CHADEMA hawana Sera tena! Kwishnei!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Baada ya ubabaishaji katika Uchaguzi wa Mwaka 2015, CHADEMA wamepoteza dira na Mwelekeo na sasa umaarufu wao utabaki kukosoa kila jambo linalofanywa na Serikali yetu Tukufu! Huko waliko wanapitia makabrasha kuona kama kuna makosa ya kiuandishi wapate cha kuongea Bungeni! Mtamkumbuka sana Dr SLAA!
 
Back
Top Bottom