kodi, Rais Magufuli kaingia na speed ya hatari. Lango kuu la nchi'Bandarini' nadhani ndio eneo limeongoza kwa kushtukizwa na PM Majaliwa na Rais Magufuli
NilichoJifunza tena Baada ya kutumbua tumbua kumbe viongozi wengi hata wa upinzani ni wafanyabiashara. Kwa hiyo nao walifaidika either bila kujua au kwa kujua lakini waliamini hawataguswa. Saizi unaingia ktk kumbi za starehe unapata risiti za kieletroniki za TRA.
Kwa sasa mapovu yanawatoka hao hao walio lalama. Wengine hawajalipa kodi za mapango NHC ,wanamadenini lukuki Twiga ni aibu sana.kwa viongozi tena waliojipambanua kupinga hayo

4: Hoja ya Usafiri wa Anga/Nchi kavu

Ilikuwa fedheha kwa nchi 1995~2002/3 wakati huo wazazi wengi walianza kusomesha watoto Kenya na Uganda. Wengi. walianza kutumia barabara hizo hizo kwenda Mwanza na Bukoba maana ni lami. Makampuni ya Akamba Coach, Falcon na Spider yamefanya biashara sana bila kusahau Scandinavia express (Hii scandnavia hii) awamu ya tatu chini PM Sumaye inaweza kutueleza what went wrong.

Shirika letu la ndege liliferi kila jitihada. Tulifikia hatua ya mpaka kuingia mgogoro na Kenya wakikataa vijana wetu wanaobeba watalii wasiende kuwabeba watalii Tokea Airport Kenya.
hatua za Rais Magufuli ni nzuri sana viwanja vyetu vya Zanzibar, JNIA, Kilimanjaro, Songwe na sasa Mwanza inakuja vitaweza kuipokea dreamliner ikiwa na watalii wengi itasaidia sana kupata pesa za kigeni.
Kuhusu Barabara sina cha kuongeza ukipita Kenya basi uamuzi wako. Rais Magufuli ashasolve tatizo.
Lakini tufahamu ya kuwa Standard gauge inaanza ujenzi January 2017,Daraja la selandar Jan 2017, Chalinze Express way
2017, Busisi Kigongo bridge 2017/2018, Flyovers zileshaanza Dar. Ubungo interchange inahtaji Tanesco, Idara ya Maji na shell zibomolewe.
Wasifanye ajizi siasa ziondoke hatuwezi kuwa na interchange yenye mataa.
Dual carriageway Arusha na Mwanza. So.we are moving.

6:Hoja ya Safari za nje za viongozi.

Jamani eeh mnyonge mnyongeni Rais Magufuli apewe haki yake, kuna waziri mmoja awamu iliyopita alidiriki kusema at walikuwa wanagongana angani. Kodi ya watanzania imetumika ndivo sivyo lakini Rais Magufuli kakomesha, nilishangazwa na kauli ya Sugu kusema Rais asijifungie sijui hatajulikana nk. Pamoja na yote hayo Rais Magufuli kasababisha Coalition of Willing ya Kenya Uganda na Rwanda kufa kiaina. Tumeweza kupata mradi wa Bomba la.mafuta toka Uganda na Rwanda wako nasi Ktk Standard gauge. DRC wamesema wawekezaji wa kitanzania waende Kalemie wakajenge matank wasambaze mafuta Kongo mashariki. Nani wa kubeza juhudi zote hizi, ni kujijaza ujinga na mimi nimeshaweka wazi namuunga mkono Rais Magufuli ingawa ktk suala la Fao la Kujitoa hasomeki na ashauri aliangalie upya especially Sekta binafsi.

7: Hoja ya Matibabu

Serikali yetu imefanya juhudi kubwa sana tumeona Muhimbili inavyoimarika, magonjwa mengi sasa yanatibika hapa hapa CTscan ilikuwa ni nadra kuikuta inafanya kazi. Serikali hii imejipambanua na tunashukuru
Badala ya kujaza Mahospitali Dar na Pwani ningefurahi kuona Hospital ya Ben Mkapa Dom ikichukua hadhi ya Muhimbili pia.

8:Hoja ya Kuhamia Dodoma

Jambo halikuwahi kutamkwa siku za karibu lakini tumepiga kelele sana kuwa Dar iko congested, Mji umeshindwa kupumua. Tumekaa na tatizo lakini hakuna anayethubutu kuhamia Dodoma. JPM kaweka wazi 2019 serikali yote Itakuwa Dom.
Faida za kuhamishia serikali Dodoma zitaonekana moja kwa moja miji ya Manyoni,Kondoa,Kibaigwa na Gairo,Iringa nk. Kutakuwa na usafiri wa Kwenda na kutoka Dodoma hata saa nne usiku. Kwa anayepajua vizuri Chalinze basi avute picha hiyo na safari za kwenda Dar.

9: Hoja ya bei ya korosho na mazao ya wakulima

Ukifika kw wa korosho Mtwara JPM ni shujaa sana kwao. Bei ya korosho imetoka 1000Tsh mpaka 3500Tsh~4000Tsh. Ongezeko Asilimia mianne, hii ndio tofauti ya kuchagua viongozi wasio na tamaa ya kutaka kuingia ktk biashara. Naamini tungeshuhudia kubadilishwa kwa wafaidika tu, yaani angetolewa yule na kuwekwa huyu kwa sababu binafsi na anarcho Alaskan wangeeendelea kusoteshwa na bei kichaa.
Nani kama JPM, Nani karma Majaliwa.
Tutaona mengi mfano huo ktk pamba,kahawa nk

10:Kiwanda cha Dangote

kifupi ni kuwa makampuni makubwa yameshukuru sana ujio wa JPM, ujinga ulikuwa mwingi na ndio hao vibaraka wanalalama kila kukicha mara oooh kenya wamempa eneo bure ili ahamishie kiwanda. Alikata ngebe za hawa vijana Dangote mwenyewe kuja kuonana na Rais na kushusha roli zaidi ya miasita.
Kumbe matapeli yalitaka kumpiga Dangote haiku yakikubuhu kukwepa kodi. Tunashukuru sana maana kila hila mwisho wake inawadhalilisha hawa mawakala feki.
Nchi hii ni ya misheni town balaa, yaani tukipata japo awamu mbili za. Mfumo huu, only twenty years tz itakuwa one of the top seven African economic giants trust me.

11:Hoja ya Madawati na elimu Bure.

Wanamuziki pia wawemeimba mmojawapo Kala Jeremiah. Chadema kama vuvuzela flani ivi, wanapiga kelele watoto hawaendi shule madarasa yakajengwa, wakasema hakuna maabara nazo zimejengwa madawati yamepatkana kwa nini hakuna anayepaza sauti ya shukrani? Jamii gani isiyoapreciate. Hapa kwa kweli serkali inastahili kupewa pongezi sana sana.
JPM alithubutu kujibana kwa kutumia bajeti ya JK 2015/16 ambayo haikuwa na elimu bure lakini ilifanikiwa ingawa jamaa wale waliona changamoto zaidi kuliko solutions ambazo zimepatkana.

12: Hoja ya elimu ya juu.

Tangu 1994 Tanzania imeshakopesha zaidi ya 3trillions, HESLB ilikuwa inapata ugumu kuwapata wafaidika lakini baada ya mkakati wa vitambulisho vya uraia na uhakiki kufanikiwa hasa serikalini imerahisisha sana kufahamu nani yuko wapi.

Mimi naamini ndani ya miaka michache ijayo HESLB itaanza kutoa ruzuku serikalini kutokana na makusanyo ya kila mwezi.
Nani wa kubeza yote haya''YAYA GETE''


Kwa kweli.unaweza kuandika mengi, lakini kwa kifupi hayo ndio majibu yenu.
 
Kwanza nimpongeze Mhe Rais kwa uimara na misimamo yake thabiti Bila shaka anaitambua methali isemayo ''Ukicheka na Nyani utaokota Mabua''

JPM amejibu shauku ya wanamabadiliko ya kweli na hata waliobakia ni wale waliotaka mabadiliko Maslahi, Hao fuata upepo, jamii ya mifugo au wanyama wengine walao majani. Yalipo wapo.

1: Hoja ya rais dhaifu.
Chadema hawa hawa walimsema sana JK kuwa ni dhaifu, walidiriki mpaka kusema inchi ina ombwe la.uongozi.
JPM kwa kulijua hilo wakati wa kampeni alisema wazi hana mda wa kuhamisha mtu, ni hapo hapo kazi huna.
Nashindwa kuwaelewa hawa ndg walichotaka ni nini maana ni matusi tuu na kebehi za kitoto.

2:Hoja ya Ufisadi nchini
Katika masuala ambayo yametumia ruzuku nyingi za chama cha chadema ni suala la ufisadi. Tuhuma hizi zilipelekea serikali ya JK kupangua mawaziri mara kadhaa na kusababisha mpaka Lowasa kuachishwa kazi na Pinda kuchukua nafasi ya PM.
Sina hakika kama makelele ya ufisadi yaliyosemwa na chadema yalikuwa ya kweli ama uongo sina hakika. KABISA!! Wanakawaida ya kutaja kutamka tuhuma na kudai kama.serikali inabisha itoe ushahidi.Sasa hive wana watu waliowatuhumu ati ktk uongozi wao waliliingizia taifa hasara. Ref uuzwaji wa nyumba chini ya PM Sumaye na Tuhuma ya Richmond chini ya PM Lowasa.
Magazeti ya liberal yalipata umaarufu kwa kumhusisha PM edo lakini leo yamefyata mkia.
Siskii tena neno ufisadi bila shaka umeisha au Chadema wameungana na.

3: Ukusanyaji wa Kodi
Ilikuwa ni matusi kupindukia kuwa serikali.haikusanyi kodi, JPM kaingia na speed ya hatari. Lango kuu la nchi'Bandarini' nadhani ndio eneo limeongoza kwa kushtukizwa na PM Majaliwa na JPM
NilichoJifunza tena Banda ya kutumbua tumbua kumbe viongozi wengi data wa upinzani ni wafanyabiashara. Kwa hiyo nao walifaidika either bila kujua au kwa kujua lakini waliamini hawataguswa. Saizi unaingia kumbi za starehe kama unapata risiti za kieletroniki za TRA.
Kama sasa mapovu yanawatoka hao yao walio lalama. Wengine hawajalipa kodi za mapango NHC ,wanamadenini lukuki Twiga ni aibu sana.kwa viongozi tena waliojipambanua kupinga hayo

4: Usafiri wa Anga/Nchi kavu
Ilikuwa fedheha kwa nchi 1995~2002/3 wakati hi I wazzup wengi walianza kusomesha watoto Kenya na Uganda. Wengi.pita walianza kutumia barabara hizo hizo kwenda Mwanza na Bukoba maana ni lami. Makampuni ya Akamba Coach, Falcon na Spider yamefanya biashara sana bila kusahau Scandinavia express (Hii scandnavia hii) awamu ya tatu chini PM Sumaye inaweza kutueleza what went wrong.

Shirika letu la ndege liliferi kila jitahda. Tulifikia hatua ya mpaka kuingia mgogoro na Kenya wakikataa vijana wetu wanaobeba watalii wasiende kuwabeba watalii Tokea Airport Kenya.
hatua za JPM ni nzuri sana viwanja vyetu By a Zanzibar,JNIA,Kilimanjaro,Songwe na Sasa Mwanza inakuja vitaweza kuipokea dreamliner ikiwa na Natalie.wengi. itasaidia sana kupata pesa za kigeni.
Kuhusu Barabara sina cha kuongeza ukipita Kenya basi uamuzi wako. JPM ashasolve tatizo.
Lakini tufahamu ya kuwa Standard gauge inaanza ujenzi January 2017,Daraja la selandar Jan 2017, Chalinze Express way
2017, Busisi Kigongo bridge 2017/2018, Flyovers zileshaanza Dar. Ubungo interchange inahtaji Tanesco, Idara ya Maji na shell zibomolewe.
Wasifanye ajizi siasa ziondoke hatuwezi kuwa na interchange yenye mataa.
Dual carriageway Arusha Ana Mwanza. So.we are moving.

6: Safari za nje za viongozi.
Jamani eeh mnyonge mnyongeni JPM apewe haki yake, kuna waziri mmoja awamu iliyopita alidiriki Gisela at walikuwa wanagongana angani. Kodi ya watanzania imetumika ndivo sivyo lakini JPM kakomesha, nilishangazwa na kauli ya Sugu kusema asijifungie sijui hatajulikana nk. Pamoja na yote hayo JPM kasababisha Coalition of Willing ya Kenya Uganda na Rwanda kufa kiaina. Tumeweza kupata mradi wa Bomba la.mafuta toka uganda na rwanda wako nasi Kirk Standard gaugu. DRC wamesema wawekezaji wa kitanzania waende Kalemie wakajenge matank wasambaze Kongo mashariki. Nani wa kubeza juhudi zote hizi, ni kujijaza ujinga na mimi nimeshaweka wazi namuunga mkono JPMiingawa ktk suala la Fao la Kujitoa hasomeki especially Sekta binafsi.

7: Matibabu
Serikali yetu imefanya juhudi kubwa sana tumeona Muhimbili inavyoimarika, magonjwa mengi sasa yanatibika hapa hapa Tscan ilikuwa ni nadra kuikuta inafanya. Serikali hii imejipambanua na tunashukuru
Badala ya kujaza Mahospitali Dar na Pwani ningefurahi kuona Hospital ya Ben Mkapa Dom ikichukua hadhi ya Muhimbili pia.

8:Kuhamia Dodoma
9: Bei ya korosho
10:Kiwanda cha Dongote na uwekezaji
11:Ishu ya Madawati na elimu Bure.
12:

Kwa kweli.unaweza kuandika mengi, lakini kwa kifupi hayo ndio.majibu yenu.
Watu sio wajinga, wanaogopa kusema!
 
Ukweli wanaujua sana
Hao cdm ndio kirusi kibaya kuliko vyote kwa sasa Tanzania!!
Umeona wapi watu wakawa wanafiki na wazandiki kama cdm!!?
Cdm inaviongozi wapuuzi kulio viongozi wa vyama vyasiasa duniani,
Wafuasi wake nao ndio shida na majanga kabisa.
Leo wanapenda hili
Kesho hilohilo likifanywa na serikali wanaanza kutapika viroba hovyo!!
Leo waki sema jambo vibaya
Wewe tulia kesho litakuwa zuri pale tu alie litenda jana kaungana nao!!

Ninacho mshukuru mungu nikuwa
Kampa uwezo Rais wetu kuelewa hawa watu niwapuuzi na wakupuuzwa
Ni wasaka tonge tu tena niwachafu kuliko vile wanavyo onekana,
Hivyo Rais ana wapuuza na kufanya kile anacho kiamini sio kufuata kile wanacho kiamini hawa Wanafiki.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom