CHADEMA haya ndio majibu yenu. Asante Rais Magufuli

Mkuu umeongea yapo ninayoyaunga mkono mimi japo ni mpinzani nakubali awamu ya tano inajitahidi ila ila kwenye sector ya afya bado sijaona ninapenda kuishauri serekali hospital kwa sisi wananchi wa chini tunahitaji kuziona zikiwa na dawa za kutosha maana kama kodi mnajitahidi kukusanya basi madawa yapewe kipaumbele kununuliwa ...
 
Hotuba ya kuhamia Dom alisema anaenda 2016?
Tatizo ni.kupindisha kila.jambo

Aisee.....

1.jpeg
 
Wakati fulani tuliaminishwa kuwa maadui wa Tanzania ni ujinga,magonjwa na umasikini. Leo wewe unatuambia CHADEMA ndio adui wa Tanzania. Kweli?
Cdm niazidi ya hao maadui kwasasa.
Hebu rudi nyuma fuatilia upumbavu wao.

Kumbuka
HERI YA MCHAWI KULIKO MNAFIKI
Hawa sasahivi hawana hoja
Wapo radhi waiombee mabaya Tanzania ili wapate mtaji wa kisiasa.
Kama mijitu inafurahi
ZIKA iwepo Tz
Dangote afunge kiwanda
Wapiga dili wamekuwa kimbilio la cdm
Mazuri ya serikali wao Nimajuto kwao!

Chuki,Uzushi vyote kwao
Hawa ndio kirusi kibaya kwa sasa Tanzania
 
Sasa wewe unapinga nini kisha unafanya nini? Hayo yoote unayoyasema ni uzushi pia! Mlipiga kelele na mahakama ya mafisadi leo mnasema hamna kesi za kuzipeleka kwenye hiyo mahakama!
 
Watanzania nimeamini kwel wanafiki tena wanafiki sana yaan wameona mkurugenzi mtendaji wa jamii forum kakamatwa wanajua mda c mref atatoa ID zao sasa wanaanza unafiki wao wa kuisifia serikal wakati mwanzoni ndo walikuwa wapondaji wakubwa,ombi langu kwa watanzania tuache unafiki
 
Kwanza nimpongeze Mhe Rais kwa uimara na misimamo yake thabiti Bila shaka anaitambua methali isemayo ''Ukicheka na Nyani utaokota Mabua''

JPM amejibu shauku ya wanamabadiliko ya kweli na hata waliobakia ni wale waliotaka mabadiliko Maslahi, Hao fuata upepo, jamii ya mifugo au wanyama wengine walao majani. Yalipo wapo.

1: Hoja ya rais dhaifu.
Chadema hawa hawa walimsema sana JK kuwa ni dhaifu, walidiriki mpaka kusema inchi ina ombwe la.uongozi.
JPM kwa kulijua hilo wakati wa kampeni alisema wazi hana mda wa kuhamisha mtu, ni hapo hapo kazi huna.
Nashindwa kuwaelewa hawa ndg walichotaka ni nini maana ni matusi tuu na kebehi za kitoto.

2:Hoja ya Ufisadi nchini
Katika masuala ambayo yametumia ruzuku nyingi za chama cha chadema ni suala la ufisadi. Tuhuma hizi zilipelekea serikali ya JK kupangua mawaziri mara kadhaa na kusababisha mpaka Lowasa kuachishwa kazi na Pinda kuchukua nafasi ya PM.
Sina hakika kama makelele ya ufisadi yaliyosemwa na chadema yalikuwa ya kweli ama uongo sina hakika. KABISA!! Wanakawaida ya kutaja kutamka tuhuma na kudai kama.serikali inabisha itoe ushahidi.Sasa hive wana watu waliowatuhumu ati ktk uongozi wao waliliingizia taifa hasara. Ref uuzwaji wa nyumba chini ya PM Sumaye na Tuhuma ya Richmond chini ya PM Lowasa.
Magazeti ya liberal yalipata umaarufu kwa kumhusisha PM edo lakini leo yamefyata mkia.
Siskii tena neno ufisadi bila shaka umeisha au Chadema wameungana na.

3: Ukusanyaji wa Kodi
Ilikuwa ni matusi kupindukia kuwa serikali.haikusanyi kodi, JPM kaingia na speed ya hatari. Lango kuu la nchi'Bandarini' nadhani ndio eneo limeongoza kwa kushtukizwa na PM Majaliwa na JPM
NilichoJifunza tena Banda ya kutumbua tumbua kumbe viongozi wengi data wa upinzani ni wafanyabiashara. Kwa hiyo nao walifaidika either bila kujua au kwa kujua lakini waliamini hawataguswa. Saizi unaingia kumbi za starehe kama unapata risiti za kieletroniki za TRA.
Kama sasa mapovu yanawatoka hao yao walio lalama. Wengine hawajalipa kodi za mapango NHC ,wanamadenini lukuki Twiga ni aibu sana.kwa viongozi tena waliojipambanua kupinga hayo

4: Usafiri wa Anga/Nchi kavu
Ilikuwa fedheha kwa nchi 1995~2002/3 wakati hi I wazzup wengi walianza kusomesha watoto Kenya na Uganda. Wengi.pita walianza kutumia barabara hizo hizo kwenda Mwanza na Bukoba maana ni lami. Makampuni ya Akamba Coach, Falcon na Spider yamefanya biashara sana bila kusahau Scandinavia express (Hii scandnavia hii) awamu ya tatu chini PM Sumaye inaweza kutueleza what went wrong.

Shirika letu la ndege liliferi kila jitahda. Tulifikia hatua ya mpaka kuingia mgogoro na Kenya wakikataa vijana wetu wanaobeba watalii wasiende kuwabeba watalii Tokea Airport Kenya.
hatua za JPM ni nzuri sana viwanja vyetu By a Zanzibar,JNIA,Kilimanjaro,Songwe na Sasa Mwanza inakuja vitaweza kuipokea dreamliner ikiwa na Natalie.wengi. itasaidia sana kupata pesa za kigeni.
Kuhusu Barabara sina cha kuongeza ukipita Kenya basi uamuzi wako. JPM ashasolve tatizo.
Lakini tufahamu ya kuwa Standard gauge inaanza ujenzi January 2017,Daraja la selandar Jan 2017, Chalinze Express way
2017, Busisi Kigongo bridge 2017/2018, Flyovers zileshaanza Dar. Ubungo interchange inahtaji Tanesco, Idara ya Maji na shell zibomolewe.
Wasifanye ajizi siasa ziondoke hatuwezi kuwa na interchange yenye mataa.
Dual carriageway Arusha Ana Mwanza. So.we are moving.

6: Safari za nje za viongozi.
Jamani eeh mnyonge mnyongeni JPM apewe haki yake, kuna waziri mmoja awamu iliyopita alidiriki Gisela at walikuwa wanagongana angani. Kodi ya watanzania imetumika ndivo sivyo lakini JPM kakomesha, nilishangazwa na kauli ya Sugu kusema asijifungie sijui hatajulikana nk. Pamoja na yote hayo JPM kasababisha Coalition of Willing ya Kenya Uganda na Rwanda kufa kiaina. Tumeweza kupata mradi wa Bomba la.mafuta toka uganda na rwanda wako nasi Kirk Standard gaugu. DRC wamesema wawekezaji wa kitanzania waende Kalemie wakajenge matank wasambaze Kongo mashariki. Nani wa kubeza juhudi zote hizi, ni kujijaza ujinga na mimi nimeshaweka wazi namuunga mkono JPMiingawa ktk suala la Fao la Kujitoa hasomeki especially Sekta binafsi.

7: Matibabu
Serikali yetu imefanya juhudi kubwa sana tumeona Muhimbili inavyoimarika, magonjwa mengi sasa yanatibika hapa hapa Tscan ilikuwa ni nadra kuikuta inafanya. Serikali hii imejipambanua na tunashukuru
Badala ya kujaza Mahospitali Dar na Pwani ningefurahi kuona Hospital ya Ben Mkapa Dom ikichukua hadhi ya Muhimbili pia.

8:Kuhamia Dodoma
9: Bei ya korosho
10:Kiwanda cha Dongote na uwekezaji
11:Ishu ya Madawati na elimu Bure.
12:

Kwa kweli.unaweza kuandika mengi, lakini kwa kifupi hayo ndio.majibu yenu.

Robo tatu ya mambo uliyotaja ni hoja zilizoibuliwa na wapinzani. Kuwa na mishipa ya aibu basi hata kuwa shukuru wapinzani japo kidogo huu ubinafsi wa kujioneni ninyi ndio bora kuliko wengine hautowafikisha mahali.
 
Amen RA
 
Adui namba moja kwa sasa wa Taifa letu ni CHADEMA na viongozi wake,ni aibu sana na hatari pale unapokuta mtu anaesaka madaraka kutetea uadui,cjui nani kawaloga hawa malofa,inafika wakati watu wanawatete wahujumu wa Taifa kisa tu umaarufu wa kisiasa,yaani wapo watu wanatamani kuckia ndege zilizonunuliwa zimepata ajali,au Tz imewekewa vikwazo vyakiuchumi,au bandari imegomewa na wafanyabiashara au hata kuckia TRA wameshindwa kukusanya mapato ili tu wafurahi..Mungu uwalaani maadui wote wa ndani na mkuu wao CHADEMA
 
Kwa kweli JPM amewashika pabaya sana, ss wanaulizia makusanyo ya Nov, maana yake hawana jipya tena, na Nasari amepongeza kasi ya JPM na kudai atashirikiana na serikali yake, nadhani anaweza pata msukosuko kwa Bos wake
 
Robo tatu ya mambo uliyotaja ni hoja zilizoibuliwa na wapinzani. Kuwa na mishipa ya aibu basi hata kuwa shukuru wapinzani japo kidogo huu ubinafsi wa kujioneni ninyi ndio bora kuliko wengine hautowafikisha mahali.

Ndio maana ni majibu yao na sio ccm
 
Kuwa mpinzani wa kweli ni kuwa na uwezo wa kuikosoa serikali. Hata kama imefanya jema, unaangalia je utaratibu wa kulifanya hilo jema ulifuatwa? kama sio, hapohapo unapaza sauti, kesho serikali ikitaka kufanya jambo hilo tena haiwezi rudia makosa, ndio maboresho yanavyokuja.
Inawezekana mkuu umependeza kweli, kuanzia kiatu mpaka nywele, simu kali, tabasamu mwanana, unanukia fresh kichizi ila, tumekutana kwenye korido hujafunga zipu mkuu, nisikwambie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom